Tahadhari kama umechagua course hizi TCU

Tahadhari kama umechagua course hizi TCU

jamani naomba kujua lolote kuhusu kozi ya bach of science general inadili na nn hasa ktk ajira zake.
 
nimeomba bach of acountng and finance with it pale ruaha catholic university kama chaguo la mwisho ila nahisi wakinipanga hapa nitakosa mkopo. msaada wenu, niitoe hii kozi? maana kozi nyngne za mwanzo nilizoweka ushndan n mkubwa na hii ya mwisho haina ushndani
 
bora umemwambia ujue point 5 mwaka huu ni zakugusa tu maana hiyo ndo dv3 ya mwisho mwaka huu (CCD)..competition ni kubwa kinoma

Kwan hzo point 5 si zle za 2 principle pass kw coz zake ingekuw 3 pr.pass ingekua ivo but apo mtu anaweza kuw na CB kwny masomo mawili.
 
nimeomba bach of acountng and finance with it pale ruaha catholic university kama chaguo la mwisho ila nahisi wakinipanga hapa nitakosa mkopo. msaada wenu, niitoe hii kozi? maana kozi nyngne za mwanzo nilizoweka ushndan n mkubwa na hii ya mwisho haina ushndani

Chagua kozi zenye priority TU,if unauwezo wa kujilipia gharama za chuo then chagua kozi unayotaka wewe..TCU wanauwezo wa kukuchagua kozi yoyote among those 5 kwenye list of preference.
 
jaman mim mwenye upper second class ya diploma ya accountancy naeza kupata nafas ya Bcom in Acc Udsm na Udom ?, na vip mkopo wenye diploma wanapata ?

Sahau mkopo kwenye hiyo field,imekuwa ngumu zaidi vipindi hivi vya BRN kutokana na ufaulu mwingi.ni probability ya 0.5!
 
Agribusiness ya Sua wameapply zaidi ya 1500 wanaohitaji ni kama 200
 
nimeomba bach of acountng and finance with it pale ruaha catholic university kama chaguo la mwisho ila nahisi wakinipanga hapa nitakosa mkopo. msaada wenu, niitoe hii kozi? maana kozi nyngne za mwanzo nilizoweka ushndan n mkubwa na hii ya mwisho haina ushndani

Hiyo course haina mkopo kwahyo kokote utakakojaza ujue hyo ni non priority.
 
Kama ipi umekuta udhindani mbona st john,jordan,mucobs kwa baf hazina competion
 
nimeomba bach of acountng and finance with it pale ruaha catholic university kama chaguo la mwisho ila nahisi wakinipanga hapa nitakosa mkopo. msaada wenu, niitoe hii kozi? maana kozi nyngne za mwanzo nilizoweka ushndan n mkubwa na hii ya mwisho haina ushndani

Omba mucobs,jordan,au st john kwa hiyo BAF NO COMPETION
 
Wadogo zangu, msiyumbishwe na maneno ya vitisho na yenye kukatisha tamaa. Keep strong on your faith, done keep your chin up, time will reveal everything.

Mi nakumbuka wakati nafanya application. Petroleum chemistry UDSM ilikua inahitaji w/funzi 20 tu. Tuliapply wanafunzi 800, out of that scale 660 tulikua eligible na 540 tulijaza as 1st option. Nilivunjika moyo, niliwaza sana its fate nk... nilikata shauri ya kuedit app profile, nibadilishe 1st option yangu, lkn moyo ukasita. Nikaamua nisikilizie ivo ivo, liwalo na liwe.

Mwishoe selection za ud zilivyotoka, nikajikuta nimo kati ya hao few-chosen.

Msiogope madogo.

Thank yhue sana sisi wa MD tunatamani kulia_hope it will turn out well to us pia
 
Ni kweli ninza kufikia ila uzito tofauti. Hata ukicheki katika vigezo vya kupata vyuo wana sema kuwa watazingatia viwango vupya na vya zamani hawatoangalia tuu vipya. Kwa viwango vipya ni kweli hiyo tano ni ndogo

Wakuu hivi mtu mwenye C C B Anakuwa na GPA ya ngapi? Mnisaidie tafadhalii
 
Back
Top Bottom