georgemwaipungu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 2,779
- 589
Huu ni unyanyasaji wa kisaikolojia kwa josephine ambao ulianza na mwanaUkawa kindakindaki Mungi
Huo ni uongo wenu ccm tumewachoka
Last edited by a moderator:
Huu ni unyanyasaji wa kisaikolojia kwa josephine ambao ulianza na mwanaUkawa kindakindaki Mungi
Bahati nzuri Dr Slaa ni mtumishi wa Mungu kwa cheo cha upadri na ni mtu anayejua nini maana ya siri na nini maana ya kutunza siri.
Gwajima naye ni mtumishi wa Mungu mwenye cheo cha uasikofu kama ilivyo kwa Dr slaa naye ana jua siri ni nini na namna ya kutunza siri.
Kwa pamoja wote ni watumishi wa Mungu wanaopaswa kutunziana siri pamoja na siri za watu wengine.
Kama kuna mtumishi mmoja kaamuwa kumwaga ugali hadharani,mwenzake kajibu kwa kumwaga mboga hadharani,huyu mtumishi wa pili aliyejibu kwa kumwaga mboga hadharani ana laumiwa kwa kosa gani?.
Gwajima aliwarekodi watu aliokuwa anaenda kuwapa ushauri wa kiroho.
Halafu anatangaza ushauri huo na matatizo yao hadharani.
Ole wako...ukimwambia siri zako utajuta.
Mambo ya Josephine yaliingiaje?
Bahati nzuri Dr Slaa ni mtumishi wa Mungu kwa cheo cha upadri na ni mtu anayejua nini maana ya siri na nini maana ya kutunza siri.
Gwajima naye ni mtumishi wa Mungu mwenye cheo cha uasikofu kama ilivyo kwa Dr slaa naye ana jua siri ni nini na namna ya kutunza siri.
Kwa pamoja wote ni watumishi wa Mungu wanaopaswa kutunziana siri pamoja na siri za watu wengine.
Kama kuna mtumishi mmoja kaamuwa kumwaga ugali hadharani,mwenzake kajibu kwa kumwaga mboga hadharani,huyu mtumishi wa pili aliyejibu kwa kumwaga mboga hadharani ana laumiwa kwa kosa gani?.
Siasa zinashangaza sana.
Ni amazingi Chadema wanavyompenda Lowassa kipindi hiki.
Anaitwa mwokozi, Mussa, Yesu etc...lakini juzi tu alikuwa anatukanwa kila aina ya tusi na Chadema.
Siasa bwana 😆
eti Josephine alizimia coz of majini,Dr alimpigia Gwajima ili apate msaada leo kaitumia hii against Josephine,kwamba ana mapepo mbaya sana hii
Ni muda mrefu jamii yetu imekuwa ikiwaheshimu na kuwaamini viongozi wa dini katika masuala mbalimbali ya kiroho na ustawi wa familia.
Ni jambo la kawaida sana kwa waumini wa dini zote kupeleka matatizo yao mbalimbali ya kifamilia kwa viongozi wa dini.
Ni dhahiri kwamba wengi wetu hupeleka masuala mbalimbali hata yale ya unyumba na siri nzito nzito za chumbani na familia kwa ujumla kwa kuwa tuna imani viongozi wa dini wana hulka ya kutunza siri na kusaidia kutatua matatizo yetu ya kiroho au kifamilia.
Hii ni tofauti kwa Gwajima ambaye ni mtomvu wa heshima ya kiongozi wa dini kwa kueleza siri za familia aliyoipa huduma za kiroho kisa tu kachokozwa kisiasa na yeye kajibu kwa kutoa siri za familia ya Slaa.
Angekuwa daktari angeweza kufutiwa cheti na kudaiwa fidia.
Lakini tukumbuke ni Gwajima huyu huyu aliyeshutumiwa kuvuruga ndoa ya Mbasha badala ya kutatua mgogoro wa familia hiyo.
Hii ni trend ya Gwajima anayejiita Bishop ambayo inatakiwa kuangaliwa kwa jicho la Tahadhari hasa hasa na waumini wake wanaompelekea siri za ndani.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANI!!
sisi kinachotuuma ni ndugu zetu waumini,aina ya wachungaji kama ngwajima,hachelewi kukuita ufyonze maziwa ya baraka toka kwenye naniliu yake,eti ili utokwe na mapepo...
Mkuki kwa nguruwe. ....aliyeanza kumchafua mwenzake nani?
Uccm unakuwehusha!
Watumishi wa Mungu Huwajibishwa Na Mungu Mwenyewe,Kufanya Hivyo Unajipandia laana wewe na kizazi chako baada Yako.
Ungepaswa Kujiuliza "ALIYEANZISHA zari Ni Mtakatifu Josephati Gwajima,Au Dkt Mihogo Maharagwe.
Biblia Inasema"MJIBU MPUMBAVU SAWASAWA na Umbumbavu Wake,Asije Akajiona Mwenye Hekima Machoni Pake"
Hivyo Ndivyo Kefanya Mtakatifu Josephati Gwajima.
NA ALAANIWE NA MUNGU KILA MTU ANAYEHOJI MANENO YA VINYWA VYA WATUMISHI WA MUNGU YEYE NA KIZAZI CHAKE BAADA YAKE.NA KILA MTU ANAYEIPENDA TZ ASEME.AMEN.AMEN.AMEN.AMEN.
Hivi hapa tunajipa taabu ya nn.Watu ewawili tena wenye sifa zinazofanana wamerushiana maneno ss tunakuja juu na kilanga.. chetu kushindana humu kama si ushabiki wa kisiasa ni nn?wao wapo kimya ss tunatoana macho.Hao wanajusna shetani kapita tu katikati yao.Wataelewana muda si.mrefu.Mungu Lowasa yupo pamoja nawe.Nina uhakika kupitia kwako Mungu analitoa taifa hili gizani.Ahsante Mungu.