georgemwaipungu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 2,779
- 589
Wewe! hicho kitabu(bible) usikitumie vibaya.. mimi nimekisoma sana nilipokuwa mdogo,nilibaini kuwa watu wengi hadi wachungaji hukitumia kwa manufaa yao tofauti na ya YEHOVA.
Wewe ulisoma ukiwa mdogo sisi tunasoma mpaka sasa uwezi kutufundisha.
Mulitegemea kumtumia Slaa kutumaliza mumeshindwa sasa munaomba huruma kwanini?
Endeleeni kumtumia ili tueleze pesa ngapi mlimuhonga.