Tahadhari Kubwa kwa watu wote

Tahadhari Kubwa kwa watu wote

sixgates busara hzi ungeziweka mapema "pengne" yasingekuwa yamesambaa hvyo.... Kama ulivyomjibu FirstLady kwa kukubaliana na hoja aliyoiandka unaonekana kupingana na uliyoyasema, bado unaamin ktk swala la udini na ukanda na ukieleza kuwa ZZK anatambua ila bado hajayaongelea, sielewi kwanin kama zzk alikuwa anatambua hilo alikaa nalo "zaidi ya miaka 16 ndani ya CDM" Sielewi pia kwanin hakulisema hilo juzi wakat akijua ndilo linalomtoa Cdm, je? Inamaana anataka kurudi kwenye udini, ukanda, na ukabila?
 
Last edited by a moderator:
Wapi Team Zitto wa JF....???

sixgates umechelewa saaaana kuwanyamazisha wenzako.
Ungeanza 'kampeni yako tangu mwaka jana, ila baada ya 'Team Zitto' kwenda out of control, ndio umeshtuka...??
Kumbuka, hii hii team zitto ilipokuwa inampigia debe zitto kwenye mambo yake na 'waraka' wake yeye na wenzake ulikaa kimya..!!!
Sasa unahaha kumuokoa Zitto...??
Too late, Chadema imeshashika 'shoka' mkononi.....

images

kata.........kata.......kudadadeki.......
 
Last edited by a moderator:
kufa kufaana,jamaa wanaganga njaa!na kijiwe chao kpo karbu na mahakama,na shule ya msingi P L.na kama unataka kujuwa nan mfadhiri wao waguse.
 
sixgates busara hzi ungeziweka mapema "pengne" yasingekuwa yamesambaa hvyo.... Kama ulivyomjibu FirstLady kwa kukubaliana na hoja aliyoiandka unaonekana kupingana na uliyoyasema, bado unaamin ktk swala la udini na ukanda na ukieleza kuwa ZZK anatambua ila bado hajayaongelea, sielewi kwanin kama zzk alikuwa anatambua hilo alikaa nalo "zaidi ya miaka 16 ndani ya CDM" Sielewi pia kwanin hakulisema hilo juzi wakat akijua ndilo linalomtoa Cdm, je? Inamaana anataka kurudi kwenye udini, ukanda, na ukabila?

Mkuu umeninukuu vibaya sana.
Zitto pengine ana mengi ya kusema lakini aliyoyasema ndio anaona yana ujenzi kwa chadema, musimuwekee maneno ambayo hajasema na asiingizwe kwenye matamko ya kipuuzi. Ashasema atafuata taratibu zote za chama kuhitimisha kadhia hii. Full stop.

Najua kuna kikundi kimeeanzishwa na chadema kuhakikisha kinalobby umma ili kujidai ni wafuasi wa Zitto ambao wana maono ya kihuni. Narudia Hoja ya zito ni malumbano ya democrasia ndani ya chadema. Bado anaamini chadema ni chama kinachoweza kuleta mabadiliko ya kweli nchini
 
Last edited by a moderator:
Umeeleza kwamba chochote kinachomhusu Zitto kinukuliwe kutoka kwake moja kwa moja na si kutoka kwa wapiga soga zisizo na msingi wowote. Je, wewe ni Zitto? Au mpiga soga kama Team Zitto?

Huyu ni gamba, leo hii anaruka kooote huko umanakuja kuongelea mambo ya CDM, kwahiyo mojakwamoja anamsalimisha Zitto kwamba ni gamba na wako nae wakiwa wanamsapoti kwa kila njia.
Issue imebumburuka sasa wamepanic.
 
Last edited by a moderator:
kiongozi wa kitaifa kwako na mkeo sio kwetu wanaume...hatuna kiongozi haini wala mnafiki mpenda hela na muuza utu wake

Mkuu punguza mihemuko. Zito ni mwenyekiti PAC unaielewa?
 
Na wewe ndiyo nani wa Zitto? Mke wake au mchumba wake?

Ni kawaida unavyofanya wewe unafikiri kila mtu anafanya pia.

Haya wewe unaemtetea slaa wewe ni kimada wake?
 
Mkuu punguza mihemuko. Zito ni mwenyekiti PAC unaielewa?

sixgates nimeshangaa leo nikiwa mjini nimepewa copy za ule waraka wa zito na mtu nisiemjua na kunibia kajisomee umjue zito.
una kazi ya kumtetea kakako
 
Last edited by a moderator:
Wote waliochangia natofautiana nae,ZITTO AMETUMA WANAOSAMBAZA UPUUZI HUU DHIDI YA VIONGOZI WAKE,HAPA NI MBINU KUWA AHUSIKI,AMENYEA SIASA MANINA ZAKE.

Sasa wewe mkuu una ushahid? Lete ushahidi kuwa zitto katuma watu. Acha hizo
 
Mkuu umeninukuu vibaya sana.
Zitto pengine ana mengi ya kusema lakini aliyoyasema ndio anaona yana ujenzi kwa chadema, musimuwekee maneno ambayo hajasema na asiingizwe kwenye matamko ya kipuuzi. Ashasema atafuata taratibu zote za chama kuhitimisha kadhia hii. Full stop.

Najua kuna kikundi kimeeanzishwa na chadema kuhakikisha kinalobby umma ili kujidai ni wafuasi wa Zitto ambao wana maono ya kihuni. Narudia Hoja ya zito ni malumbano ya democrasia ndani ya chadema. Bado anaamini chadema ni chama kinachoweza kuleta mabadiliko ya kweli nchini

Nawewe unaamini nini kuhusu Chadema,maana unajidai kila siku na uzi mpya kuhusu Chadema wakati ulishaondoka na tukakuaga,sjui umesahau kandambili!eti Team Zitto?
 
sixgates nimeshangaa leo nikiwa mjini nimepewa copy za ule waraka wa zito na mtu nisiemjua na kunibia kajisomee umjue zito.
una kazi ya kumtetea kakako

Marire huwa nakushangaaga sana, na elimu yako unakuwa unafuata mkumbo tuu.

Kwa maelezo ya mnyika waraka halisi bado haujasambazwa unaosambaa ni fake. Bonefide genuine upo kamati kuu ikibidi watautoa. Sasa huo waraka uliosoma ni upi?

Na kama waraka uliousoma ni huu unaosambaa na mimi nimeusoma, una tatizo gan? Nadhani chadema waufanyie kazi ni mzuri katika kukuza democrasia.

Haswa nawashauri waifuate sana ile sehem ya kwanza.
 
Maneno ya Wasira na Mwigulu ya CDM kusambaratika kabla ya 2015 ndio yanatimizwa kwa aina hii? Wajuzi tujuzeni tusowajuzi. Cc vuta-nikuvute
 
Back
Top Bottom