Tahadhari kama umechagua course hizi TCU

Wadogo zangu, msiyumbishwe na maneno ya vitisho na yenye kukatisha tamaa. Keep strong on your faith, done keep your chin up, time will reveal everything.

Mi nakumbuka wakati nafanya application. Petroleum chemistry UDSM ilikua inahitaji w/funzi 20 tu. Tuliapply wanafunzi 800, out of that scale 660 tulikua eligible na 540 tulijaza as 1st option. Nilivunjika moyo, niliwaza sana its fate nk... nilikata shauri ya kuedit app profile, nibadilishe 1st option yangu, lkn moyo ukasita. Nikaamua nisikilizie ivo ivo, liwalo na liwe.

Mwishoe selection za ud zilivyotoka, nikajikuta nimo kati ya hao few-chosen.

Msiogope madogo.
few chosen!? What abt many of them who failled !? Kama wangekua apa wangepost vipi? Hii si kuwakatisha tamaa bali natoa mwanga kwamba usichague coz zote tano kwenye vyuo vyenye ushindani mkali atleast tueke coz moja kutoka vyuo vya kawaida ili kuepuka kuja kurudia kuaply kwa mara ya pili. Asante
 
Sheria UDSM wameshaaply zaidi ya watu 1400 wanahitajika watu 61 tu, sheria mzumbe wameaply zaidi ya 1000 wanaohitajika hawafiki mia na 70, transport and logistic management national instute of transport wameaply watu zaidi ya 2000 wanahitajika watu 55 tu , human resources mzumbe wameshaaply zaidi ya 1000 .

ANGALIZO kama umeaply hizi coz na una marks za kubabaisha naongelea kuanzia one ya 6,7, nakuendelea jiandae kuumia. Weka coz za vyuo visivyokua na ushindani. All the best! #victor
Ni kweli kabisa mleta mada!nakumbuka selection ya mwaka 2012/13 wengi tulilichaguwa kozi ktk vyuo vyenye competition ka UDSM,ARDHI,SUA,UDOM,MZUMBE n.k!mie nilichaguliwa na tcu kozi niliyoweka ya 6!wenzangu waliambulia kutupwa kozi na vyuo ambavyo hawakuvichaguwa kabisa wengi walitupwa IFM computer science.
 
Wamtumainio Bwana ni kama mlima sayuni, hawatatikisika milele.
 
Msihofu hakuna atakayekosa chuo kwenye choice zote tann.labda tokeo lisieleweke.
 
Ni kweli kabisa mleta mada!nakumbuka selection ya mwaka 2012/13 wengi tulilichaguwa kozi ktk vyuo vyenye competition ka UDSM,ARDHI,SUA,UDOM,MZUMBE n.k!mie nilichaguliwa na tcu kozi niliyoweka ya 6!wenzangu waliambulia kutupwa kozi na vyuo ambavyo hawakuvichaguwa kabisa wengi walitupwa IFM computer science.

Mmh kwani ndugu ufaulu wako ulikuwa vipi
 
Mbona mm nipata udsm as my first choice?? Labda matokeo yanaangaliwa aisee
 
Wadogo zangu, msiyumbishwe na maneno ya vitisho na yenye kukatisha tamaa. Keep strong on your faith, done keep your chin up, time will reveal everything.
Ulifauluje mkuu....usije ukawadanganya unakuta dogo na hii BIG RESULT NOW YA KAWAMBWA ANA LITATU CJUI HATA INAANZIA NGAPI NA KUISHIA NGAPI ALAFU AJIPE MOYO.....
 
Ni kweli kabisa mleta mada!nakumbuka selection ya mwaka 2012/13 wengi tulilichaguwa kozi ktk vyuo vyenye competition ka UDSM,ARDHI,SUA,UDOM,MZUMBE n.k!mie nilichaguliwa na tcu kozi niliyoweka ya 6!wenzangu waliambulia kutupwa kozi na vyuo ambavyo hawakuvichaguwa kabisa wengi walitupwa IFM computer science.

Matokeo yako yalikuaje isije ukawa na div3 zako alafu ukakomaa na kujaza UDSM na Mzumbe hapo lazima utuandikie ushuhuda mfu kama huu, lakini kama mtu kafaulu vizuri eg div1 na div2 then awe anamtegemea Mungu hawezi kukosa chuo kizuri.
 
Sheria UDSM wameshaaply zaidi ya watu 1400 wanahitajika watu 61 tu, sheria mzumbe wameaply zaidi ya 1000 wanaohitajika hawafiki mia na 70, transport and logistic management national instute of transport wameaply watu zaidi ya 2000 wanahitajika watu 55 tu , human resources mzumbe wameshaaply zaidi ya 1000 .

ANGALIZO kama umeaply hizi coz na una marks za kubabaisha naongelea kuanzia one ya 6,7, nakuendelea jiandae kuumia. Weka coz za vyuo visivyokua na ushindani. All the best! #victor

nadoubt takwimu zako
 
wadau mbona kwene profile yangu bado inaandika "check in progress" kuna shida au ni kwa wote maana nimeshindwa kuelewa
 
Matokeo yako yalikuaje isije ukawa na div3 zako alafu ukakomaa na kujaza UDSM na Mzumbe hapo lazima utuandikie ushuhuda mfu kama huu, lakini kama mtu kafaulu vizuri eg div1 na div2 then awe anamtegemea Mungu hawezi kukosa chuo kizuri.
kwa matokeo ya mwaka huu kuna uwezekano mkubwa wakukosa hivyo vyuo vyenye competition hata kama una div 2 kwan ufaulu hasa kwa div 1 umeongezeka!me nilikuwa na div 2 ya 12 but ckuchaguliwa UDSM!kuna watu kibao tupo nao UDOM wana div 1 na 2 ila walikosa UD kutokana na wingi wa wanafunzi walochaguwa kozi za hapo mfano civil engineering!heb jiulize kaka div 1 za PCM,PCB AU PGM ZIPO ngap?UD kwa kozi ka petroleum wanataka watu 20 tu ni wengi wenye matokeo mazuri wanaqualification za kuchaguliwa hio kozi ila haiwezekani kupata wote hio nafac.
 
Duuh sasa hapo UDOM public administration nitapata kweli nina 2 ya 9...na kuna siku nili angalia watu 650 walikuwa wame apply na nafasi zinazohitajika ni 108 tu.
 
Jaman mbona account yangu ya tcu haifunguki inaniambia registration failed na asubuhi ilikua inafunguka vzur?? Zenu zko poa wakuu?
 
Back
Top Bottom