Ninaungana na anayesema kwamba ID za matapeli zitangazwe. lakini pia nafikiri haitatosha. Itapendeza kama tutakwenda mbali zaidi, kwa wale waliotapeliwa kuleta majina kamili. Ili baada ya kuwa na ushahidi wa kutosha, majina yao kamili yatundikwe hapa. Hilo litasaidia si tu wanachama wa JF, bali pia na raia wengine wa mtaani ambao huwa wanatembelea mitandao ya kijamii.
Kweli nilimaanisha majina ya matapeli. Nimeedit post yangu. Nafikiri niliiacha bila ufafanuzi. Thanks for your observation.Labda kutundika majina ya hao matapeli, sidhani kama yule aliyetapeliwa atathubutu kuja kuweka bayana hapa kwamba ametapeliwa kutokana na nature ya tukio lenyewe la ku-tapeliwa kama la aibu vile, unless kuwe na utaratibu mwingine wa kujiweka wazi kwamba umu0hanga wa tatizo hilo.
wasiwasi wangu ni kwamba watu wataanika hata watu ambaosio matapeli bali wanachuki nao binafsininaungana na anayesema kwamba id za matapeli zitangazwe. Lakini pia nafikiri haitatosha. Itapendeza kama tutakwenda mbali zaidi, kwa wale waliotapeliwa kuleta majina kamili ya hao matapeli. Ili baada ya kuwa na ushahidi wa kutosha, majina kamili pamoja na id zao yatundikwe hapa. Hilo litasaidia si tu wanachama wa jf, bali pia na raia wengine wa mtaani ambao huwa wanatembelea mitandao ya kijamii.
wasiwasi wangu ni kwamba watu wataanika hata watu ambaosio matapeli bali wanachuki nao binafsi
Labda kutundika majina ya hao matapeli, sidhani kama yule aliyetapeliwa atathubutu kuja kuweka bayana hapa kwamba ametapeliwa kutokana na nature ya tukio lenyewe la ku-tapeliwa kama la aibu vile, unless kuwe na utaratibu mwingine wa kujiweka wazi kwamba umu0hanga wa tatizo hilo.