Tahadhari Kubwa kwa watu wote

Tahadhari Kubwa kwa watu wote

ukome kuchafua majina yetu. mbwiga ndo nini? nimekusonya kwanza.... lione kwanza! nyoko wewe....

Najua ugumu wa kuzungumza mambo mazito ya kitaifa na watanzania wa kaliba yako, nayachukua hayo matusi kama changamoto.
 
Kwa watu wote, wanademokrasia na hata wale wahafidhina tufikie mahali tuweze kuzitenganisha propaganda na media spinning zinazoendelea kwa sasa kuhusu issue ya Zitto na chadema.

Natoa tahadhari kubwa sana hapa jamvini na nitasambaza hizi taarifa kwa vyombo vingine vya habari na social media nyingine.

Kuna baadhi ya watu wanaojiita "TEAM ZITTO" ambao pengine kwa nia njema ama kwa maksudi tu wanaharibu Taswira ya Mh Zitto Kabwe kwa kujaribu kutembea katika jina la Zitto kutoa Matamko, maneno na kuratibu mikutano isiyo rasmi kwa kusema wao ni TEAM ZITTO. Imebainika katika kufanya hivi sio tu inamchafua Zitto bali ina lengo la kumchonganisha Ndg Zitto na aidha viongozi wa chadema, kamati kuu ya chama, wapenzi,mashabiki wa chadema, marafiki na hata wananchi. Ajenda zinazoibuliwa na kikundi kinachojiita TEAM ZITTO ni tofauti na zile Zitto alizoziainisha mbele ya vyombo vya habari.

TUHUMA ZITTO ALIZOZIAINISHA KWA VYOMBO VYA HABARI
- Kutokushiriki kampeni za urais
- kutoshiriki operation za chama
- ukaguzi wa vyama
- posho za vikao

Zitto hajazungumzia lolote kuhusu Ukanda, Ukabila, ieleweke na iwe wazi tatizo aliloliainisha ni mapambano ya kukuza demokrasia ndani ya chama, mapambano dhidi ya wapenda demokrasia dhidi ya wahafidhina.

Kwa namna yoyote Zitto Kabwe asihusishwe na taarifa tofauti na hizi, asihusishwe na baadhi ya maandamano, asihusishwe na mikutano inayoratibiwa na wanaojiita TEAM ZITTO. Kama kuna taarifa zozote ambazo zinamuhusu zinukuliwe kutoka kwake moja kwa moja na sio mkusanyiko wa soga zisizo za msingi wowote.

Mwisho, kwa wale wote wapenda demokrasia watambue nyakati ngumu ni sehemu ya maisha ya binadamu, Zitto amekubali kufuata taratibu zote za chama kuhakikisha anahitimisha mtikisiko huu kwa hekma na kwa uvumilivu mkubwa.

Sixgates
DSM
sasa wewe una tofauti gani na hao team Zitto??

mbona vijana mnahangaika sana?? kazi mnafanya saa ngapi wapumbavu wakubwa nyie??
 
Kazi gan unaizungumzia mkuu?? Hivi kuna kazi gani nyingine yenya suna kama ujenzi wa democrasia katika taifa huru?? Hii ndio kazi ninayofanya mkuu. Nisamehe.
 
Zitto hajazungumzia lolote kuhusu Ukanda, Ukabila, ieleweke na iwe wazi tatizo aliloliainisha ni mapambano ya kukuza demokrasia ndani ya chama, mapambano dhidi ya wapenda demokrasia dhidi ya wahafidhina.

Kwa namna yoyote Zitto Kabwe asihusishwe na taarifa tofauti na hizi, asihusishwe na baadhi ya maandamano, asihusishwe na mikutano inayoratibiwa na wanaojiita TEAM ZITTO. Kama kuna taarifa zozote ambazo zinamuhusu zinukuliwe kutoka kwake moja kwa moja na sio mkusanyiko wa soga zisizo za msingi wowote.

Mwisho, kwa wale wote wapenda demokrasia watambue nyakati ngumu ni sehemu ya maisha ya binadamu, Zitto amekubali kufuata taratibu zote za chama kuhakikisha anahitimisha mtikisiko huu kwa hekma na kwa uvumilivu mkubwa.
Sixgates
DSM
Pole sana Mheshimiwa ZITTO!... Sikujua kwamba una ID kibao.... Unawasemaji kibao!... Wanahamia CCM bado wanakuwa wasemaji wako!... Wanahamia CCM wanaendelea kuchochea ukanda udini na UKABILA ndani ya chama na taifa!!!!!....
 
Wewe mwambie arekebishe kauli yake "mtikisiko upi" yeye zitto ni nani mpaka kuwe na mtikisiko kama ametenda ndivyo sivyo anatimuliwa leo na chama kinzidi kusonga mbele na tunaendelea ku cover pace, yeye anatakiwa kuonyesha nidhamu na aache ubinafsi wake wakutaka kujionyesha yeye ni bora kuliko wengine alafu aheshimu wakubwa zake.

Kwa watu wote, wanademokrasia na hata wale wahafidhina tufikie mahali tuweze kuzitenganisha propaganda na media spinning zinazoendelea kwa sasa kuhusu issue ya Zitto na chadema.

Natoa tahadhari kubwa sana hapa jamvini na nitasambaza hizi taarifa kwa vyombo vingine vya habari na social media nyingine.

