Tahadhari Kubwa kwa watu wote

Tahadhari Kubwa kwa watu wote

Mkuu mimi nimeondoka chadema but I can assure you kuwa I and my coligue we will shape and install watu tunaowahitaji kwenye uongozi ndani ya chadema. We are the king makers tumejiapiza.

Na hii sio chadema tuu, hadi ndani ya ccm na vyama twenye navyo interest.

Back to topic. Kuhusu kushindwa wasema wewe, hii vita laini sana, tena sana. Mungu ajalie niwepo JF hapa.
Huu ujumbe ni wa kweli kabisa... Mnataka muibadili CCM mgombea na mwenyekiti wa CCM awe Januari Makamba kisa dini (Lowasa dini yake haitakiwi)... Zitto awe mwenyekiti CHADEMA kisa Dini na kabila - Mchaga aondoke!..; Hashimu Rungwe amekuwa mwenyekiti CHAUMMA kisa DINI... Kafulila awe mwenyekiti NCCR kisa MUHA ili mchaga aondoke!!!
 
Hiyo ni hekaya ya kupuuzwa. Eti watu wkaingia chumba cha benki crdb wapo wawili wakazungumza kile wakazungumza hiki. Hata shigongo haandiki hadithi za bei rahisi hivi
Zitto yupo kazini. Anapigania maslahi ya WAHA siyo watanzania.. Ndiyo maana yeye na muha mwenzake (KAFULILA) walianzisha chama cha waha (CHAUMMA) na kumpa uenyekiti MUHA mwenzao Hashim Rungwe... Mpaka sasa Zitto ni mfadhili wa CHAUMMA...
 
Mkuu hii vita tunashinda
Zitto yupo kazini. Anapigania maslahi ya WAHA siyo watanzania.. Ndiyo maana yeye na muha mwenzake (KAFULILA) walianzisha chama cha waha (CHAUMMA) na kumpa uenyekiti MUHA mwenzao Hashim Rungwe... Mpaka sasa Zitto ni mfadhili wa CHAUMMA...
 
Hizi ni hoja za kipuuzi, ni mpuuzi anaeweza kutilia maanani huu upuuzi.
Zitto yupo kazini. Anapigania maslahi ya WAHA siyo watanzania.. Ndiyo maana yeye na muha mwenzake (KAFULILA) walianzisha chama cha waha (CHAUMMA) na kumpa uenyekiti MUHA mwenzao Hashim Rungwe... Mpaka sasa Zitto ni mfadhili wa CHAUMMA...
 
Zitto hawezi kufukuzwa CHADEMA kisa wapuuzi wachache wameamua kumchafua

Aibu yenu inakuja

Sent from BlackBerry 9520
 
FirstLady ni kweli kabisa. Yapo mengi sana ambayo Zitto amejikaza kisabuni na asingependa kuyatamka, kama yeye hapendi kuyatamka sii vyema watu kutumia jina lake kuya adress hayo mambo yanaathiri mwenendo mzima wa hii issue inayoendelea, na sii aina ya siasa zake. Kama unavyojua zitto ni mtu makini sana anajadili mambo mazito ya kuliiunganisha taifa. Hoja za ukabila, ukanda tuwaachie wengine ila kwa sasa Zitto hajazisema.

Toeni Ujinga hapa, kaanzisheni chama chenu.. msituletee vurugu, kwanza nyie ambao si wanachama wa chadema mnaomshabikia ndo mnazidi kumharibia mbele ya wananchama wa dhati wa chadema.. Nyie si mmeshaenda CCM mambo ya chadema yanawahusu nini? Muacheni Zitto amalize mambo yake na viongozi wenzake wa chadema.
 
Mkuu mimi nimeondoka chadema but I can assure you kuwa I and my coligue we will shape and install watu tunaowahitaji kwenye uongozi ndani ya chadema. We are the king makers tumejiapiza.

Na hii sio chadema tuu, hadi ndani ya ccm na vyama twenye navyo interest.

