Tahadhari Kubwa kwa watu wote

Tahadhari Kubwa kwa watu wote

Mkuu THE BIG SHOW please spare Zitto for a while. Zitto ni msomi alieiva, ni mwanasiasa shupavu mwenye high degree ya uelewa wa siasa za ndani na nje. He is not cheap to talk some shit concern habari ya Udini, ukabila, ukanda.. Only coward do.

Zitto kapata umaarufu kwa sababu ya kisimamia hoja za kitaifa na mara zote amekuwa mshindi. Zitto hahitaji msaada wa baadhi ya "wapuuzi" wanaotumia jina lake kuichafua taswira nzuri aliyo nayo katika siasa za ndani na nje ya hili taifa.

Kama kuna namna nyingine ambayo mnataka kuhubiri udini, ukanda na ukabila kupitia Jina la Zitto tafaadhali hahitaji msaada wa team zitto or frends of zitto.

Narudia, Zitto asihusishe na vikundi vya kihuni ambavyo ajenda zao hazijajengwa katika misingi ya kupigania demokrasia ndani ya chama, na taifa. Asihusishwe na vikundi vya maandamano na wanaochoma bendera, asihusishwe na vikundi vinavyoratibu mikutano ya kuhubiri chuki.

We appreciate your support but we don't entertain any kind actions which will tarnish the image of hon. Zitto.

Asante.

Sikiliza Wapi tumesema kwamba hili tunalolisema tunasema on behalf of zitto kabwe??

Hata kama zitto kabwe akawepo ndan ya chama hiko ama asiwepo it makes no difference kwetu sisi kuacha kuzungumzia mambo ambayo tunaona yanapaswa kuzungumzwa,

Kwan suala la ukanda na ukabila na kupokea amri za kuendeshwa chama hiki ni uongo kwamba zinatoka kwa AYATOLLAH MTEI??

Nan kakuambia watu wapo hapa kupigania vita ya zitto kabwe??tupo hapa kupigania vita ya taifa letu kwa maslahi ya vizaz vyetu vya sasa na baadae,wewe kama unadhan watu wapo hapa kuicheza ngoma ya zito kabwe na slaa you better think twice about it,

HAKUNA KUMEZA MEZA MANENO KATIKA HILI,SUALA LA UKANDA,UDINI NA UKABILA KWENYE HIKI CHAMA LIFE KAMA KWELI WANATAKA KIWE NI CHAMA CHA KITAIFA
 
Zitto yupo kazini. Anapigania maslahi ya WAHA siyo watanzania.. Ndiyo maana yeye na muha mwenzake (KAFULILA) walianzisha chama cha waha (CHAUMMA) na kumpa uenyekiti MUHA mwenzao Hashim Rungwe... Mpaka sasa Zitto ni mfadhili wa CHAUMMA...

Jichunguze sana manake umezoea kunyoshea wenzako vidole.
 
Mkuu Zitto ni kiongozi wa kitaifa, sio tu mbunge wa kg kaskazini. Anatambua kuwa kuchanika kwa jamvi sio mwisho wa mazungumzo.

Mbona kama mmeanza kutia huruma.
Mshaurin njia pekee ya mazungumzo ni yeye kuomba msamaha...hakuna jingine...
Ana siku 14 za kutubu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
binadamu 98%wana wanachembechembe za unafiki,hilo swala la zito,lipo bado kwenye maamuzi,ya vikao vya chama,kelele zote za nini?muacheni kijana wa watu apumzishe akili ni mengi sana kaitendea nchi yetu,katufungua macho watanzania wengi tuliokuwa gizani,anastahili pongezi kwa kwatufikisha hapo,vijana wengi tumekuwa jasiri kutokana na zitto,huo ndo ukweli,hata kama kakosea apewe nafasi ya kujirekebisha kuliko kumlaumu,yeye ni nani hata asikosee.?
 
Sikiliza Wapi tumesema kwamba hili tunalolisema tunasema on behalf of zitto kabwe??

Hata kama zitto kabwe akawepo ndan ya chama hiko ama asiwepo it makes no difference kwetu sisi kuacha kuzungumzia mambo ambayo tunaona yanapaswa kuzungumzwa,

Kwan suala la ukanda na ukabila na kupokea amri za kuendeshwa chama hiki ni uongo kwamba zinatoka kwa AYATOLLAH MTEI??

Nan kakuambia watu wapo hapa kupigania vita ya zitto kabwe??tupo hapa kupigania vita ya taifa letu kwa maslahi ya vizaz vyetu vya sasa na baadae,wewe kama unadhan watu wapo hapa kuicheza ngoma ya zito kabwe na slaa you better think twice about it,

HAKUNA KUMEZA MEZA MANENO KATIKA HILI,SUALA LA UKANDA,UDINI NA UKABILA KWENYE HIKI CHAMA LIFE KAMA KWELI WANATAKA KIWE NI CHAMA CHA KITAIFA

Hivi CHADEMA imewapiga kwa style gani nyie akina Mama Mpaka mmenogewa na hamtaki kuamini kuwa mshamwagwa tayari jamani...
 
Kwa watu wote, wanademokrasia na hata wale wahafidhina tufikie mahali tuweze kuzitenganisha propaganda na media spinning zinazoendelea kwa sasa kuhusu issue ya Zitto na chadema.

