Tahadhari Kubwa kwa watu wote

Tahadhari Kubwa kwa watu wote

mimi mbwiga ila wewe kimbwimbwi basi...acha kuweweseka...mnaunda stori nyingi lakini wapi tatizo mna wenge sana ndio maan mnafeli daily....
Acha kuropoka mbwiga wewe. Chadema mnatunga makundi mnajiita team zito kumchafua
 
  • Thanks
Reactions: BAK
taratibu zipi amefuata? mbona barua alikuwa hajpewa sasa hizo tuhuma za kwenye press alizitoa wapi?
 
kiongozi wa kitaifa kwako na mkeo sio kwetu wanaume...hatuna kiongozi haini wala mnafiki mpenda hela na muuza utu wake
Mkuu Zitto ni kiongozi wa kitaifa, sio tu mbunge wa kg kaskazini. Anatambua kuwa kuchanika kwa jamvi sio mwisho wa mazungumzo.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Sixgates, Zitto kwisha habari yake!!! Acha ashindiliwe tu maana naye alichosha sana watu!! Team Zitto ndo immalize kabisa!!! Bora angekaa kimya wala singeongea na media, sasa watajitokeza Team Zitto kibao kwa lengo la kuwayumbisha!! Cha msingi CDM iko imara na imejipanga!!!

halafu akishaisha? whats next?
 
Zitto kwisha habari asubiri kuwa mb wa mahakama tu,$ 260k hazipati tena!!
 
FirstLady ni kweli kabisa. Yapo mengi sana ambayo Zitto amejikaza kisabuni na asingependa kuyatamka, kama yeye hapendi kuyatamka sii vyema watu kutumia jina lake kuya adress hayo mambo yanaathiri mwenendo mzima wa hii issue inayoendelea, na sii aina ya siasa zake. Kama unavyojua zitto ni mtu makini sana anajadili mambo mazito ya kuliiunganisha taifa. Hoja za ukabila, ukanda tuwaachie wengine ila kwa sasa Zitto hajazisema.
Wote waliochangia natofautiana nae,ZITTO AMETUMA WANAOSAMBAZA UPUUZI HUU DHIDI YA VIONGOZI WAKE,HAPA NI MBINU KUWA AHUSIKI,AMENYEA SIASA MANINA ZAKE.
 
Last edited by a moderator:
Najua umetumwa na makao makuu chadema kuleta taarifa zako hapa, mambo yameaanza kwenda kombo cdm mmeamua kuanza kujipendekeza kwa zito ili tuamini kuwa kamati kuu ilifanya maamuzi yasiyo sahihi kumvua madaraka zito
 
Mwisho, kwa wale wote wapenda demokrasia watambue nyakati ngumu ni sehemu ya maisha ya binadamu, Zitto amekubali kufuata taratibu zote za chama kuhakikisha anahitimisha mtikisiko huu kwa hekma na kwa uvumilivu mkubwa.

Sixgates
DSM
Mwanzo mlisema hana haja ya kujibu barua mmeona mambo yameanza kwenda kombo,

Usicheze na chombo kilichopo kisheria.
 
Kwa watu wote, wanademokrasia na hata wale wahafidhina tufikie mahali tuweze kuzitenganisha propaganda na media spinning zinazoendelea kwa sasa kuhusu issue ya Zitto na chadema.

Natoa tahadhari kubwa sana hapa jamvini na nitasambaza hizi taarifa kwa vyombo vingine vya habari na social media nyingine.

Kuna baadhi ya watu wanaojiita "TEAM ZITTO" ambao pengine kwa nia njema ama kwa maksudi tu wanaharibu Taswira ya Mh Zitto Kabwe kwa kujaribu kutembea katika jina la Zitto kutoa Matamko, maneno na kuratibu mikutano isiyo rasmi kwa kusema wao ni TEAM ZITTO. Imebainika katika kufanya hivi sio tu inamchafua Zitto bali ina lengo la kumchonganisha Ndg Zitto na aidha viongozi wa chadema, kamati kuu ya chama, wapenzi,mashabiki wa chadema, marafiki na hata wananchi. Ajenda zinazoibuliwa na kikundi kinachojiita TEAM ZITTO ni tofauti na zile Zitto alizoziainisha mbele ya vyombo vya habari.

TUHUMA ZITTO ALIZOZIAINISHA KWA VYOMBO VYA HABARI
- Kutokushiriki kampeni za urais
- kutoshiriki operation za chama
- ukaguzi wa vyama
- posho za vikao

Zitto hajazungumzia lolote kuhusu Ukanda, Ukabila, ieleweke na iwe wazi tatizo aliloliainisha ni mapambano ya kukuza demokrasia ndani ya chama, mapambano dhidi ya wapenda demokrasia dhidi ya wahafidhina.

Kwa namna yoyote Zitto Kabwe asihusishwe na taarifa tofauti na hizi, asihusishwe na baadhi ya maandamano, asihusishwe na mikutano inayoratibiwa na wanaojiita TEAM ZITTO. Kama kuna taarifa zozote ambazo zinamuhusu zinukuliwe kutoka kwake moja kwa moja na sio mkusanyiko wa soga zisizo za msingi wowote.

Mwisho, kwa wale wote wapenda demokrasia watambue nyakati ngumu ni sehemu ya maisha ya binadamu, Zitto amekubali kufuata taratibu zote za chama kuhakikisha anahitimisha mtikisiko huu kwa hekma na kwa uvumilivu mkubwa.