Back to topic. Kuhusu kushindwa wasema wewe, hii vita laini sana, tena sana. Mungu ajalie niwepo JF hapa.
sixgates wewe ni mjinga sana, siajawahi kuona mtu asiyejitambua kama wewe, wewe ndo u-install viongozi unaowataka ndani ya Chadema.. Nonsense..
 
Last edited by a moderator:

Sixgates ni zaidi ya taasisi. Tutaweka viongozi tunaowataka chadema na ndani ya ccm. Underline this.
 
Last edited by a moderator:
Paw, Invisible ebu shughulikieni huyu mtu. Its unfair.
Zitto upo kazini. Unapigania maslahi ya WAHA siyo watanzania.. Ndiyo maana wewe na muha mwenzako (KAFULILA) mlianzisha chama cha waha (CHAUMMA) na kumpa uenyekiti MUHA mwenzenu Hashim Rungwe... Mpaka sasa Zitto wewe ni mfadhili wa CHAUMMA...

Omba tena msaada kwa mods.
 
Sixgates ni zaidi ya taasisi. Tutaweka viongozi tunaowataka chadema na ndani ya ccm. Underline this.
Zitto yupo kazini. Anapigania maslahi ya WAHA siyo watanzania.. Ndiyo maana yeye na muha mwenzake (KAFULILA) walianzisha chama cha waha (CHAUMMA) na kumpa uenyekiti MUHA mwenzao Hashim Rungwe... Mpaka sasa Zitto ni mfadhili wa CHAUMMA...
 
Zitto upo kazini. Unapigania maslahi ya WAHA siyo watanzania.. Ndiyo maana wewe na muha mwenzako (KAFULILA) mlianzisha chama cha waha (CHAUMMA) na kumpa uenyekiti MUHA mwenzenu Hashim Rungwe... Mpaka sasa Zitto wewe ni mfadhili wa CHAUMMA...

Omba tena msaada kwa mods.

Ukiona mtu anakimbilia ukabila ni alama ya kufilisika kisiasa.
 
Wewe unadhani zitto kabwe ni mpuuzi kias kwamba aje kusimama hapa hadharani na kuzungumza mambo ya UKANDA,UDINI NA UKABILA NDAN YA CHADEMA??

Hawez kuwa mwehu kias cha kusema mambo hayo,wewe unadhani mtu kama mwigulu nchemba anaweza kusema kinachosumbua ndan ya CCM ni UFISADI NA UTAWALA M'BOVU ILI HALI NA YEYE YUPO NDAN YA CHAMA HICHO HICHO??

UNADHAN KWA AKILI YA KAWAIDA ANAWEZA TAMKA HIVYO HATA KAMA NI KWELI??

SASA KWA TAARIFA YAKO UKANDA UDINI NA UKABILA KWENYE HIKI CHAMA UPO,HATA KAMA KUNA BAADHI YA WATU WATACHUKIA NA KUKASIRIKA HIYO SI DAWA,WATU TUTAENDELEA KUSEMA TUH KUKEMEA HALI HIYO,

KIKUBWA NI HAO JAMAA KUBADILIKA,

HILO KUHUSU TEAM ZITTO AU TEAM SLAA HUWEZ KUMCHAGULIA MTU AU KUMKATAZA MTU KUCHAGUA UPANDE,

IKO WAZI KWAMBA KWA SASA KUNA KAMBI MBILI,KAMBI YA WALE WANAOPOKEA AMRI KUTOKA TEH-RAN KWA AYATOLLAH MTEI NA KAMBI YA WALE WANAOTAKA DEMOKRASIA YA KWELI ITAWALE NDAN YA CHAMA HIKO,

KWAIYO WEWE KAA UTULIE UFUATILIE NINI MWISHO WA MAPAMBANO HAYA NA USHUHUDIE NI NANI ATAIBUKA KIDEDEA KWA WATANZANIA
 
Dah bwana Zitto katka ID nyingne, pole sana kwa majanga,, ila kama hao CCM wanakupenda xana kwann wasikukarbixhe ndan ya chama? Wanakutetea 2 eti wewe n mwanasiasa mzury c wakuchkue xaxa? Hao n wanafiki na wazandiki wakubwa,,, halafu futa kauli ya eti wapenda demokrasia na wahafidhina ndan ya chama wakat ww na CCM ndio wahafidhina wakubwa,,,,,

Wewe mpuuzi subiri haki yako mda si mrefu. Huwezi kukurupuka na kufanya name calling za kupuuzi kwenye ID ambazo sio verified.
 
Wewe unadhani zitto kabwe ni mpuuzi kias kwamba aje kusimama hapa hadharani na kuzungumza mambo ya UKANDA,UDINI NA UKABILA NDAN YA CHADEMA??

Hawez kuwa mwehu kias cha kusema mambo hayo,wewe unadhani mtu kama mwigulu nchemba anaweza kusema kinachosumbua ndan ya CCM ni UFISADI NA UTAWALA M'BOVU ILI HALI NA YEYE YUPO NDAN YA CHAMA HICHO HICHO??

UNADHAN KWA AKILI YA KAWAIDA ANAWEZA TAMKA HIVYO HATA KAMA NI KWELI??

SASA KWA TAARIFA YAKO UKANDA UDINI NA UKABILA KWENYE HIKI CHAMA UPO,HATA KAMA KUNA BAADHI YA WATU WATACHUKIA NA KUKASIRIKA HIYO SI DAWA,WATU TUTAENDELEA KUSEMA TUH KUKEMEA HALI HIYO,

....

THE BIG SHOW= Arap Sanga wa Bongo... mpalilia machafuko nchini Tanzania kupitia propaganda za ukabila, udini, na ukandana mengine kama hayo. Apigwe vita.
 
THE BIG SHOW =Arap Sang wa Bongo umelisoma hilo tangazo la sixgate ....kuhusu ulichokuwa unakieneza...? Mfano hiki hapa chini

quote_icon.png
By THE BAIG SHOW

Mpuuzi huyo,

Mimi watu kama hao huwa siwajibu,

Yeye anadhani eti sisi tutaacha kusema ukweli kwamba ndan ya chama hiko kuna ubaguz wa ukanda,udini na ukabila kisa yeye na wahafidhina wake watachukia??

Hakuna kitu kama hicho,dawa ya ukweli ni kuusema tuh,hata kama ni mchungu....

Utasumbuka sana na mimi safari hii,

Naona ukilala ukiamka ni the big show tuh

Hili tunalolifanya hatulifanyi kama propaganda na hatulifanyi kwa kutumia mgongo wa zitto kabwe,

Zitto has got nothing to do with UKABILA,UKANDA NA UDINI UNAOENDEKEZWA NDAN YA CHAMA HIKO,

DAIMA TUTASIMAMA KIDETE KUKEMEA HALI HIYO HADI PALE TUTAPOONA NIA YA DHATI NA YA KWELI KUHUSU KUIZIKA MOJA KWA MOJA KASUMBA HIYO,

KAMA KWELI UKANDA,UDINI NA UKABILA UNAWAKERA KUHUSISHWA NAO NDAN YA CHAMA HIKO,BASI WAFANYE HIMA KUONDOA HALI HIYO,SISI HATUTAACHA KUSEMA
 
THE BIG SHOW= Arap Sanga wa Bongo... mpalilia machafuko nchini Tanzania kupitia propaganda za ukabila, udini, na ukandana mengine kama hayo. Apigwe vita.

Ni furaha yangu kubwa sana kuona tupo pamoja na unanipa backup ya kutosha katika kulikemea hilo kwa pamoja,

Sasa nakupa ushauri,usimchukie msemaji wa tabia hizo,mchukie mtendaji wa hulka hizo ambazo sisi tumesimama kidete kuzikemea sawa??

UKANDA,UDINI NA UKABILA MUASISI WAKE NI AYATOLLAH MTEI NA WATEKELEZAJI WANAFAHAMIKA,

KAMA WAO HAWATAKI KUKIFANYA CHAMA HIKO KUWA CHA KITAIFA NA KUONDOA HIZO KASUMBA KULIKUWA HAKUNA HAJA YA KUJINASIBISHA NA DEMOKRASIA NA KUZUNGUKA NCHI NZIMA KUTAFUTA FOLLOWERS...
 
