Tahadhari Kubwa kwa watu wote

Tahadhari Kubwa kwa watu wote

Usiyakate maneno yaliyoko kwenye post yangu na kubakisha hayo YA UKANDA,UDINI NA UKABILA ILI UZUNGUMZE KAMA UNAVYOJISKIA WEWE,

Hiyo haitafanya watu tuache kutetea taifa letu na kuupiga vita udini ukanda na ukabila uliopo ndan ya chadema,

TUNALISEMA HILO KWA KUMAANISHA TENA BILA KUMEZA MEZA MANENO,,

KAZI UNAYOJIPA NI NGUMU SANA,KWANI WEWE UNATETEA CHAMA WAKATI SISI TUNATETEA TAIFA LETU.,SISI HATUWEZ RUDI NYUMA,,

WEWE UTABAKIA KUWA MPIGA KELELE TUH KAMA LILIVYO JINA LAKO

"HATUTAMCHAGUA MTU KWA SABABU YA KABILA LAKE, LAKINI HATUTAMUACHA MTU ANAYETUFAA ETI KWA SABABU YA KABILA LAKE" J. K. Nyerere

mimi nakwambia Hakuna mtu asiyekuwa na kabila, tulipomchagua Mbowe kuwa mwenyekiti wetu wa CHADEMA TAIFA hatukumchagua kwa uchaga wake, bali ni nyinyi na Zitto wenu ndio mmeona kuwa mwenyekiti wetu ni mchaga.

kumbuka pia kuwa na kabila haijawahi kuwa kosa hapa kwetu tanzania.
 
halafu akishaisha? whats next?

Mchukueni msaidieni kurejesha uhai wake!!! Kisiasa is dead!!! Kweli mlimtumia ipasavyo na amepata dawa yake!!! Alitegemea angepata support ya wanachama kumbe wapi!!! Kwenye visijwe vya kahawa na stool ndefu ilikuwa ni cheers tu!!!
 
Mkuu Zitto ni kiongozi wa kitaifa, sio tu mbunge wa kg kaskazini. Anatambua kuwa kuchanika kwa jamvi sio mwisho wa mazungumzo.

Mkuu huyu Zitto ni kiongozi wa kitaifa kwa vipi?? CDM hayupo tena!!!! Labda kama kule alikokuwa anatumikia kama walimpa cheo cha siri!!! Subiri akishavuliwa uanachama akafungue kesi apinge ili amalizie tu ubunge wake!!! Te he Te he!!! He is an open commodity in the market!!! He is for sale!!! 100% discount!!
 
Sikiliza Wapi tumesema kwamba hili tunalolisema tunasema on behalf of zitto kabwe??

Hata kama zitto kabwe akawepo ndan ya chama hiko ama asiwepo it makes no difference kwetu sisi kuacha kuzungumzia mambo ambayo tunaona yanapaswa kuzungumzwa,

Kwan suala la ukanda na ukabila na kupokea amri za kuendeshwa chama hiki ni uongo kwamba zinatoka kwa AYATOLLAH MTEI??

Nan kakuambia watu wapo hapa kupigania vita ya zitto kabwe??tupo hapa kupigania vita ya taifa letu kwa maslahi ya vizaz vyetu vya sasa na baadae,wewe kama unadhan watu wapo hapa kuicheza ngoma ya zito kabwe na slaa you better think twice about it,


HAKUNA KUMEZA MEZA MANENO KATIKA HILI,SUALA LA UKANDA,UDINI NA UKABILA KWENYE HIKI CHAMA LIFE KAMA KWELI WANATAKA KIWE NI CHAMA CHA KITAIFA

Kama kweli unapigania nchi kweli tujadili haya.
1.Madawa ya kulevya,.
2.Meno ya Tembo.
3.Umeme.
4.Mikataba ya hovyo(siri).
5.kwanini watanzania ni Maskini(Elimu,Afya,Makazi,miundo mbinu),duni.
Tujadili haya mkuu,haya ni baadhi ya majanga ya kitaifa siyo ya Mfitinishaji Zzk.
 
Sixgate naomba umshauri zito kuwa kwa usaliti ameikataa CHADEMA na CHADEMA inamkataa. Kwa vile alikuwa mwaminifu sana kwa chama kingine kuliko CHADEMA ajiunge na hicho chama maana huko kuna demokrasia ya kweli ya aina ya msumari kuwa na hoja ya kukataa kupigilwa na nyundo kwenye ujenzi wa nyumba
 
Back
Top Bottom