Kuna baadhi ya watu wanaojiita "TEAM ZITTO" ambao pengine kwa nia njema ama kwa maksudi tu wanaharibu Taswira ya Mh Zitto Kabwe kwa kujaribu kutembea katika jina la Zitto kutoa Matamko, maneno na kuratibu mikutano isiyo rasmi kwa kusema wao ni TEAM ZITTO. Imebainika katika kufanya hivi sio tu inamchafua Zitto bali ina lengo la kumchonganisha Ndg Zitto na aidha viongozi wa chadema, kamati kuu ya chama, wapenzi,mashabiki wa chadema, marafiki na hata wananchi. Ajenda zinazoibuliwa na kikundi kinachojiita TEAM ZITTO ni tofauti na zile Zitto alizoziainisha mbele ya vyombo vya habari.

TUHUMA ZITTO ALIZOZIAINISHA KWA VYOMBO VYA HABARI
- Kutokushiriki kampeni za urais
- kutoshiriki operation za chama
- ukaguzi wa vyama
- posho za vikao

Zitto hajazungumzia lolote kuhusu Ukanda, Ukabila, ieleweke na iwe wazi tatizo aliloliainisha ni mapambano ya kukuza demokrasia ndani ya chama, mapambano dhidi ya wapenda demokrasia dhidi ya wahafidhina.

Kwa namna yoyote Zitto Kabwe asihusishwe na taarifa tofauti na hizi, asihusishwe na baadhi ya maandamano, asihusishwe na mikutano inayoratibiwa na wanaojiita TEAM ZITTO. Kama kuna taarifa zozote ambazo zinamuhusu zinukuliwe kutoka kwake moja kwa moja na sio mkusanyiko wa soga zisizo za msingi wowote.

Mwisho, kwa wale wote wapenda demokrasia watambue nyakati ngumu ni sehemu ya maisha ya binadamu, Zitto amekubali kufuata taratibu zote za chama kuhakikisha anahitimisha mtikisiko huu kwa hekma na kwa uvumilivu mkubwa.

Sixgates
DSM
 
Najua ugumu wa kuzungumza mambo mazito ya kitaifa na watanzania wa kaliba yako, nayachukua hayo matusi kama changamoto.
Ukabila, udini na ukanda mnaopandikiza hautawaacha nyie salama... Hamia Chauma muone.
 
Mkuu umeninukuu vibaya sana.
Zitto pengine ana mengi ya kusema lakini aliyoyasema ndio anaona yana ujenzi kwa chadema, musimuwekee maneno ambayo hajasema na asiingizwe kwenye matamko ya kipuuzi. Ashasema atafuata taratibu zote za chama kuhitimisha kadhia hii. Full stop.

Najua kuna kikundi kimeeanzishwa na chadema kuhakikisha kinalobby umma ili kujidai ni wafuasi wa Zitto ambao wana maono ya kihuni. Narudia Hoja ya zito ni malumbano ya democrasia ndani ya chadema. Bado anaamini chadema ni chama kinachoweza kuleta mabadiliko ya kweli nchini
Zitto anapambana na udini ukabila na uchaga... Kisha atajaza waha na watu wa kigoma ndani ya CHADEMA.
 
TEAM ZITTO + Zitto wamechanganyikiwa.
Project imekwisha. sixgate huna mpya, kamuulize Zitto kama akipiga simu kwa Zoka anampata, Kimei, Wassira n.k wote hawapokei simu yake wala hawataki kumuona.
Huu ujinga wako wa Team zitto hauwasaidii wewe wala baba yako Zitto
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Mheshimiwa ZITTO!... Sikujua kwamba una ID kibao.... Unawasemaji kibao!... Wanahamia CCM bado wanakuwa wasemaji wako!... Wanahamia CCM wanaendelea kuchochea ukanda udini na UKABILA ndani ya chama na taifa!!!!!....

Name calling ni kosa ktk sheria za JF, pengine uthibitishe hii ID kama ni ya Zitto, otherwise mods wakushughulikie.

Mkuu toka lini Zitto akachochea hayo mambo uliyoyatamka hapo?

Toka lini hii ID ya sixgates umewahi kuiona ukijadili udini na ukabila??

Mkuu unaropoka sana while m in a very serious tone
 
hii vita ngumu, mbona wapiganaji mmeanza kurushiana na kupigana mishale jamani...?poleni....ivi wewe si kuna huzi ulisema umejitoa chadema???mbona sasa unaongelea mada za cdm na akina zitto ambao sasa bado ni cdm ihali ushasema umejitoa?? kwa iyo team zitto ya ukweli ipi sasa , ya kwako au nyakarungu??tuwekee sawa ili tusijedhani tunamfuata zitto kumbe tukajikuta mikononi mwa maadui wa zitto...akyanani kukosa ajira rasmi ni hatari,njaa itawaua vijana.....................
 
Umeshahama kabla ya uamuzi wa kamati kuu?

Mimi nimeondoka chadema kwa sababu pengine nliona mchango wangu kwa chama hautambuliki basi nkaona sina sababu ya kung'ang'ania kujenga chama ambacho pale napojenga anakuja mkubwa anauliza nani kajenga hapa akisikia ni Six anabomoa.
 
sixgate, hao team zito ndo walio andaa mkutano wa zzito na waandishi wa habari,ndo walio ratibu nani aingie na asiingie!, nani aulize swali na nani asiulize!, mtelaMwampamba alithibitisha ushiriki wake!. Kundi hili Zzito analitambua ndo maana akaruhusu liratibu kikao chake na waandishi, Zzito anaamini kuwa atazidi "kuijenga" cdm akishirikiana na kundi hilo!.sasa huyu mleta mada ni nani hata atake tuamini alichokiandika?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom