Tahadhari kwa waumini wa Gwajima

Tahadhari kwa waumini wa Gwajima

Ni amazing sana CCM mnavyomtetea sana Dr. Slaa kipindi hiki.

Siasa zinashangaza sana.
Ni amazingi Chadema wanavyompenda Lowassa kipindi hiki.
Anaitwa mwokozi, Mussa, Yesu etc...lakini juzi tu alikuwa anatukanwa kila aina ya tusi na Chadema.
Siasa bwana 😆
 
Siasa zinashangaza sana.
Ni amazingi Chadema wanavyompenda Lowassa kipindi hiki.
Anaitwa mwokozi, Mussa, Yesu etc...lakini juzi tu alikuwa anatukanwa kila aina ya tusi na Chadema.
Siasa bwana 😆

Inaitwa Siasa za siasa hio
 
Ni amazing sana CCM mnavyomtetea sana Dr. Slaa kipindi hiki.

Si swala la kumtetea Slaa hapa hivi mchungaji Gwajima ni nani Chadema?? Mbona hamuongei point ina maama vyama vinaongozwa na wachungaji hell no
 
...kwani mapepo hukemewa sirini?..gwajima yuko sahihi...slaa aliyataka mwenyewe..na amejibiwa kama alivyotaka...watanzania mmezoea kuishi kinafiki..ndio maana mnalia humu..slaa angekaa kimya yasingemkuta...

by now yupo us huyu padre
 
Ni issue ya kuelewa kuwa kama alisema hyo si ni sawa tu na mtu yeyote anataka kuwania kazi ya umma si ni lazima awe kwanza na support ya wa kwao kwanza then wanam-second kwa wa mbal. Si ndo maana watangaza nia walienda kuanzia nyumbani kwao, M akamba Jr alikuwa mojawapo , huo ulikuwa ukabila, si kweli. Kwanza lazima ukubalike na wa kwenu, asiyekubaliwa na wa kwao then wa mbali watamkubali vpi? Ndo maana ni muhimu eneo lako hilo linalokufahamu vizuri huenda la msikiti au la kanisa au la wasanii, au la wakulima au hata wafanya kazi mahali fulani wakupe shavu kwanza. Haw ni mambo ya kawaida katika jamii yoyote ile. Hata Obama alipata sapoti ya wakwao haukuwa ukanda, wala ukabila, wazungu hata hawajasema huo ni uafrika... Ni sisi tu tuliyofilisika kiakili ndo tukiishiwa sera tunakimbilia kutafuta Legitimacy ndani ya udini, ukabila hata pasipostahili na hasa ccm wakiona kuzidiwa. Ndiyo, tuliona Tabora kwa yule mh. mama mkuu wa Wilaya miaka ilyopita... ccm poleni. Vumilieni tu msitoe watu kwenye reli.. speed tayr 250km/hr.
 
weye umekamatwa nyota na "First Lady" Joséphine Mushumbusi, kaungame kwa Askofu Gwajima akuondolee mapepo, yanakutesa!!!!!

