Tahadhari kwa waumini wa Gwajima

Tahadhari kwa waumini wa Gwajima

Waumini wa Gwajima mnaelewa.Kataeni kulishwa matango mwitu.Jitengeni NA kanisa hilo.
 
Vyeo gani umemshusha? Ukawa watampa vyeo vyote, swali kwako hivi wewe ulitaka Gwajima akae kiimya wakati kachafuliwa na Slaa? Ulitaka uongo wa Slaa uaminike?
Gwajima hajakataa maneno aliyosema Slaa kwamba ni mshenga na alimuambia Slaa kwamba Maaskofu wamehongwa
 
Tahadhari isiishie kwa waumini wa Gwajima tu,kwa kifupi hawa viongozi wenu wa dini sijui kiroho wengi wao wahuni tu so matatizo yako yasolve na mkeo/family otherwise utakuja kudharirishwa tu.

Mchungaji hurecord sauti na video za waumini wakijieleza matatizo yao ili iweje? Usikute hizo clips kaziweka hadi instagram.

BTW:Shauri zao.
 
Sijui hata hao waumin wake kawalisha nini

Yaani ukiwaona wafuasi wa hawa watu utawaonea huruma....wanapelekwa kama kondoo machungani. Kule SA jamaa aliamua kuwalisha nyasi, Nyoka, Panya mpaka serikal ikaingilia kati.

Yaani wanatokwa na ufahamu wa kibinadam kabisa, kila wanalofanyiwa wanaona sawa tu.
 
Gwajima ametuweka njia ya panda sisi tuliemuamini kwa kipindi chote hicho baadala ya kujielekeza kwenye hoja alizotoa Dr.Slaa yeye alitumia muda mwingi akimuongelea Josephine. Baadala ya kujibu hoja za Dr.Slaa yeye alipoteza muda mwingi akitueleza sisi kuwa Josephine ana mapepo, Sisi ina tuhusu nini?. Baadala kujielekeza kwenye hoja alijaribu kutuonesha uwezo wake wa kutoa mapepo, sasa kama ulimtoa mapepo ilkiuwa vipi? yakakushinda mpaka kufikia Jsephine kuwa na influence kwa dokta, tona hoji ewezo wako wa kiroho. Na cha ajabu zaidi Gwajima alimshambulia Dr.Slaa akijikita zaidi kweye mahusino yake na familia yake. Kitendo cha Gwajima kumkutanisha Lowassa na viongozi wa CHADEMA alijiita yeye ni MPATANISHI akanukuu."Mathayo 5:9-Heri wapatanishi;Maana hao wataitwa wana wa Mungu" Je alichofanya kwenye media amepatanisha? Au neno la Mungu linakuwa valid tu anapotaka kutimiza aliyoyakusidia yeye tu, vinginevyo humna?. Gwajima anapojitokeza kwenye media na kumshambulia Dr.Slaa na Josephine na kudai kuwa watu hufuata majira na wala siyo majira hufuata watu, na usalama wa taifa kumlinda dokta wana mharibia Magufuli, anapiga kampeni . Je Gwajima ni asikofu, Mfanyabiashara au Mwanasiasa?
 
Baba askofu ni mpiga dili tu hapa mjini ata wewe mwenyewe humuoni, mtu amekaa kama anaigiza michezo ya bongo movie. Ninawasiwasi na wafuasi wake huyu tapeli na nahisi hawa ndio wanowatuma watu wawakate viungo albino, askofu amejaa ushirikina.troll
 
Muuaji wa ndugu zetu Hutu ..askofu na siasa mpaka kwenye media na hakomi na wake za waume wenzie ..dawa yake huyu ni Ku..m..f..i...r..a
 
Mr. President is BACK...!!!

Habari njema kwa UKAWA... na kilio kwa CCM uchaguzi, 25 Oct. 2015, nisiwachoshe, let's dig in...!!!

SABABU KUU ZA CCM kuanguka...!!

1: KATIBA mpya ya WARIOBA.... huu ndio masumari mkuu, na wananchi WANA HASIRA NA HILI.. na CCM walichakachua, na wako kimya...hata Ilani yao hawasemi hilo

2: UFISADI.... hadi sasa CCM hawana SERA... wanaongelea Lowassa, Lowassa, Lowassa, Lowassa... hawana policies kabisa...Watu wanahoji na wanajua CCM ndio ina ufisadi wa kutisha, sio Lowassa, Lowassa hana kesi au kutuhumiwa sehemu yoyote na vyombo vya Dola... eg TAKUKURU, DPP, MAHAKAMA, POLICE, TUME YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA na hata KAMATI ya maadili ya CCM haijawahi mshutumu maisha yake yote akiwa CCM na Serikalini... so CCM hawana points, sasa watu wanajua mengiii kuhusu ufisadi... kuna

1: ESCROW... wizi wa wazi...

2: WACHINA wanatuibia usiku na mchana... ni CCM inawaleta... tushamalizwa.

3: EPA... wizi wa wazi..

4: WANYAMA hai kwenda na Ndege hadi Twiga... hii ni hatari kuu

5: RICHMOND... sio ya Lowassa na kaikana, na hata Obama alipelekwa Ubungo na kuipongeza... so utajua ni ya nani hapo..

6: IPTL... hili ndio ZIMWI LINALO TUMALIZA... na mnajua mmiliki wake... watu wanajua haswaaa...!!!

7: MIKATABA YA GESI NA MAFUTA.. hapa hata PAC, hawajui nn hii mikataba TAIFA linafaidika... tunaibiwa mchana
mchana tena.. hadi TPDC wenyewe hawajui kuna nn ndani... hatari sana

8: MEREMETA...

