Tahadhari kwa waumini wa Gwajima

Tahadhari kwa waumini wa Gwajima

bahati nzuri dr slaa ni mtumishi wa mungu kwa cheo cha upadri na ni mtu anayejua nini maana ya siri na nini maana ya kutunza siri.

Gwajima naye ni mtumishi wa mungu mwenye cheo cha uasikofu kama ilivyo kwa dr slaa naye ana jua siri ni nini na namna ya kutunza siri.

Kwa pamoja wote ni watumishi wa mungu wanaopaswa kutunziana siri pamoja na siri za watu wengine.

Kama kuna mtumishi mmoja kaamuwa kumwaga ugali hadharani,mwenzake kajibu kwa kumwaga mboga hadharani,huyu mtumishi wa pili aliyejibu kwa kumwaga mboga hadharani ana laumiwa kwa kosa gani?.

gwajima ni kiumbe sio mwanadamu wa kawaida.... Muulizeni mshirika wake wa mwanzo anaitwa baba god yupo mwanza karibu na miti mirefu... Kitu kingine ambacho mkijue jamaaa ni agent wa kusambaza sembe kimataifa.... Yeye na mgombea urais wake wana link ya kimataifa kwenye mambo ya sembe
 
Gwajima anaongelea credibility ya maaskofu wa kanisa Katoliki wakati siku si nyingi alimtukana kadinali Pengo.

Umesema anaongelea credibility ya maaskofu(wengi wao),yuko sahihi kwasababu siku hiyo aliongelea walio wengi si kama siku ile aliyo muongelea huyo mmoja!
 
gwajima ni kiumbe sio mwanadamu wa kawaida.... Muulizeni mshirika wake wa mwanzo anaitwa baba god yupo mwanza karibu na miti mirefu... Kitu kingine ambacho mkijue jamaaa ni agent wa kusambaza sembe kimataifa.... Yeye na mgombea urais wake wana link ya kimataifa kwenye mambo ya sembe

Hatuna serikali hapa kama watu wanasambaza sembe hivyo,
 
Gwajma anakegeuka na maadili ya kichungaji kwa kutoa siri za waumini wake aonywe na ajirekebishe mtumishi huyu

Hakuna siri kwa wakristo .ataa kama umeua ukikiri au ukiokoka unatoa ushuhuda hadharani atakama ulizini na mbwa.kufichiana siri na umbea peleka ccm
 
ina maana slaa aliposema maaskofu 30 wa kanisa wamehongwa except 4,, si kudhihaki kanisa katoriki? huo ushaidi upo wapi ? basi autoe kama ule wa escrow..... ulivyotolewa ukionyesha mihamala ya upokeaji.
 
gwajima ni kiumbe sio mwanadamu wa kawaida.... Muulizeni mshirika wake wa mwanzo anaitwa baba god yupo mwanza karibu na miti mirefu... Kitu kingine ambacho mkijue jamaaa ni agent wa kusambaza sembe kimataifa.... Yeye na mgombea urais wake wana link ya kimataifa kwenye mambo ya sembe

Wauza sembe wote wanatokana na CCM yenyewe,safari hii tumeamuwa kukifutilia mbali kizazi chote cha wauza sembe bila kujali asili ya mtu tutakaye mtumia,cha msingi CCM kizazi cha wauza sembe kifutike kabisa.
 
Mkuki kwa nguruwe. ....aliyeanza kumchafua mwenzake nani?

Angalia Dr Slaa alivyo wa ajabu, anadai hawezi kufanya mkataba na shetani kwa ajili ya lengo lolote lile akimlenga Lowassa! Mbona kafanya mkataba na Josephine aliyekiuka kiapo chake cha ndoa kwa Mungu ili wakavunje amri ya 6 ya Mungu ya USIZINI!? Kuna ushetani kama huo!? Lowassa kavunja amri gani ya Mungu!?
 
Inawezekana ngwajima kakosa maadili kweli ila kumbuka huyo bwana yeye sio malaika pia ana mapungufu.ushauri wangu kwako ni bora ukamuone ili umsaidie acha mambo ya siasa kwenye hili.suala la yeye kutokutumia jina YESU naona kama umekurupuka sana kwani yeye mwenyewe anadai hakuja kwa walio wazima kwani hawahitaji tabibu.bali alikuja kwa sisi wenye mapungufu kama ngwajima.wanafunzi wake walimletea mashtaka kama yako akawajibu kuwa hao nao wako upande wao yaani team JESUS.
 