Wewe unadhani zitto kabwe ni mpuuzi kias kwamba aje kusimama hapa hadharani na kuzungumza mambo ya UKANDA,UDINI NA UKABILA NDAN YA CHADEMA??

Hawez kuwa mwehu kias cha kusema mambo hayo,wewe unadhani mtu kama mwigulu nchemba anaweza kusema kinachosumbua ndan ya CCM ni UFISADI NA UTAWALA M'BOVU ILI HALI NA YEYE YUPO NDAN YA CHAMA HICHO HICHO??

UNADHAN KWA AKILI YA KAWAIDA ANAWEZA TAMKA HIVYO HATA KAMA NI KWELI??

SASA KWA TAARIFA YAKO UKANDA UDINI NA UKABILA KWENYE HIKI CHAMA UPO,HATA KAMA KUNA BAADHI YA WATU WATACHUKIA NA KUKASIRIKA HIYO SI DAWA,WATU TUTAENDELEA KUSEMA TUH KUKEMEA HALI HIYO,

KIKUBWA NI HAO JAMAA KUBADILIKA,

HILO KUHUSU TEAM ZITTO AU TEAM SLAA HUWEZ KUMCHAGULIA MTU AU KUMKATAZA MTU KUCHAGUA UPANDE,

IKO WAZI KWAMBA KWA SASA KUNA KAMBI MBILI,KAMBI YA WALE WANAOPOKEA AMRI KUTOKA TEH-RAN KWA AYATOLLAH MTEI NA KAMBI YA WALE WANAOTAKA DEMOKRASIA YA KWELI ITAWALE NDAN YA CHAMA HIKO,

KWAIYO WEWE KAA UTULIE UFUATILIE NINI MWISHO WA MAPAMBANO HAYA NA USHUHUDIE NI NANI ATAIBUKA KIDEDEA KWA WATANZANIA

Mkuu THE BIG SHOW please spare Zitto for a while. Zitto ni msomi alieiva, ni mwanasiasa shupavu mwenye high degree ya uelewa wa siasa za ndani na nje. He is not cheap to talk some shit concern habari ya Udini, ukabila, ukanda.. Only coward do.

Zitto kapata umaarufu kwa sababu ya kisimamia hoja za kitaifa na mara zote amekuwa mshindi. Zitto hahitaji msaada wa baadhi ya "wapuuzi" wanaotumia jina lake kuichafua taswira nzuri aliyo nayo katika siasa za ndani na nje ya hili taifa.

Kama kuna namna nyingine ambayo mnataka kuhubiri udini, ukanda na ukabila kupitia Jina la Zitto tafaadhali hahitaji msaada wa team zitto or frends of zitto.

Narudia, Zitto asihusishe na vikundi vya kihuni ambavyo ajenda zao hazijajengwa katika misingi ya kupigania demokrasia ndani ya chama, na taifa. Asihusishwe na vikundi vya maandamano na wanaochoma bendera, asihusishwe na vikundi vinavyoratibu mikutano ya kuhubiri chuki.

We appreciate your support but we don't entertain any kind actions which will tarnish the image of hon. Zitto.

Asante.
 
Last edited by a moderator:
Wewe mpuuzi subiri haki yako mda si mrefu. Huwezi kukurupuka na kufanya name calling za kupuuzi kwenye ID ambazo sio verified.
Umeandika kama vile wewe ni Zitto halafu unalalamika?Kwanini usiweke disclaimer kwamba umendika kwa niaba ya?Maana utaulizwa maswali kama vile wewe ni Zitto mwenyewe kutokana na ulivyoileta mada husika.
 
umemjibu vyema sana huyu division five wa mlugo
 
Kama yeye haoneshi kukerwa na hilo jow do you know that hao teamzitto wana baraka zake...au na wewe ni another teamzitto.
Mtaunda team nyingi sana mkitapatapa mitandaoni lakini haitabadili maamuzi ya kamati kuu.
 
Back
Top Bottom