marejesho
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 6,634
- 3,662
Hahaha yule bibie sijui alijichimbia wapi lol!!
Lol!!!!!Nilitegemea Clouds Travel ingetupatia bonge la Tour lakini ndio hivyo tena,!!!
Hahaha yule bibie sijui alijichimbia wapi lol!!
Lile neno 'sababisha' umeliandika wewe!??
Kuna members wanao7bisha members wengine kapata BAN. % kubwa mwanzisha hapati BAN isipokuwa wachangiaji wa thread husika.
Nifupishe maongezi kwa kukutafadhalisha usipost chochote kama thread imekaa kichokozi.
Muepuke mjinga ufike safari yako.
karibu tena nyumbani mpz!
Baba V; Kha ha ha ha ha haaaaaaa!! Ameandika mwenyewe wewe unafikiri nimemshika mkono?