Sixgates
DSM

Wewe ni msemaji wa Zitto? Atoke mwenyewe kukemea na kulaani yanayofanywa na TEAM ZITTO,Otherwise itamcost.
 
FirstLady ni kweli kabisa. Yapo mengi sana ambayo Zitto amejikaza kisabuni na asingependa kuyatamka, kama yeye hapendi kuyatamka sii vyema watu kutumia jina lake kuya adress hayo mambo yanaathiri mwenendo mzima wa hii issue inayoendelea, na sii aina ya siasa zake. Kama unavyojua zitto ni mtu makini sana anajadili mambo mazito ya kuliiunganisha taifa. Hoja za ukabila, ukanda tuwaachie wengine ila kwa sasa Zitto hajazisema.
Alipokuwa akiwatuma kuja JF kutukana viongozi wa Chadema mbona hamkumkana yeye na kundi lake? kwanini leo?
 
Kwa watu wote, wanademokrasia na hata wale wahafidhina tufikie mahali tuweze kuzitenganisha propaganda na media spinning zinazoendelea kwa sasa kuhusu issue ya Zitto na chadema.

Natoa tahadhari kubwa sana hapa jamvini na nitasambaza hizi taarifa kwa vyombo vingine vya habari na social media nyingine.

Kuna baadhi ya watu wanaojiita "TEAM ZITTO" ambao pengine kwa nia njema ama kwa maksudi tu wanaharibu Taswira ya Mh Zitto Kabwe kwa kujaribu kutembea katika jina la Zitto kutoa Matamko, maneno na kuratibu mikutano isiyo rasmi kwa kusema wao ni TEAM ZITTO. Imebainika katika kufanya hivi sio tu inamchafua Zitto bali ina lengo la kumchonganisha Ndg Zitto na aidha viongozi wa chadema, kamati kuu ya chama, wapenzi,mashabiki wa chadema, marafiki na hata wananchi. Ajenda zinazoibuliwa na kikundi kinachojiita TEAM ZITTO ni tofauti na zile Zitto alizoziainisha mbele ya vyombo vya habari.

TUHUMA ZITTO ALIZOZIAINISHA KWA VYOMBO VYA HABARI
- Kutokushiriki kampeni za urais
- kutoshiriki operation za chama
- ukaguzi wa vyama
- posho za vikao

Zitto hajazungumzia lolote kuhusu Ukanda, Ukabila, ieleweke na iwe wazi tatizo aliloliainisha ni mapambano ya kukuza demokrasia ndani ya chama, mapambano dhidi ya wapenda demokrasia dhidi ya wahafidhina.

Kwa namna yoyote Zitto Kabwe asihusishwe na taarifa tofauti na hizi, asihusishwe na baadhi ya maandamano, asihusishwe na mikutano inayoratibiwa na wanaojiita TEAM ZITTO. Kama kuna taarifa zozote ambazo zinamuhusu zinukuliwe kutoka kwake moja kwa moja na sio mkusanyiko wa soga zisizo za msingi wowote.

Mwisho, kwa wale wote wapenda demokrasia watambue nyakati ngumu ni sehemu ya maisha ya binadamu, Zitto amekubali kufuata taratibu zote za chama kuhakikisha anahitimisha mtikisiko huu kwa hekma na kwa uvumilivu mkubwa.

Sixgates
DSM
ulifanya haraka sana kuhama chadema ona roho inakuuma
 
I now believe it is very hard to work for two lords (huwezi tumikia mabwana wawili). See for yourself Zito! It has been a matter of time!

Real? Ni mapambano dhidi ya wanademocrasia vs wahafidhina. Hii vita tutaishinda
 
Wapi Team Zitto wa JF....???

sixgates umechelewa saaaana kuwanyamazisha wenzako.
Ungeanza 'kampeni yako tangu mwaka jana, ila baada ya 'Team Zitto' kwenda out of control, ndio umeshtuka...??
Kumbuka, hii hii team zitto ilipokuwa inampigia debe zitto kwenye mambo yake na 'waraka' wake yeye na wenzake ulikaa kimya..!!!
Sasa unahaha kumuokoa Zitto...??
Too late, Chadema imeshashika 'shoka' mkononi.....

images

Nimeweka taarifa sawa. Zitto haungi mkono na vikundi vya wahuni wanaoeneza propaganda chafu. Zito hakuwahi kufanya siasa chafa na hana mpango huo. Waraka aliohukumiwa naao hakuhusika kuuandaa.
 
Last edited by a moderator:
Nimekupata Six, ila nimenotisi yafuatayo:-
1) Kuwa wewe ni mfuasi wa mashuhuri wa Mh. Zitto
2) Kuwa mipango yenu (oganaizesheni yenu) haiko vizuri na chain of command/protocal haiko sawa (eg Tamko la "brigedia" Nyakarungu).
3) Kuwa, TASWIRA ni mtu wa karibu wa Zitto (au ni mojawapo ya ID za MM)
4) Kuwa, Masalia na pro-CCM mtaendeleza propaganda chafu za udini, ukanda, ugaidi na ukabila dhidi ya CHADEMA.
5) Kuwa, mnajua fika kuwa media na majukwaa kama haya ndio njia pekee ya kutuliza frustrations zenu kuvuliwa vyeo vyote.

Mkuu mimi ni mwanademokrasia. Pengine vita hii ina nisideline.. Zitto hata akiondoka chadema hakika historia itakuwa upande wake.
 
Back
Top Bottom