QUOTE=Jamar Said;13936057]Lowasa asituletee ya Sudan na Nigeria
Wana JF
Sikushangaa kabisa askofu Gwajima hakutumia hata dakika moja kumuonya swahiba wake lowasa kuhusu kauli yake ya kanisani tabora iliyokuwa na dhamira ya kuwagawa watanzania kwa misingi ya kidini. Badala yake gwajima katumia muda mwingi kusambaza chuki kwa dr slaa. Gwajima kama kawaida yake alifanya maigizo yaliyojaa uongo na chuki kwa lengo la kutuaminisha watanzania kwamba mke wa dr slaa ndo sababu ya dr slaa kuhama chadema. Kutuaminisha kuwa tatizo halikuwa lowasa kuingia chadema akiwa na mzigo wa tuhuma za ufisadi. Mungu anaipenda tanzania na kawaida mungu hamfichi mnafiki. Kule Tabora kanisani mungu kamuumbua lowasa na kutuonyesha watanzania sura halisi ya mtu anayedai anataka kuwaongoza watanzania. Kumbe lowasa anataka kuwa rais wa waluteli. Mungu mkubwa umetuonyesha waja wako. Siye waislamu kumbe tusingekuwa na chetu kwenye utawala wa lowasa, ingekuwa zamu ya waluteli!
Mungu umetuonyesha, na sasa tunajua cha kufanya oktoba 25. Watanzania tusipokuwa makini lowasa huyu atatuletea ya kule sudan na naijeria. Tunajua kuwa udini ulioletwa na wanasiasa ndio umekuwa chanzo cha mgogoro mkubwa baina ya watu wa sudan na kupelekea dhahma kubwa. Wasudan kule kusini wanaangamia kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe ambapo chanzo kikuu ni udini. Ni kutokana na wasudan kugawanywa kwa misingi ya kudini na kikanda, kusini wakristo na kaskazini waislamu. Kule naijeria hivyo hivyo wamegewanika kikanda na kidini. Kaskazini waislamu na kusini wakristo. Boko haram ikazaliwa hapo hapo. Hapa kwetu tumeona chadema ikionyesha kuigawa tanzania kikanda na lowasa juzi tu kaonyesha na kidini pia. Eti nchi sasa itawaliwe kwa zamu zenye kufuata misingi ya kidini na kimadhehebu. Watanzania tukiikubali dhambi hii uchaguzi ujao atatokea mgombea ataesema ni zamu ya wasunni kwa vile waislamu nasi tumegawanyika kimadhehebu. Ewe mola twepushe waja wako na balaa la kuwa na rais wa aina ya lowasa.[/QUOTE]
 
Ukabila,udini mnaosema ccm kwan unakuja tu wakati wa kampeni mkizidiwa? Hvi udini huo uko kwa vyama kama vyama na wagombea wake tu, mbona mtaani sioni udini huo. Acheni hizo vumilieni tu, Wananchi haya ndo yale ya zamani....Angalieni vita Rwanda, Burundi then wakamalizia Kenya! Acheni kutisha watu kukazana na kauli zisizokuwa na maana. Magazeti msiandike mijadala ya hovyo ya wanaojifanya wameona mawazo au dhana ya udini...
 
Km Gwajima kweli alikuaga mganga, kwann aliacha fani yake!!!!!???
 
1. "Sasa ni zamu ya mwanamke kuwa spika"
Kauli tajwa hapo juu ni ubaguzi wa:................
A. Kidini
B. Kijinsia
C. Kikanda
D. Kiitikadi

2. Je, aliyesema hayo ni nani na alichukuliwa hatua gani kwa ubaguzi huo?

Sasa kwani ni nani alichaguliwa?

Pia tunasema sasa ni zamu ya mwanamke kuwa Makamu wa Rais.
 
bahati nzuri dr slaa ni mtumishi wa mungu kwa cheo cha upadri na ni mtu anayejua nini maana ya siri na nini maana ya kutunza siri.

Gwajima naye ni mtumishi wa mungu mwenye cheo cha uasikofu kama ilivyo kwa dr slaa naye ana jua siri ni nini na namna ya kutunza siri.

Kwa pamoja wote ni watumishi wa mungu wanaopaswa kutunziana siri pamoja na siri za watu wengine.

Kama kuna mtumishi mmoja kaamuwa kumwaga ugali hadharani,mwenzake kajibu kwa kumwaga mboga hadharani,huyu mtumishi wa pili aliyejibu kwa kumwaga mboga hadharani ana laumiwa kwa kosa gani?.

