Ameacha lini kuzisema? Mbona ndiyo mapambano anayoyaendesha?FirstLady ni kweli kabisa. Yapo mengi sana ambayo Zitto amejikaza kisabuni na asingependa kuyatamka, kama yeye hapendi kuyatamka sii vyema watu kutumia jina lake kuya adress hayo mambo yanaathiri mwenendo mzima wa hii issue inayoendelea, na sii aina ya siasa zake. Kama unavyojua zitto ni mtu makini sana anajadili mambo mazito ya kuliiunganisha taifa. Hoja za ukabila, ukanda tuwaachie wengine ila kwa sasa Zitto hajazisema.