9: KIWIRA...

10: TEMBO wanuawa sana, na wahusika wanajulikana, hadi meli zake... so wananchi wanajua, WACHINA ndio wanashirikiana nae, jambazi mkuu wa swala hili... Wachina wamemaliza nchi yetu...

11: MKOPO WA BOMBA LA GESI from CHINA... Tshs. 1.6 TRILLION... yaani Dollar billion 1 kwa rate ya wakati ule wa mkopo... Hizo fedha watu wanahoji fedha hizo kama zimetumika, ZIMEFICHWA SANA SANAAA... na wanasema almost nusu tu ndio imetumika kulaza mabomba ya Gesi from Mtwara hadi Dar... Zingine ndio hivyo..refer Freeman Mbowe..

12: MABEHEWA FEKI... tshs 252 Bilioni, jamani... na Mwakyembe akiwa waziri wa Uchukuzi, hatari sana hii... billions zote zilitolewa na kulipwa kwa wakati mmoja kinyume na taratibu za manunuzi... you have to pay half kikawaida, then bidhaa au VIFAA vikisha tengenezwa na kuwa tested to standard na kuona viko to STANDARD... ndio UNALIPA NUSU YA FEDHA ZILIZOBAKIA...

13: MELI YA SAMAKI ya Magufuli...Serikali imeshindwa kesi...na sasa inadaiwa billions.. huu ni ufisadi, yaani unamkamata mwizi, kaiba samaki wetu, alafu unashindwa kesi, HAPA SBB MELI NI YA CHINA TU... so WACHINA WANATUMALIZA HADI BAHARI YETU.. WACHINA HAWAFAI...

14: NYUMBA ZA SERIKALI... yaani hapa ndio DHAMANI YA MA TRILLIONS zilipotea... bure kabisa, Magufuli ndio kahusika... BILLIONS of ASSETS incl..Prime Areas ziligawiwa hovyo na kuwapa ndugu, vimada, hapa Serikali ilipoteza ma trillions... hii ni hasara kubwa sana saanaaa...

15: LOLIONDO... ule mradi wa waarabu ni ni wizi mtu wa kuwinda wanyama, ORTELO group... nchi haifaidiki na chochote... na KINANA alihusika kuwapa waarabu wale LOLIONDO...

16: BANDARI YETU... hapa CCM na serikali yake ndio imekuwa kichaka cha kuchuma fedha, na kutoa misamaha ya kodi BILLIONS kwa wiki tu... mfano kampuni moja tu ya mtoto wa kigogo, inasamehewa Tshs. 16 billions kwa wiki moja tu... ni hatari sana...

17: MIKATABA YA MADINI... hapa tumeliwa hadi basi... we lost TRILLIONS of Tshs... na wafaidika ni CCM na vigogo wake... wananchi maeneo husika ya migodi wamekuwa vilema na maskini fukara wa kutupa...mikataba ya migodi INAFICHWA KULIKO SEHEMU ZA SIRI ZA MWANADAMU WA LEO...

18: MADAWA YA KULEVYAAAAAA... wote mnajua hata siandiki kitu hapa... yaani...

19: NET GROUPS solutions... yaani wee acha tu..

20: SERIKALI inadaiwa na WAKANDARASI 1.4 Trillions wizara ya Magufuli pekee... ikiwa tshs 900 bilioni ni FEDHA ZA DENI...NA Tshs 500 bilioni ni RIBA la DENI HILO... refer Sumaye... kasema hilo wazi... IMAGINE sasa...DENI KUBWA HIVYO... WIZARA YA MAGUFULI... huu ni ufisadi... jumlisha na CAG alisema WIZARA YA MAGUFULI tshs 256 Bilions hazijulikani zilipo... huyo ni CAG mpya Prof. Assad... tena kasema Waziri Magufuli ashitakiwe...!!! Imagine...

21: UDA jamaniiii...UDA yetuuuuuu.... UDA jamaniiiiiii...... nalia naumiaaaa... UDA mali zaidi ya tshs 12 bil... zinauzwa kwa bei ya uwizi kwa tshs 400 mil..... sasa ULIZIA NI MRADI WA NANI.... jamaniiii..... LAKE OIL lazima pia tuichukue.... mali zetu wananchi zote hizo

HAYO ni kwa UCHACHE TU MADHAMBI na UFISADI WA CCM

....SERA za CCM sasa ktk UCHAGUZI HUU... ni hakuna kitu... sera zao tuone..

1: Lowassaaaa, Lowassaaa... Lowassaaaa, Lowassaaaaaaaa.. nonsense...

2: MSIFANYE MABADILIKO mtakuwa kama Libya, sijui Tunisia... what..?? hata mgombea wao hajui LIBYA na Tunisia hawakupiga kura wala MAPINDUZI YAO HAUJATOKANA NA KURA.. nashangaa mifano mfu kabisa.. wanatisha watu hovyo... ila hawatolei mifano KENYA, MALAWI, ZAMBIA ambayo ni mifano halisi na yetu...

3: NITAFUNGUA MAHAKAMA YA MAFISADI... eeeehh.. hii ndio priority ya watanzania kweli...??

4: UDINI... badala wauze sera bora, wamebaki kusema udini, huku wakijua ni uongo kabisa.. walianza na Ugonjwa, ukanda, ukabila vyote vimegonga mwamba...

5: KUWA SAMBARATISHA VIONGOZI WAKUU WAWILI WA UKAWA... Dr. Slaa na Lipumba.. mbinu hizi mbili kuu ndio ilikuwa SILAHA kuu za CCM, na zote zimeshindwa kabisa.. wananchi wamebaki na UKAWA.. na hakuna alio wafuata hao, na sasa WANANCHI WANAWAONA WASALITI WAKUU.. so mbinu hii au sera hii imefeli vibaya..

6: MGOMBEA URAIS CCM, anaongea kama mpinzani, na yeye ANATAKA MABADILIKO.. anashangaa DAWA HAKUNA, VIWANDA VIMEKUFA... ANASHANGAA UFISADI, na hata anasema KUNA MCHWA WENGI SERIKALINI sana, sasa hapo anamchongea boss wake kwa wananchi, na ANASHANGAZA... YUKO KAMA HAGOMBEI CCM vile...

7: ETI kitandani kikiingia KUNGUNI wawili utachoma kitanda au utawatafuta KUNGUNI wawili utawaua... hii sio sera jamani... this is TOO LOW....

8: CCM wananchi wameichoka sana, ulizia kila group la watu, kila kona ya nchi... na hata wana CCM wengii wataipigia kura UKAWA... yaani wengi bado wana matumaini sana na Lowassa , hii ndio hatari kubwa CCM kuliko yote.. na hawataki kuona hili...

9: MAKUNDI yaliyo pata shida na serikali ya CCM, yana hasira, eg WAALIMU, MADAKTARI, BODABODA, MACHINGA, MAMA NTILIE, wana MTWARA wengi hawa wana HASIRA sana na CCM...na ni pigo sana..

10: VITISHO VYA MAGUFULI... huwezi uongea jukwaani na kusema nikiingia IKULU WATANIKOMAAAA... wafanyakazi serikalini watakoma, sijui waziri atakoma, sijui wakurugenzi watanikoma, sijui nani, au MSIFANYE MABADILIKO YATATOKEA KAMA LIBYA, mara KUWAIT... hivi vitisho UNAKOSA KURA KABISAAA..... RAIS hatakiwi kuwa mtu WA KUTISHA WATU WA NCHI YAKE... hili ni KOSAAAA KUBWAAA MDOMONI NA AKILINI MWA MAGUFULI..... namuonea huruma...na HII SIO SERA KABISA..mifano mfu kabisa na vitisho kila akisema neno, UNAWATISHA WATU HIVYO... kura hutapata aiseee...!!!

CCM ikifuatilia kwa makini, hawana JIPYA au strategies zozote tofauti... kabisa kabisa...

✌✌✌ LOOK sasa wenzao ukawa...!!! wanafanya mambo..!!!

SERA ZA UKAWA muone sasa...kwnn CCM inakufa.. hapa chini...CHEKI UKAWA..... very strategic, to the point...!!!

1: KATIBA MPYA ya WARIOBA.... na sitaki kwenda ndani zaidi, maana HII KATIBA ndio KILA KITU nchii hii kuinuka na kutembea kiuchumi, kisiasa na kijamii,

Hii katiba ITAFUTA WAKUU WA WILAYA
wote, na SERIKALI ITA SAVE TRILLIONS ya TSHS kwa mwaka.... WAKUU WA WILAYA HAWANA KAZI... ni mzigo sana kwa TAIFA hapa UKAWA watapata FEDHA TRILLIONS kwa mwaka mmoja tu... yale magari ya wakuu wa wilaya, nyumba, mishahara, allowances, mafuta, walinzi, madereva, offices etc etc... trilliions hizi ZINATOSHA KUTOA ELIMU BUREEEE... kufuta wakuu wa WILAYA TU hela zinazopatikana ZINATOSHA KUTOA ELIMU BURE HADI UNIVERSITY, which is roughly tshs 1. 6 trillions kwa MWAKA... kutoa ELIMU BURE HADI CHUO KIKUU...

KATIBA YA WARIOBA, someni ina kila kitu... na UFISADI utakuwa historia, hata Rais atashtakiwa akitoka madarakani... WIZARA ZITAKUWA FIXED NUMBER, mawaziri hawatakuwa wabunge.... MIKATABA YOOOTE ITAPELEKWA BUNGENI... sio SIRI TENA... SPEAKER HATAKUWA MBUNGE au kujihusisha na siasa for the last 5 years... as well MWANASHERIA MKUU hatakuwa muumini wa CHAMA fulani kwa miaka 5 iliyopita.... etc etc... na mengine mazuriii mengiiiii...

2: UKAWA watarudia MIKATABA YOOOTE YA MADINI... na kuweka wazi hata kabla ya Katiba mpya... hapa SERIKALI itapata BILLIONS maana zinaliwa na wachache..

3: UKAWA watafuta MBIO ZA MWENGE....

Mbio za Mwenge, zinapoteza more than tshs 600 billions, na zaidiii na zaidiiii... huku mbio hizo hazina faida kwa TAIFA... ukawa wataupeleka MWENGE WA UHURU KTK MAKUMBUSHO YA TAIFA... inatosha... MBIO HIZI zinatia hasara kubwaaa serikali kila mwaka... tshs 600 bil and above...!!! ni HATARI...!!!

4: KODI KUDHIBITIWA BANDARINI, etc... mashine za EFD kupewa kwa bei ndogo sana sanaaa sawa na bure, ili KUPATA KODI HALALI, kwani WAFANYA BIASHARA UGOMVI WAO na SERIKALI HIVI sasa sio kukataa KULIPA KODI... ILA WANALALAMIKIA BEI KUBWA SANAAA ZA EFD, ilianza 1.2 milioni, ikaja wakashusha to laki 8, sasa sijui laki 6... hii ni BIASHARA YA MTU BINAFSI....SERIKALI imekosea sana kuuza hizi mashine ndogo tu za kulipia KODI kwa bei GHALIIII sanaaaa... na huo ndio UGOMVI WAO NA SERIKALI... so UKAWA WATAPATA MAPATO makubwa kwa kutoa mashine hizo sawa na bureee.... point hapa ni KODI... sio KUUZA MASHINE HIZO ZA EFD...of which ni mradi wa MAFISADI wachache...

5: MAKAMPUNI YA SIMU.....

hapa kuna trillions za kodi hazilipwi, pale TCRA, kuna mtambo maalum, ambao ni wa kisasa, unaweza kujua MAPATO YOOTE YA KAMPUNI ZA SIMU, ila bado hawautumii kujua kodi, kazi yao kufuatilia simu zetu, calls, sms, etc hiyo SIO PRIMARY TARGET.... TARGET ya MTAMBO ULE NI KODIIIIIIIIIIIIIIIIIIII.... so ule MTAMBO UKAWA wakiingia madarakani of which i believe so, WATAPATA MORE THAN tshs 4.1 trilllions za KODI.... kupitia MAKAMPUNI YA SIMU TU... hapo hela za kujenga viwanda TAYARI...

6: ELIMU BURE HADI CHUO KIKUU... hili linawezekana, kama nilivyoainisha hapo juu, hela zitatoka wapi...!!! Nadhani mshajua...

7: KUBANA MATUMIZI ya SERIKALI... hapa wata save trillions... SBB UKAWA wameweka wazi HUTAONA LAND CRUISER VX V8 tena za serikali... ambazo ni MZIGO MKUBWA KWA WANANCHI... BADALA YAKE WATANUNUA LAND CRUISER PRADO za KISASA kwa bei ya 60 Milioni each ya ENGINE YA CC 3000 TU, that is maximum, kwa mijini watu wa SERIKALI NI RAV 4 TU.... uko mjini UNATEMBEA NA VX V8 YA NN..? sasa ni WAKATI WA KUFUTA MAGARI YA MIL 300 ya CC 4.5, NA kununua PRADO za tshs, 60 MIL, za KISASA za CC 3000 au 2700... hapa UKAWA wata save again TRILLIONS KWA MWAKA.... TRILIONS OF TRILLIONS zinapotea kwenye hizi gari za KIFAHARI AJABU... DUNIA INATUSHANGAAA..

8: HOSPITALI NA MADAWA Ya uhakika... ukiweza save hizo fedha hapo juu, HUDUMA ZA AFYA ZITAKUWA ZA UHAKIKA kabisaaa

9: VIWANDA.... kwa UKAWA, ukiniambia WATAJENGA VIWANDA VYA SAMAKI, NYAMA, NGOZI, ninakubali, sbb NA UHAKIKA HELA ZINATOKA WAPI.... kama nilivyosema hapo juu... hapo wata save trillions za fedha, na kuweza anzisha VIWANDA... kwa uhakika kabisaaa... CCM ikisema VIWANDA nakataaa, sbb hawajui fedha wanatoa wapi, washashindwa, na hakuna na wameua vyote, so CCM hawana mikakati ya kweli ya kujenga viwanda labda KUUA hapo nakubali...

10: UKAWA, wana bahati ya KUMPATA LOWASSA.... Lowassa ni pigoooo kubwaaaa sanaaaa kwa CCM.... yaani kaongeza nguvu ya UKAWA BY 50%... sasa WAKAJA SUMAYE, na wengine wa CCM... hii sio SERA najua, ILA NI SABABU KUU SANA YA UKAWA KUSHINDA...

KILA KONA NI LOWASSAAA... Lowassaaaaa... Lowassaaaaa... Lowasssaaa... najua ni VIONGOZI wa JUU wa CCM watakataa hili, ila ukweli WANA CCM mamilioni bado wana IMANI na Lowassa sana sanaa, na MIKUTANO yake INAHUDHURIWA NA WANA CCM mamilioni, na wana IMANI nae, achia mbali wana UKAWA, na CCM inavyozidi MCHAFUA Lowassa, NDIO ANAZIDI KUNG'AAAAAAA sbb hawajibu hovyo, au kujibizana nao, yeye Lowassa mjanja sanaaaaa, anakaa kimya, ANAUZA SERA TU, ZA KUELEWEKA... CCM wanapiga propaganda na miziki majukwaani...CCM wanachotaka kuaminisha UONGO WANANCHI ni kuwa UFISADI NI LOWASSA, wakiongea UFISADI ni LOWASSA tu, kumbe wanajidanganya wao wenyewe, TATIZO NI HAWANA JIPYA, na wamekosa la kuwaambia wananchi, WAKATI CCM ndio MFUMO wa UFISADI.... na watu wanajua ukweli sasa, ndio TATIZO... hawadanganyiki, UONGO WAO juu ya Lowassa hauna mashiko...!!!

11: RESOURCES ZA TAIFA.... GESI, MBUGA ZA WANYAMA, UWINDAJI, MADINI Yote, SAMAKI, BANDARI, RELI, hivi tu vitadhibitiwa kwa umakini wa hali ya juu, yaani MIKATABA YOOOOOOTE ITAKUWA WIN-WIN situation... yaani minimum ya mikataba yote isiwe below 50%... au Serikali inakuwa na 51% and above.... as well UHAKIKI WA UVUNAJI MADINI AU MAPATO YA MADINI UTASUMAMIWA UPYA.... tunadanganywa sana ktk mapato ya MADINI NA MAKAMPUNI YA SIMU.... TUNAPOTEZA TRILLIONS hapa....

So, hivyo ni kwa UCHACHE TU... nime balance points 10 kwa UKAWA, na 10 kwa CCM, na kukupa picha halisi KWANN UKAWA WATASHINDA SANA SANAAA

FOR 54 yrs CCM imeshindwa kabisa KUTULETEA mabadiliko, na hata sasa SERA ZAO HAKUNA KITU KABISA.... so ni TIME FOR CHANGE... tumeamua..!!

Ni hoja kwa hoja... viroja mkae navyo kwenu CCM...!!!

Mr. President is BACK....!!!
mshenga on line:bange:
 
Oyaa ondoa kunguni wako kwenye post yangu.. alaa!
 
ni mshenga

kama unashughuli mwambie; lakini awezi kutunza siri
tuna kuhasa in adv
ance
 
mr. President is back...!!!

Habari njema kwa ukawa... Na kilio kwa ccm uchaguzi, 25 oct. 2015, nisiwachoshe, let's dig in...!!!

Sababu kuu za ccm kuanguka...!!

1: Katiba mpya ya warioba.... Huu ndio masumari mkuu, na wananchi wana hasira na hili.. Na ccm walichakachua, na wako kimya...hata ilani yao hawasemi hilo

2: Ufisadi.... Hadi sasa ccm hawana sera... Wanaongelea lowassa, lowassa, lowassa, lowassa... Hawana policies kabisa...watu wanahoji na wanajua ccm ndio ina ufisadi wa kutisha, sio lowassa, lowassa hana kesi au kutuhumiwa sehemu yoyote na vyombo vya dola... Eg takukuru, dpp, mahakama, police, tume ya maadili ya viongozi wa umma na hata kamati ya maadili ya ccm haijawahi mshutumu maisha yake yote akiwa ccm na serikalini... So ccm hawana points, sasa watu wanajua mengiii kuhusu ufisadi... Kuna

1: Escrow... Wizi wa wazi...

2: Wachina wanatuibia usiku na mchana... Ni ccm inawaleta... Tushamalizwa.

3: Epa... Wizi wa wazi..

4: Wanyama hai kwenda na ndege hadi twiga... Hii ni hatari kuu

5: Richmond... Sio ya lowassa na kaikana, na hata obama alipelekwa ubungo na kuipongeza... So utajua ni ya nani hapo..

6: Iptl... Hili ndio zimwi linalo tumaliza... Na mnajua mmiliki wake... Watu wanajua haswaaa...!!!

7: Mikataba ya gesi na mafuta.. Hapa hata pac, hawajui nn hii mikataba taifa linafaidika... Tunaibiwa mchana
mchana tena.. Hadi tpdc wenyewe hawajui kuna nn ndani... Hatari sana

8: Meremeta...

9: Kiwira...

10: Tembo wanuawa sana, na wahusika wanajulikana, hadi meli zake... So wananchi wanajua, wachina ndio wanashirikiana nae, jambazi mkuu wa swala hili... Wachina wamemaliza nchi yetu...

11: Mkopo wa bomba la gesi from china... Tshs. 1.6 trillion... Yaani dollar billion 1 kwa rate ya wakati ule wa mkopo... Hizo fedha watu wanahoji fedha hizo kama zimetumika, zimefichwa sana sanaaa... Na wanasema almost nusu tu ndio imetumika kulaza mabomba ya gesi from mtwara hadi dar... Zingine ndio hivyo..refer freeman mbowe..

12: Mabehewa feki... Tshs 252 bilioni, jamani... Na mwakyembe akiwa waziri wa uchukuzi, hatari sana hii... Billions zote zilitolewa na kulipwa kwa wakati mmoja kinyume na taratibu za manunuzi... You have to pay half kikawaida, then bidhaa au vifaa vikisha tengenezwa na kuwa tested to standard na kuona viko to standard... Ndio unalipa nusu ya fedha zilizobakia...

13: Meli ya samaki ya magufuli...serikali imeshindwa kesi...na sasa inadaiwa billions.. Huu ni ufisadi, yaani unamkamata mwizi, kaiba samaki wetu, alafu unashindwa kesi, hapa sbb meli ni ya china tu... So wachina wanatumaliza hadi bahari yetu.. Wachina hawafai...

14: Nyumba za serikali... Yaani hapa ndio dhamani ya ma trillions zilipotea... Bure kabisa, magufuli ndio kahusika... Billions of assets incl..prime areas ziligawiwa hovyo na kuwapa ndugu, vimada, hapa serikali ilipoteza ma trillions... Hii ni hasara kubwa sana saanaaa...

15: Loliondo... Ule mradi wa waarabu ni ni wizi mtu wa kuwinda wanyama, ortelo group... Nchi haifaidiki na chochote... Na kinana alihusika kuwapa waarabu wale loliondo...

16: Bandari yetu... Hapa ccm na serikali yake ndio imekuwa kichaka cha kuchuma fedha, na kutoa misamaha ya kodi billions kwa wiki tu... Mfano kampuni moja tu ya mtoto wa kigogo, inasamehewa tshs. 16 billions kwa wiki moja tu... Ni hatari sana...

17: Mikataba ya madini... Hapa tumeliwa hadi basi... We lost trillions of tshs... Na wafaidika ni ccm na vigogo wake... Wananchi maeneo husika ya migodi wamekuwa vilema na maskini fukara wa kutupa...mikataba ya migodi inafichwa kuliko sehemu za siri za mwanadamu wa leo...

18: Madawa ya kulevyaaaaaa... Wote mnajua hata siandiki kitu hapa... Yaani...

