Tahadhari kama umechagua course hizi TCU

mi napenda kujua kuhusu iyo transport and logistic ina aply wap sifa za muombaj wa koz hii na kuhusu mkopo wake pia soko lake la ajira
 
kama umetuma maombi mwaka huu wanatoa idadi ya waliojaza kozi husika kwa priority ya kwanza mpka ya 5
 
Wakati nachagua course kipindi naaply Bcom in accounting Udsm Ilikua inachua 220 tu. Na muda ninaoenda ku apply walikua wameshaomba watu 1700. Na bado nikachanguliwa. So wakati mwingine inategemea na bahati. Ila la muhimu ni kuiweka course first priority pia tukiwa mwaka wa mwisho walikua wanafanya assessment na ikaonyesha watu wengi ambao hawakua na msingi was masomo ya biashara au kuiweka course husika Kama first priority ndio waliokuwa wanafeli Sana hivyo nadhani watazingatia pia hicho kwa wakat huu
 
Back
Top Bottom