Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,250
- 10,233
Cha ajabu full Kung'ang'ania, yaani ni Kama Demu aliyetoswa kwa upumbavu wake, Badala ya Kuomba Radhi yeye full kulia lia tuu..Fukuza tu wazandiki wote, walidhani wataweza kuchezea chama milele sasa imekula kwao wanatapatapa.