Tahadhari kwa waumini wa Gwajima

Tahadhari kwa waumini wa Gwajima

Ha ha ha Gwajima siyo saize yako afu mchungaji au askofu anaruhusiwa kuwasemea waamini juu ya mambo hasi kwa taifa.
 
Nakubaliana nawe. Kwa maneno na tabia zake atasababisha jina la Yesu kutukanwa ykizingatia kwamba anajiita Askofu
 
Na bado mtaweweseka sana, kwani Yesu anapenda wazi, mafisadi, waua albino, wahujumu uchumi? Kiongozi wa kidini ana haki ya kuwasemea waumini wake dhidi ya dhuluma zinazofanywa na wazi wa CCM, angewaponda UKAWA angekuwa ana MAADILI?
 
Gwajma anakegeuka na maadili ya kichungaji kwa kutoa siri za waumini wake aonywe na ajirekebishe mtumishi huyu
 
ss slaa angekaa kimya kutomuhusisha gwakima asinge muongelea sasa yeye kadanganywa na ccm kujakumchafua gwajima yy kujibu ndio hafai.yy angedili na chadema tu ss kaumbuka
 
slaa anajua kabisa Gwajima anamfahamu A to Z alafu anaenda kumwongelea maneno mbofumbofu
 
Viongozi wa dini zingine hawana mandate ya kufanya kitu kama hicho.Uovu wowote mtu anaofanya awe askofu,mchungaji au shemasi,ni kati yake na Mungu wake.The only thing you can do ni kumshauri,maana biblia inasema tuonyane kila iitwapo leo.
 
Duh!! Umekuwa Herode wewe?

Eti apigwe marufuku kutumia jina la Yesu, kwa taarifa yako Yesu Kristo alishuka duniani kutafuta na kuokoa wakengeufu...

Hivyo kama wamuona Gwajima yu mkosefu basi huyo ndio haswa anayetafutwa na Masihi...
 
Mtakoma tu ninyi mafisadi Wakubwa CCM. sisi tuko kazini kuleta mabadiliko.
 
Hii ni kutokana natkukosa maadili ya kikristo kwa mambo ambayo amekuwa akiyafanya kama;

1. Kujihusisha na imani za kishirikina kwa kutamba kuwa anafufua misukule kwani misukule inahusiana na ushirikina.

2. Kutoa matusi kwenye madhabahu ya kanisa analomhubiri Kristo Yesu.

3. Kuhusishwa na kashifa ya kuvunja ndoa za waumini wake. Maandiko yanaasa ''ndoa na iheshimiwe na watu wote''

4. Kujihusisha na siasa majukwaani. Maandiko yanaasa kuwa ''Ya Mungu mpe Mungu, ya Kaisari mpe Kaisari''.

5. Kutoa siri za waumini aliodai kuwaombea kutokana na matatizo yao. Hili siyo sahihi hata kidogo kutoa siri za mteja wako, awe daktari, padre, mwanasheria, mchungaji, n.k

6. Kutengeneza maneno ya uwongo na kuwaaminisha watu. Amri za Mungu katika amri ya 8 inasema usiseme uwongo.

Kwa hayo na mengine mengi, mtu huyu hana sifa hata ya kuwa Katekista na hapaswi kuendelea kutumia jina la Bwana wetu Yesu Kristo.
Nawasilisha.

Yesu huwa anajipigania mwenyewe, mwanadamu hana nguvu wala uwezo wa kumpigania Yesu ila kumwamini tu. Aliwahi kuwajibu wanafunzi wake kuwa wawaache hao ambao wanafunzi walishitaki kuwa wanatumia jina la Yesu yeye akawajibu kuwa kama wanatumia jina langu hao wapo upande wetu.
Kwa habari ya Yesu mwanadamu hakupewa mwanya wa kuwa hakimu wa mwingine, our judge is Jesus only
 
naamin kitu imewaingia gwajima juu na bado mtumen tena awalipue na bomu kasema slaa kawa kibaraka ni hatari
 
Huyu shetani atapigwa na fimbo ya mungu

Kweli kabisa, huyu shetani atakujapigwa na fimbo ya mungu, wanadamu hawana uwezo huo. Jambo lolote baya ukimfanyia mwenzio, ubaya utalipwa hapa ulimwenguni. Alimtukana Askofu Pengo bila sababu yoyote, Pengo akasema amemsamehe, lakini je mungu amemsamehe?. Mtu yeyote anayemtegemea mungu halindwi na maunsa, mtu yeyote anayemtegemea mungu hawezi kuwa na haiba kama ya gwajima. Makanisa ya entekosti mwangalieni huyo gwajima kwa jicho la tatu, anazidi kulifedhehesha kanisa
 
Ni muda mrefu jamii yetu imekuwa ikiwaheshimu na kuwaamini viongozi wa dini katika masuala mbalimbali ya kiroho na ustawi wa familia.