hivi mfano dr.slaa bado angekuwa ni padri, kisha akaja mke wa mtu kuungama zambi zake kwake kama ilivyo taratibu za kanisa lake, alafu baada ya kumpatia huduma hiyo aliyoifuata na huyo mke wa mtu kuondoka, siku nyingine anasikia mitaani yule mke wa mtu anatangaza kwa watu kuwa padri dr.silaa si mtumishi mzuri kwa kuwa nilienda kwake kuungama zambi lakini yeye alinitongoza na kutaka kunibaka. Taarifa zikaenea sana mitaani kiasi cha kuweza hata kuhatarisha utumishi wake huku akijua kuwa ukweli umepotoshwa. Swali, je dr.slaa angekaa kimya na kuogopa kusema ukweli ulivyo kuhusu muumini hasiye na adabu, aliyejawa na mapepo ya kutaka kumdharirisha kwa jamii? Kumbuka biblia inasisitiza watu kusema ukweli. Wacheni kumtetea dr.slaa kupita kiasi. Mwacheni ajitetee mwenyewe. Kalianzisha yeye mwacheni alimalize yeye. Kwanini akimbie nchi na kutuachia sisi mzigo huu wa kumtetea? Mbona hamumdai ushahidi wa tuhuma alizotoa kama alivyofanya gwanyima badala yake mnamuona ni shujaa kwa kusema uongo NA KUKIMBIA?
 
weye umekamatwa nyota na "First Lady" Joséphine Mushumbusi, kaungame kwa Askofu Gwajima akuondolee mapepo, yanakutesa!!!!!

QUOTE=Jamar Said;13936057]Lowasa asituletee ya Sudan na Nigeria
Wana JF
Sikushangaa kabisa askofu Gwajima hakutumia hata dakika moja kumuonya swahiba wake lowasa kuhusu kauli yake ya kanisani tabora iliyokuwa na dhamira ya kuwagawa watanzania kwa misingi ya kidini. Badala yake gwajima katumia muda mwingi kusambaza chuki kwa dr slaa. Gwajima kama kawaida yake alifanya maigizo yaliyojaa uongo na chuki kwa lengo la kutuaminisha watanzania kwamba mke wa dr slaa ndo sababu ya dr slaa kuhama chadema. Kutuaminisha kuwa tatizo halikuwa lowasa kuingia chadema akiwa na mzigo wa tuhuma za ufisadi. Mungu anaipenda tanzania na kawaida mungu hamfichi mnafiki. Kule Tabora kanisani mungu kamuumbua lowasa na kutuonyesha watanzania sura halisi ya mtu anayedai anataka kuwaongoza watanzania. Kumbe lowasa anataka kuwa rais wa waluteli. Mungu mkubwa umetuonyesha waja wako. Siye waislamu kumbe tusingekuwa na chetu kwenye utawala wa lowasa, ingekuwa zamu ya waluteli!
Mungu umetuonyesha, na sasa tunajua cha kufanya oktoba 25. Watanzania tusipokuwa makini lowasa huyu atatuletea ya kule sudan na naijeria. Tunajua kuwa udini ulioletwa na wanasiasa ndio umekuwa chanzo cha mgogoro mkubwa baina ya watu wa sudan na kupelekea dhahma kubwa. Wasudan kule kusini wanaangamia kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe ambapo chanzo kikuu ni udini. Ni kutokana na wasudan kugawanywa kwa misingi ya kudini na kikanda, kusini wakristo na kaskazini waislamu. Kule naijeria hivyo hivyo wamegewanika kikanda na kidini. Kaskazini waislamu na kusini wakristo. Boko haram ikazaliwa hapo hapo. Hapa kwetu tumeona chadema ikionyesha kuigawa tanzania kikanda na lowasa juzi tu kaonyesha na kidini pia. Eti nchi sasa itawaliwe kwa zamu zenye kufuata misingi ya kidini na kimadhehebu. Watanzania tukiikubali dhambi hii uchaguzi ujao atatokea mgombea ataesema ni zamu ya wasunni kwa vile waislamu nasi tumegawanyika kimadhehebu. Ewe mola twepushe waja wako na balaa la kuwa na rais wa aina ya lowasa.
[/QUOTE]

Umekosa cha kuongea?
Wewe unayejua ukweli twambie basi.
umejaa u-ccm mtupu ndani ya kichwa chako.
sisi tunahitaji mabadiliko kama unalipwa kula pesa ndugu lakini usilete hoja zisizo na mashiko ukitegemea tutabadilika No.
 
bahati nzuri dr slaa ni mtumishi wa mungu kwa cheo cha upadri na ni mtu anayejua nini maana ya siri na nini maana ya kutunza siri.

Gwajima naye ni mtumishi wa mungu mwenye cheo cha uasikofu kama ilivyo kwa dr slaa naye ana jua siri ni nini na namna ya kutunza siri.

Kwa pamoja wote ni watumishi wa mungu wanaopaswa kutunziana siri pamoja na siri za watu wengine.

Kama kuna mtumishi mmoja kaamuwa kumwaga ugali hadharani,mwenzake kajibu kwa kumwaga mboga hadharani,huyu mtumishi wa pili aliyejibu kwa kumwaga mboga hadharani ana laumiwa kwa kosa gani?.

hivi mfano dr.slaa bado angekuwa ni padri, kisha akaja mke wa mtu kuungama zambi zake kwake kama ilivyo taratibu za kanisa lake, alafu baada ya kumpatia huduma hiyo aliyoifuata na huyo mke wa mtu kuondoka, siku nyingine anasikia mitaani yule mke wa mtu anatangaza kwa watu kuwa padri dr.silaa si mtumishi mzuri kwa kuwa nilienda kwake kuungama zambi lakini yeye alinitongoza na kutaka kunibaka. Taarifa zikaenea sana mitaani kiasi cha kuweza hata kuhatarisha utumishi wake huku akijua kuwa ukweli umepotoshwa. Swali, je dr.slaa angekaa kimya na kuogopa kusema ukweli ulivyo kuhusu muumini hasiye na adabu, aliyejawa na mapepo ya kutaka kumdharirisha kwa jamii? Kumbuka biblia inasisitiza watu kusema ukweli. Wacheni kumtetea dr.slaa kupita kiasi. Mwacheni ajitetee mwenyewe. Kalianzisha yeye mwacheni alimalize yeye. Kwanini akimbie nchi na kutuachia sisi mzigo huu wa kumtetea? Mbona hamumdai ushahidi wa tuhuma alizotoa kama alivyofanya gwanyima badala yake mnamuona ni shujaa kwa kusema uongo?
 
Ni muda mrefu jamii yetu imekuwa ikiwaheshimu na kuwaamini viongozi wa dini katika masuala mbalimbali ya kiroho na ustawi wa familia.

Ni jambo la kawaida sana kwa waumini wa dini zote kupeleka matatizo yao mbalimbali ya kifamilia kwa viongozi wa dini.

Ni dhahiri kwamba wengi wetu hupeleka masuala mbalimbali hata yale ya unyumba na siri nzito nzito za chumbani na familia kwa ujumla kwa kuwa tuna imani viongozi wa dini wana hulka ya kutunza siri na kusaidia kutatua matatizo yetu ya kiroho au kifamilia.

Hii ni tofauti kwa Gwajima ambaye ni mtomvu wa heshima ya kiongozi wa dini kwa kueleza siri za familia aliyoipa huduma za kiroho kisa tu kachokozwa kisiasa na yeye kajibu kwa kutoa siri za familia ya Slaa.

Angekuwa daktari angeweza kufutiwa cheti na kudaiwa fidia.

Lakini tukumbuke ni Gwajima huyu huyu aliyeshutumiwa kuvuruga ndoa ya Mbasha badala ya kutatua mgogoro wa familia hiyo.

Hii ni trend ya Gwajima anayejiita Bishop ambayo inatakiwa kuangaliwa kwa jicho la Tahadhari hasa hasa na waumini wake wanaompelekea siri za ndani.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANI!!

Gwajima tunamuamini na tutaendelea kumpa habari zetu na siri zetu huyo mliye mnunua endeleeni kufanya biashara naye sisi hatuna kazi naye tena ila asiongope.
 
Back
Top Bottom