19: Net groups solutions... Yaani wee acha tu..

20: Serikali inadaiwa na wakandarasi 1.4 trillions wizara ya magufuli pekee... Ikiwa tshs 900 bilioni ni fedha za deni...na tshs 500 bilioni ni riba la deni hilo... Refer sumaye... Kasema hilo wazi... Imagine sasa...deni kubwa hivyo... Wizara ya magufuli... Huu ni ufisadi... Jumlisha na cag alisema wizara ya magufuli tshs 256 bilions hazijulikani zilipo... Huyo ni cag mpya prof. Assad... Tena kasema waziri magufuli ashitakiwe...!!! Imagine...

21: Uda jamaniiii...uda yetuuuuuu.... Uda jamaniiiiiii...... Nalia naumiaaaa... Uda mali zaidi ya tshs 12 bil... Zinauzwa kwa bei ya uwizi kwa tshs 400 mil..... Sasa ulizia ni mradi wa nani.... Jamaniiii..... Lake oil lazima pia tuichukue.... Mali zetu wananchi zote hizo

hayo ni kwa uchache tu madhambi na ufisadi wa ccm

....sera za ccm sasa ktk uchaguzi huu... Ni hakuna kitu... Sera zao tuone..

1: Lowassaaaa, lowassaaa... Lowassaaaa, lowassaaaaaaaa.. Nonsense...

2: Msifanye mabadiliko mtakuwa kama libya, sijui tunisia... What..?? Hata mgombea wao hajui libya na tunisia hawakupiga kura wala mapinduzi yao haujatokana na kura.. Nashangaa mifano mfu kabisa.. Wanatisha watu hovyo... Ila hawatolei mifano kenya, malawi, zambia ambayo ni mifano halisi na yetu...

3: Nitafungua mahakama ya mafisadi... Eeeehh.. Hii ndio priority ya watanzania kweli...??

4: Udini... Badala wauze sera bora, wamebaki kusema udini, huku wakijua ni uongo kabisa.. Walianza na ugonjwa, ukanda, ukabila vyote vimegonga mwamba...

5: Kuwa sambaratisha viongozi wakuu wawili wa ukawa... Dr. Slaa na lipumba.. Mbinu hizi mbili kuu ndio ilikuwa silaha kuu za ccm, na zote zimeshindwa kabisa.. Wananchi wamebaki na ukawa.. Na hakuna alio wafuata hao, na sasa wananchi wanawaona wasaliti wakuu.. So mbinu hii au sera hii imefeli vibaya..

6: Mgombea urais ccm, anaongea kama mpinzani, na yeye anataka mabadiliko.. Anashangaa dawa hakuna, viwanda vimekufa... Anashangaa ufisadi, na hata anasema kuna mchwa wengi serikalini sana, sasa hapo anamchongea boss wake kwa wananchi, na anashangaza... Yuko kama hagombei ccm vile...

7: Eti kitandani kikiingia kunguni wawili utachoma kitanda au utawatafuta kunguni wawili utawaua... Hii sio sera jamani... This is too low....

8: Ccm wananchi wameichoka sana, ulizia kila group la watu, kila kona ya nchi... Na hata wana ccm wengii wataipigia kura ukawa... Yaani wengi bado wana matumaini sana na lowassa , hii ndio hatari kubwa ccm kuliko yote.. Na hawataki kuona hili...

9: Makundi yaliyo pata shida na serikali ya ccm, yana hasira, eg waalimu, madaktari, bodaboda, machinga, mama ntilie, wana mtwara wengi hawa wana hasira sana na ccm...na ni pigo sana..

10: Vitisho vya magufuli... Huwezi uongea jukwaani na kusema nikiingia ikulu watanikomaaaa... Wafanyakazi serikalini watakoma, sijui waziri atakoma, sijui wakurugenzi watanikoma, sijui nani, au msifanye mabadiliko yatatokea kama libya, mara kuwait... Hivi vitisho unakosa kura kabisaaa..... Rais hatakiwi kuwa mtu wa kutisha watu wa nchi yake... Hili ni kosaaaa kubwaaa mdomoni na akilini mwa magufuli..... Namuonea huruma...na hii sio sera kabisa..mifano mfu kabisa na vitisho kila akisema neno, unawatisha watu hivyo... Kura hutapata aiseee...!!!

Ccm ikifuatilia kwa makini, hawana jipya au strategies zozote tofauti... Kabisa kabisa...

✌✌✌ look sasa wenzao ukawa...!!! Wanafanya mambo..!!!

Sera za ukawa muone sasa...kwnn ccm inakufa.. Hapa chini...cheki ukawa..... Very strategic, to the point...!!!

1: Katiba mpya ya warioba.... Na sitaki kwenda ndani zaidi, maana hii katiba ndio kila kitu nchii hii kuinuka na kutembea kiuchumi, kisiasa na kijamii,

hii katiba itafuta wakuu wa wilaya
wote, na serikali ita save trillions ya tshs kwa mwaka.... Wakuu wa wilaya hawana kazi... Ni mzigo sana kwa taifa hapa ukawa watapata fedha trillions kwa mwaka mmoja tu... Yale magari ya wakuu wa wilaya, nyumba, mishahara, allowances, mafuta, walinzi, madereva, offices etc etc... Trilliions hizi zinatosha kutoa elimu bureeee... Kufuta wakuu wa wilaya tu hela zinazopatikana zinatosha kutoa elimu bure hadi university, which is roughly tshs 1. 6 trillions kwa mwaka... Kutoa elimu bure hadi chuo kikuu...