Ni jambo la kawaida sana kwa waumini wa dini zote kupeleka matatizo yao mbalimbali ya kifamilia kwa viongozi wa dini.

Ni dhahiri kwamba wengi wetu hupeleka masuala mbalimbali hata yale ya unyumba na siri nzito nzito za chumbani na familia kwa ujumla kwa kuwa tuna imani viongozi wa dini wana hulka ya kutunza siri na kusaidia kutatua matatizo yetu ya kiroho au kifamilia.

Hii ni tofauti kwa Gwajima ambaye ni mtomvu wa heshima ya kiongozi wa dini kwa kueleza siri za familia aliyoipa huduma za kiroho kisa tu kachokozwa kisiasa na yeye kajibu kwa kutoa siri za familia ya Slaa.

Angekuwa daktari angeweza kufutiwa cheti na kudaiwa fidia.

Lakini tukumbuke ni Gwajima huyu huyu aliyeshutumiwa kuvuruga ndoa ya Mbasha badala ya kutatua mgogoro wa familia hiyo.

Hii ni trend ya Gwajima anayejiita Bishop ambayo inatakiwa kuangaliwa kwa jicho la Tahadhari hasa hasa na waumini wake wanaompelekea siri za ndani.


KWA HISANI YA MTU WA TANZANI!!
Gajimwa kamlipua vizuri sn Slaa na mbinu zenu magamba. ndio mana mnatapa kupotosha ukweli. TUNALITAMBUA HILO. WA TZ sasa tupo macho.
bunduki yenu ya mwisho imeferi sasa mnataka kuifaurisha na propaganda zenu...
 
Wewe ni msemaji wa kanisa katoliki?
Haukumusikia Dr. Mihogo akisema kaambiwa? na Gwajima sasa ulitaka Gwajima ajibu kwa niaba ya nani?
haujui hata wakati ule alikuwa anawasemea hata Maasikofu Katoliki? Kwa maana lile lilikuwa azimio la Maaskofu Tanzania?
Wewe vipi au umelogwa na wewe na ukijani?

Wewe ndiyo msemajoi wa Gwajima?

Ukijibu hilo ndiyo nitakujibu na mengine katika post yako.
 
Sema Kweli nayo kweli itakuweka huru na Gwajima alikuwa anasema kweli nayo haijamuweka peke yake bali sisi sote imetuweka huru kujua mpango wa ccm kuwa walimunua Dr. Slaa

Kwa mawazo kama haya nakushauri ufunguwe kanisa.utapiga hela sana maana una kipaji cha kutumia maandiko matakatifu kama gwajima kufanikisha malengo yako.
 
Tatizo sio..kumbuka kuwa slaa ni icon ya taifa..na gwajima pia ni icon ya taifa..
Nyuma ya hoa watu wawili kuna kundi kubwa la watu.

Kama viongozi wetu wanafanya ndivo sivyo lazima tujadili.


Ila huyo asikofu kwa kweli amekurupuka kama kawaida yake.
Ila mimi simshangai ,,maana kuna kipindi alikurupuka akamtukanapengo.
Kwa kweli huyu mtumish kuna kipindi busara ya utumish inapita kushoto

Dk Slaa ambaye naye umemuita icon ya taifa alikurupuka, akamshambulia na kumkejeli Gwajima hadharani. Mbona humuongelei? Wewe umenuona Gwajima wengine huoni???
 
Hongera baba gwajima tunakupenda sana baba
 
Dk Slaa ambaye naye umemuita icon ya taifa alikurupuka, akamshambulia na kumkejeli Gwajima hadharani. Mbona humuongelei? Wewe umenuona Gwajima wengine huoni???

Nikuulize swali moja.. ukiwa unaoga mtoni. Akaja chizi akachukua nguo zako na kukimbia nazo.. je utamkimbiza.






Dr slaa ni kweli nae alikirupuka kwa kumuaniaka gwajima kwa mambo yake.
Lakin gwajima yeye ni asikofu kama anavyojiita , ilipasa atumie hekima ya kiasikofu katika hili..bora angefunga na kuomba kwa siku kadhaa nina imani mungu angetoa majibu kwa dr slaa kama kweli alikua amesema uongo.



Tukirudi nyuma kidogo..gwajima alimtukana pengo..lakin pengo hakujibu chochote.. hiyo ndo inaitwa busara ya mtumish wa mungu.



Sasa kama asikofu gwajima anatoka hadharani na kuuongea mambo ya ndani ya muumini wake.


Je sisi wengine waumin wa kawaida si tutaanza kuogopa kumwambia siri zetu.
 
Back
Top Bottom