Mdau aksante sana!ingia kwenye myprofile > application status > sogeza mouse kwnye code ya io coz utayaona ayo maelezo (usiclick)
Mdau aksante sana!
Wakati nasubiri majibu rasmi sina presha sana,nimeangalia kozi yangu ya kwanza inahitaji watu 95,waliomba ni 206 wenye vigezo(minimun requirement kama ndio kigezo kikuu) ni 169 nami nimo,waliomba chaguo la kwanza ni 36 tu.
Chaguo la pili watu 95 ,waliomba ni 103 wenye sifa ni 66,waliweka chaguo la kwanza ni 14.
Hapo siwezi kukosa chuo.
Wadogo zangu, msiyumbishwe na maneno ya vitisho na yenye kukatisha tamaa. Keep strong on your faith, done keep your chin up, time will reveal everything.
Mi nakumbuka wakati nafanya application. Petroleum chemistry UDSM ilikua inahitaji w/funzi 20 tu. Tuliapply wanafunzi 800, out of that scale 660 tulikua eligible na 540 tulijaza as 1st option. Nilivunjika moyo, niliwaza sana its fate nk... nilikata shauri ya kuedit app profile, nibadilishe 1st option yangu, lkn moyo ukasita. Nikaamua nisikilizie ivo ivo, liwalo na liwe.
Mwishoe selection za ud zilivyotoka, nikajikuta nimo kati ya hao few-chosen.
Msiogope madogo.
Ndio ndugu,ni Bpharm chaguo la kwanza na MD chaguo la piliMkuu bila shaka hizo ni kozi za sayansi.
Ndio ndugu,ni Bpharm chaguo la kwanza na MD chaguo la pili
Ok vizuri mkuu ila kwa watu wa Arts ni kivumbi cha kufa mtu, competition ni kali.
kama tungezingatia haya 2nd round isingewakuta wengi kihasi hiki!
jaman mim mwenye upper second class ya diploma ya accountancy naeza kupata nafas ya Bcom in Acc Udsm na Udom ?, na vip mkopo wenye diploma wanapata ?
Dah mbona hii hatari sana, ila wamtumainiao Bwana ni kama mlima sayuni, hawatatkisika milele daima.
Duuh sasa hapo UDOM public administration nitapata kweli nina 2 ya 9...na kuna siku nili angalia watu 650 walikuwa wame apply na nafasi zinazohitajika ni 108 tu.
una pata mkuu....ila chuo ulicho soma diploma kiwe kinatambuliwa na seneta ya udsm.....nna GPA ya 3.8 na olevo nlikua na div ya 1.17
unapata mkuu..lakin sio kwa first round.....udom lazma wata ongeza wanafuzi....
kazi ipo...
Kuingia chuo, presha!
kupata mkopo, presha!
Soko la ajira, presha!
Tanzania yetu hii ni zaidi ya hizi herufi 8.