vvm
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 6,303
- 10,334
Sheria UDSM wameshaaply zaidi ya watu 1400 wanahitajika watu 161 tu, sheria mzumbe wameaply zaidi ya 1000 wanaohitajika hawafiki mia na 70, transport and logistic management national instute of transport wameaply watu zaidi ya 2000 wanahitajika watu 55 tu , human resources mzumbe wameshaaply zaidi ya 1000 .
ANGALIZO kama umeaply hizi coz na una marks za kubabaisha naongelea kuanzia one ya 6,7, nakuendelea jiandae kuumia. Weka coz za vyuo visivyokua na ushindani.
ANGALIZO kama umeaply hizi coz na una marks za kubabaisha naongelea kuanzia one ya 6,7, nakuendelea jiandae kuumia. Weka coz za vyuo visivyokua na ushindani.