Katiba ya warioba, someni ina kila kitu... Na ufisadi utakuwa historia, hata rais atashtakiwa akitoka madarakani... Wizara zitakuwa fixed number, mawaziri hawatakuwa wabunge.... Mikataba yooote itapelekwa bungeni... Sio siri tena... Speaker hatakuwa mbunge au kujihusisha na siasa for the last 5 years... As well mwanasheria mkuu hatakuwa muumini wa chama fulani kwa miaka 5 iliyopita.... Etc etc... Na mengine mazuriii mengiiiii...

2: Ukawa watarudia mikataba yooote ya madini... Na kuweka wazi hata kabla ya katiba mpya... Hapa serikali itapata billions maana zinaliwa na wachache..

3: Ukawa watafuta mbio za mwenge....

Mbio za mwenge, zinapoteza more than tshs 600 billions, na zaidiii na zaidiiii... Huku mbio hizo hazina faida kwa taifa... Ukawa wataupeleka mwenge wa uhuru ktk makumbusho ya taifa... Inatosha... Mbio hizi zinatia hasara kubwaaa serikali kila mwaka... Tshs 600 bil and above...!!! Ni hatari...!!!

4: Kodi kudhibitiwa bandarini, etc... Mashine za efd kupewa kwa bei ndogo sana sanaaa sawa na bure, ili kupata kodi halali, kwani wafanya biashara ugomvi wao na serikali hivi sasa sio kukataa kulipa kodi... Ila wanalalamikia bei kubwa sanaaa za efd, ilianza 1.2 milioni, ikaja wakashusha to laki 8, sasa sijui laki 6... Hii ni biashara ya mtu binafsi....serikali imekosea sana kuuza hizi mashine ndogo tu za kulipia kodi kwa bei ghaliiii sanaaaa... Na huo ndio ugomvi wao na serikali... So ukawa watapata mapato makubwa kwa kutoa mashine hizo sawa na bureee.... Point hapa ni kodi... Sio kuuza mashine hizo za efd...of which ni mradi wa mafisadi wachache...

5: Makampuni ya simu.....

Hapa kuna trillions za kodi hazilipwi, pale tcra, kuna mtambo maalum, ambao ni wa kisasa, unaweza kujua mapato yoote ya kampuni za simu, ila bado hawautumii kujua kodi, kazi yao kufuatilia simu zetu, calls, sms, etc hiyo sio primary target.... Target ya mtambo ule ni kodiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.... So ule mtambo ukawa wakiingia madarakani of which i believe so, watapata more than tshs 4.1 trilllions za kodi.... Kupitia makampuni ya simu tu... Hapo hela za kujenga viwanda tayari...

6: Elimu bure hadi chuo kikuu... Hili linawezekana, kama nilivyoainisha hapo juu, hela zitatoka wapi...!!! Nadhani mshajua...

7: Kubana matumizi ya serikali... Hapa wata save trillions... Sbb ukawa wameweka wazi hutaona land cruiser vx v8 tena za serikali... Ambazo ni mzigo mkubwa kwa wananchi... Badala yake watanunua land cruiser prado za kisasa kwa bei ya 60 milioni each ya engine ya cc 3000 tu, that is maximum, kwa mijini watu wa serikali ni rav 4 tu.... Uko mjini unatembea na vx v8 ya nn..? Sasa ni wakati wa kufuta magari ya mil 300 ya cc 4.5, na kununua prado za tshs, 60 mil, za kisasa za cc 3000 au 2700... Hapa ukawa wata save again trillions kwa mwaka.... Trilions of trillions zinapotea kwenye hizi gari za kifahari ajabu... Dunia inatushangaaa..

8: Hospitali na madawa ya uhakika... Ukiweza save hizo fedha hapo juu, huduma za afya zitakuwa za uhakika kabisaaa

9: Viwanda.... Kwa ukawa, ukiniambia watajenga viwanda vya samaki, nyama, ngozi, ninakubali, sbb na uhakika hela zinatoka wapi.... Kama nilivyosema hapo juu... Hapo wata save trillions za fedha, na kuweza anzisha viwanda... Kwa uhakika kabisaaa... Ccm ikisema viwanda nakataaa, sbb hawajui fedha wanatoa wapi, washashindwa, na hakuna na wameua vyote, so ccm hawana mikakati ya kweli ya kujenga viwanda labda kuua hapo nakubali...

10: Ukawa, wana bahati ya kumpata lowassa.... Lowassa ni pigoooo kubwaaaa sanaaaa kwa ccm.... Yaani kaongeza nguvu ya ukawa by 50%... Sasa wakaja sumaye, na wengine wa ccm... Hii sio sera najua, ila ni sababu kuu sana ya ukawa kushinda...

Kila kona ni lowassaaa... Lowassaaaaa... Lowassaaaaa... Lowasssaaa... Najua ni viongozi wa juu wa ccm watakataa hili, ila ukweli wana ccm mamilioni bado wana imani na lowassa sana sanaa, na mikutano yake inahudhuriwa na wana ccm mamilioni, na wana imani nae, achia mbali wana ukawa, na ccm inavyozidi mchafua lowassa, ndio anazidi kung'aaaaaaa sbb hawajibu hovyo, au kujibizana nao, yeye lowassa mjanja sanaaaaa, anakaa kimya, anauza sera tu, za kueleweka... Ccm wanapiga propaganda na miziki majukwaani...ccm wanachotaka kuaminisha uongo wananchi ni kuwa ufisadi ni lowassa, wakiongea ufisadi ni lowassa tu, kumbe wanajidanganya wao wenyewe, tatizo ni hawana jipya, na wamekosa la kuwaambia wananchi, wakati ccm ndio mfumo wa ufisadi.... Na watu wanajua ukweli sasa, ndio tatizo... Hawadanganyiki, uongo wao juu ya lowassa hauna mashiko...!!!

