Tahadhari kama umechagua course hizi TCU

Tahadhari kama umechagua course hizi TCU

Sheria UDSM wameshaaply zaidi ya watu 1400 wanahitajika watu 61 tu, sheria mzumbe wameaply zaidi ya 1000 wanaohitajika hawafiki mia na 70, transport and logistic management national instute of transport wameaply watu zaidi ya 2000 wanahitajika watu 55 tu , human resources mzumbe wameshaaply zaidi ya 1000 .

ANGALIZO kama umeaply hizi coz na una marks za kubabaisha naongelea kuanzia one ya 6,7, nakuendelea jiandae kuumia. Weka coz za vyuo visivyokua na ushindani. All the best! #victor

uoga wako ndo umasikini wako!!!!
 
jk.png
 
Udom. Education (arts) watu elfu saba wame apply nafasi zilizopo ni 300 hivi
 
  • Thanks
Reactions: vvm
Udom. Education (arts) watu elfu saba wame apply nafasi zilizopo ni 300 hivi

muwe mnatumia na busara wakati mnapost vitu hv mbona mnapenda kukatisha watu tamaa.kila mtu wakati anafanya application na imani alisoma vizuri guide book na kwa kila chuo alichochagua alijua wanahitaji nn na hawahitaji nn.sasa imekuwa mara ud wanataka hawa mara wameapply hawa.kuweni wapole bwana
 
Nataarifu tu wapendwa humu ndani huku ni kusaidiana mtu asije pelekwa pale ambapo hapapendi heri kujua ufanye mabadiliko mapema.
 
Cha msingi kama ume umejaza kozi zako na zime kaa vizuri huna budi kuhangaika, tulia subiri wakuchague....
 
Kivumbi kipo Public admnistration ya Mzumbe wanataka watu 60 tu.
 
Duuuh. Hivi vyuo vya serikali competition daah Acha tu.......

mi niliomba mwaka jana nikawa nimepeta hapo mlimni sociology dah nikaon hailipi nikapiga chini sasa nimefanya michakato na kuomba tena mwaka huu na nimechagua vyuo kama udsm,udom,saut,duce,ruaha kwa coz ya sociology ninapoint 5 .ushauri wadau kuna kupata kimoja kati ya hvyo
 
Utapata mkuu kwa point 5
 
Daah watu tunakatishana tamaa sana humu bhna
mnafanya wenzenu
wackae kwa amani....!!
 
Back
Top Bottom