Watanzania tuko watu wa ajabu sana kama bendera fata upepo,tunaacha kufanya tathmini ya nchi yetu kwa mfano, mgawo wa umeme,pembe za ndovu,nk. Hakuna hata mmoja anayetaka kuwajibika eti mnangangana na mambo ya chadema,yanawasaidia nini watanzania,,,,,tumekalia umbea tuu,,,,,watanzania wamesoma LAKINI bora ya wale ambao hawajasoma wanaweza wakawa na michango ya mawazo mazuri kuliko huu umbea wa mambo ya chadema na zitto.
Kila uchao serikali yetu mara imejipanga,imejiandaa,ina mikakati hadi inatia kinyaa,,,,tupo wataalamu wa kuongea sana,,,,,HUO NI UJINGA NA UTUPU WA KUAINISHA MAMBO...NDO MAANA WENZETU WANATUACHA.... Kila mpango wa kuendeleza nchi hata pate ambapo hutuitaji mtaji na utaalam toka nje utasikia TUNAMTAFUTA MWEKEZAJI,,,,,Watanzania tunatia AIBU tubadilike. Serikali ichukuliwe hatua kwa uzembe mkubwa