Natoa tahadhari kubwa sana hapa jamvini na nitasambaza hizi taarifa kwa vyombo vingine vya habari na social media nyingine.

Kuna baadhi ya watu wanaojiita "TEAM ZITTO" ambao pengine kwa nia njema ama kwa maksudi tu wanaharibu Taswira ya Mh Zitto Kabwe kwa kujaribu kutembea katika jina la Zitto kutoa Matamko, maneno na kuratibu mikutano isiyo rasmi kwa kusema wao ni TEAM ZITTO. Imebainika katika kufanya hivi sio tu inamchafua Zitto bali ina lengo la kumchonganisha Ndg Zitto na aidha viongozi wa chadema, kamati kuu ya chama, wapenzi,mashabiki wa chadema, marafiki na hata wananchi. Ajenda zinazoibuliwa na kikundi kinachojiita TEAM ZITTO ni tofauti na zile Zitto alizoziainisha mbele ya vyombo vya habari.

TUHUMA ZITTO ALIZOZIAINISHA KWA VYOMBO VYA HABARI
- Kutokushiriki kampeni za urais
- kutoshiriki operation za chama
- ukaguzi wa vyama
- posho za vikao

Zitto hajazungumzia lolote kuhusu Ukanda, Ukabila, ieleweke na iwe wazi tatizo aliloliainisha ni mapambano ya kukuza demokrasia ndani ya chama, mapambano dhidi ya wapenda demokrasia dhidi ya wahafidhina.

Kwa namna yoyote Zitto Kabwe asihusishwe na taarifa tofauti na hizi, asihusishwe na baadhi ya maandamano, asihusishwe na mikutano inayoratibiwa na wanaojiita TEAM ZITTO. Kama kuna taarifa zozote ambazo zinamuhusu zinukuliwe kutoka kwake moja kwa moja na sio mkusanyiko wa soga zisizo za msingi wowote.

Mwisho, kwa wale wote wapenda demokrasia watambue nyakati ngumu ni sehemu ya maisha ya binadamu, Zitto amekubali kufuata taratibu zote za chama kuhakikisha anahitimisha mtikisiko huu kwa hekma na kwa uvumilivu mkubwa.

Sixgates
DSM

Mimi pia nina mpango wa kujiunga na kikundi hiki kiitwacho #team zitto lakini haimaniishi nikisema cdm ni wadini nimaneno ya zito.
 
Mbona kama mmeanza kutia huruma.
Mshaurin njia pekee ya mazungumzo ni yeye kuomba msamaha...hakuna jingine...
Ana siku 14 za kutubu

Subirini. Vita laini kabisa hii.
 
Naona Team Zitto imeparanganyika ni mwendo wa kupeana za uso tu. Mpaka siku 14 ziishe mtakanwa moja baada ya mwingine.
 
Fukuza tu wazandiki wote, walidhani wataweza kuchezea chama milele sasa imekula kwao wanatapatapa.

Hivi CHADEMA imewapiga kwa style gani nyie akina Mama Mpaka mmenogewa na hamtaki kuamini kuwa mshamwagwa tayari jamani...
 
Naona Team Zitto imeparanganyika ni mwendo wa kupeana za uso tu. Mpaka siku 14 ziishe mtakanwa moja baada ya mwingine.

We are the king makers,tunapenda movement za kistaarabu. Ndio dhana ya kuwa msomi. Uhuni, matusi sio ajenda nazosimamia
 
Tatozi na yeye mwenyewe Zitto anatumia watu/vijana kupost mambo yake ya hila. What goes around comes around. ngoja sasa yamrudie na yeye
 
Tatozi na yeye mwenyewe Zitto anatumia watu/vijana kupost mambo yake ya hila. What goes around comes around. ngoja sasa yamrudie na yeye

kawatuma akina nan? Kuwa mkweli.
 
Umeisoma post namba 117 ya uzi huu vizuri...? Kama hukielewa ...THE BIG SHOW= Arap Sang wa Bongo Apigwe Vita kwa kueneza ukabila, ukanda, udini, na mengine kama hayo.

Usiyakate maneno yaliyoko kwenye post yangu na kubakisha hayo YA UKANDA,UDINI NA UKABILA ILI UZUNGUMZE KAMA UNAVYOJISKIA WEWE,

Hiyo haitafanya watu tuache kutetea taifa letu na kuupiga vita udini ukanda na ukabila uliopo ndan ya chadema,

TUNALISEMA HILO KWA KUMAANISHA TENA BILA KUMEZA MEZA MANENO,,

KAZI UNAYOJIPA NI NGUMU SANA,KWANI WEWE UNATETEA CHAMA WAKATI SISI TUNATETEA TAIFA LETU.,SISI HATUWEZ RUDI NYUMA,,

WEWE UTABAKIA KUWA MPIGA KELELE TUH KAMA LILIVYO JINA LAKO
 
Zitto bana!!!!

Kwahiyo Zitto kakutuma uje JF kurekibisja mambo.....Pathetic fool..
 
Zitto bana!!!!

Kwahiyo Zitto kakutuma uje JF kurekibisja mambo.....Pathetic fool..

Mkuu umepona? Juzi nimekusoma JF Doctor anaomba ushauri kuwa unaugua ngiri.
 
Back
Top Bottom