Nampongeza sana gwajima kwa kuwanyamazisha ccm ambao walitaka kumtumia silaa kisambaratisha ukawa lakini gwajima akaliona hilo nakumuumbua silaa
 
Nampongeza sana gwajima kwa kuwanyamazisha ccm ambao walitaka kumtumia silaa kisambaratisha ukawa lakini gwajima akaliona hilo nakumuumbua silaa

Umeona mbali kidogo.
Ila macho yako. Si zaid ya sisiem,,sisiem wana mikakati mingi saana
 
Mkuki kwa nguruwe. ....aliyeanza kumchafua mwenzake nani?

Kumbuka huyu ni mtu wa kiroho anatakiwa awe mvumilivu maana imeandikwa atakaevumilia hadi mwisho atavikwa taji ya uzima!!!
Sasa yeye kitu kidogo tu kinamtoa imani na kumtoa kwenye neno?
 
siwezi kumwamini mtu kama Gwajima hata siku moja, huyu ni mtu anayetafuta umaarufu na tija yake binafsi kwa kutumia ujinga wa watu
 
Hakuna siri kwa wakristo .ataa kama umeua ukikiri au ukiokoka unatoa ushuhuda hadharani atakama ulizini na mbwa.kufichiana siri na umbea peleka ccm

Kula five nimekupenda bure
 
Ni muda mrefu jamii yetu imekuwa ikiwaheshimu na kuwaamini viongozi wa dini katika masuala mbalimbali ya kiroho na ustawi wa familia.

Ni jambo la kawaida sana kwa waumini wa dini zote kupeleka matatizo yao mbalimbali ya kifamilia kwa viongozi wa dini.

Ni dhahiri kwamba wengi wetu hupeleka masuala mbalimbali hata yale ya unyumba na siri nzito nzito za chumbani na familia kwa ujumla kwa kuwa tuna imani viongozi wa dini wana hulka ya kutunza siri na kusaidia kutatua matatizo yetu ya kiroho au kifamilia.

Hii ni tofauti kwa Gwajima ambaye ni mtomvu wa heshima ya kiongozi wa dini kwa kueleza siri za familia aliyoipa huduma za kiroho kisa tu kachokozwa kisiasa na yeye kajibu kwa kutoa siri za familia ya Slaa.

Angekuwa daktari angeweza kufutiwa cheti na kudaiwa fidia.

Lakini tukumbuke ni Gwajima huyu huyu aliyeshutumiwa kuvuruga ndoa ya Mbasha badala ya kutatua mgogoro wa familia hiyo.

Hii ni trend ya Gwajima anayejiita Bishop ambayo inatakiwa kuangaliwa kwa jicho la Tahadhari hasa hasa na waumini wake wanaompelekea siri za ndani.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANI!!

Wewe dini gani? Hata maadili ya wakiristo huyafahamu. Tangu lini msharika anatumia zaidi ya tsh 100m kwa ajili ya kumkashifu kiongozi wake wa kiroho? Wewe utakuwa mwehu,
 
Angalia Dr Slaa alivyo wa ajabu, anadai hawezi kufanya mkataba na shetani kwa ajili ya lengo lolote lile akimlenga Lowassa! Mbona kafanya mkataba na Josephine aliyekiuka kiapo chake cha ndoa kwa Mungu ili wakavunje amri ya 6 ya Mungu ya USIZINI!? Kuna ushetani kama huo!? Lowassa kavunja amri gani ya Mungu!?

Slaa kama Muumini wa kanisa la Romani Katoliki amefanya kile ambacho Papa Francis (kiongozi mkuu wa kanisa) amekubaliana naye kwamba hata kwenye hiyo dini sasa wanaweza kutalakiana na kuoa/kuolewa upya. Dr Slaa, ni mwana falsafa aliyebobea, aliliona hili mapema ila wenzake, na wewe amkulifikiria. Labda uniambie Papa Francis na wanasheria wa Kanisa Katoliki ni mbumbumbu.
 
Back
Top Bottom