11: Resources za taifa.... Gesi, mbuga za wanyama, uwindaji, madini yote, samaki, bandari, reli, hivi tu vitadhibitiwa kwa umakini wa hali ya juu, yaani mikataba yoooooote itakuwa win-win situation... Yaani minimum ya mikataba yote isiwe below 50%... Au serikali inakuwa na 51% and above.... As well uhakiki wa uvunaji madini au mapato ya madini utasumamiwa upya.... Tunadanganywa sana ktk mapato ya madini na makampuni ya simu.... Tunapoteza trillions hapa....

So, hivyo ni kwa uchache tu... Nime balance points 10 kwa ukawa, na 10 kwa ccm, na kukupa picha halisi kwann ukawa watashinda sana sanaaa

for 54 yrs ccm imeshindwa kabisa kutuletea mabadiliko, na hata sasa sera zao hakuna kitu kabisa.... So ni time for change... Tumeamua..!!

Ni hoja kwa hoja... Viroja mkae navyo kwenu ccm...!!!

Mr. President is back....!!!

nyumbani kwako umefanya mabadiliko gani; unashindwa na bodaboda

graduate mzima;

hapakazi tu.

Kama ulitegemea memo ya el na gwajima;

mwenzako lipumba anapiga kazi tu,
 
Kitaaaambo sana uamuzi wangu /kura yangu ni UKAWA- hizi propaganda za CCM mara udini, ufisadi, ukabila, mauaji yatatokea etc tumeishazizoea.
 
Kitaaaambo sana uamuzi wangu /kura yangu ni UKAWA- hizi propaganda za CCM mara udini, ufisadi, ukabila, mauaji yatatokea etc tumeishazizoea.
Usiwe na roho ngumu kama alshabaab, UKAWA hawana misingi imara ya kutatua matatizo/migogoro kati yao. Angalia Sudan ya kusini, rais na makamu wake wanagombea madaraka. Hill kwa ccm haliwezi tokea ila kwa UKAWA ni kufumba na kufumbua tu. Interest za cuf ni serkali ya mkataba wakati cdm wao ni wafanyabiashara so wanatarget mafuta na gesi. Ikitokea mmoja kaona anapuuzwa lazima alianzishe. Hatutaki vita siye, Mungu mbariki Magufuli.
 
Khaa!! Ingekuwa poa sana kama haya mabadiliko tungeyaanzia kanisani
 
Lowasa asituletee ya Sudan na Nigeria
Wana JF
Sikushangaa kabisa askofu Gwajima hakutumia hata dakika moja kumuonya swahiba wake lowasa kuhusu kauli yake ya kanisani tabora iliyokuwa na dhamira ya kuwagawa watanzania kwa misingi ya kidini. Badala yake gwajima katumia muda mwingi kusambaza chuki kwa dr slaa. Gwajima kama kawaida yake alifanya maigizo yaliyojaa uongo na chuki kwa lengo la kutuaminisha watanzania kwamba mke wa dr slaa ndo sababu ya dr slaa kuhama chadema. Kutuaminisha kuwa tatizo halikuwa lowasa kuingia chadema akiwa na mzigo wa tuhuma za ufisadi. Mungu anaipenda tanzania na kawaida mungu hamfichi mnafiki. Kule Tabora kanisani mungu kamuumbua lowasa na kutuonyesha watanzania sura halisi ya mtu anayedai anataka kuwaongoza watanzania. Kumbe lowasa anataka kuwa rais wa waluteli. Mungu mkubwa umetuonyesha waja wako. Siye waislamu kumbe tusingekuwa na chetu kwenye utawala wa lowasa, ingekuwa zamu ya waluteli!
Mungu umetuonyesha, na sasa tunajua cha kufanya oktoba 25. Watanzania tusipokuwa makini lowasa huyu atatuletea ya kule sudan na naijeria. Tunajua kuwa udini ulioletwa na wanasiasa ndio umekuwa chanzo cha mgogoro mkubwa baina ya watu wa sudan na kupelekea dhahma kubwa. Wasudan kule kusini wanaangamia kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe ambapo chanzo kikuu ni udini. Ni kutokana na wasudan kugawanywa kwa misingi ya kudini na kikanda, kusini wakristo na kaskazini waislamu. Kule naijeria hivyo hivyo wamegewanika kikanda na kidini. Kaskazini waislamu na kusini wakristo. Boko haram ikazaliwa hapo hapo. Hapa kwetu tumeona chadema ikionyesha kuigawa tanzania kikanda na lowasa juzi tu kaonyesha na kidini pia. Eti nchi sasa itawaliwe kwa zamu zenye kufuata misingi ya kidini na kimadhehebu. Watanzania tukiikubali dhambi hii uchaguzi ujao atatokea mgombea ataesema ni zamu ya wasunni kwa vile waislamu nasi tumegawanyika kimadhehebu. Ewe mola twepushe waja wako na balaa la kuwa na rais wa aina ya lowasa.
 
Gwajima aliwarekodi watu aliokuwa anaenda kuwapa ushauri wa kiroho.
Halafu anatangaza ushauri huo na matatizo yao hadharani.
Ole wako...ukimwambia siri zako utajuta.

Huyu mchizi tu anasema anafufua watu tapeli kabisa Uaskofu wa kishetani
 
Back
Top Bottom