Tahadhari kama umechagua course hizi TCU

Tahadhari kama umechagua course hizi TCU

mnawatisha sana jamani emb waache wasubiri muujiza wa Mungu wao
 
Wanaosema kuwa mnakatisha watu tamaa mi naona ni wazembe wa kufiikiri. Kuna watu wengi tunahitaji taarifa kama hizi ili kama kuna uwezekano tufanye marekebisho. Sasa mtu anakuja na kelele zake eti mnakatisha tamaa kwan umelazimishwa kusoma uzi huu? Mtoa mada endelea kutoa taarifa za namna hii bhana. Tatizo la wengi ni kuwa na self fullfiling bias alafu anataka mwishoni utokee muujiza wa mungu. Hahahaha aiseee mungu na mbio bhana. mambo mengine ni kufuata principle na system sio kusubiri muujiza.
 
Wengi mnaogopa msichokijua ndo maana. Kama una vigezo chuo utapata na ndo maana tuliomba vyuo tofauti na course tafauti tofauti so kama unakosa moja unapata ya pili na ya pili ukikosa utapata ya tatu ila huwezi kosa zote kama una vigezo. Ila competition ni lazima ila isiwe sababubya kurudisha matumaini nyuma vyuo ni vingi sana
 
bora umemwambia ujue point 5 mwaka huu ni zakugusa tu maana hiyo ndo dv3 ya mwisho mwaka huu (CCD)..competition ni kubwa kinoma

Ni kweli ninza kufikia ila uzito tofauti. Hata ukicheki katika vigezo vya kupata vyuo wana sema kuwa watazingatia viwango vupya na vya zamani hawatoangalia tuu vipya. Kwa viwango vipya ni kweli hiyo tano ni ndogo
 
Okay okay.....nashukuru kwa ufafanuzi

huyo ni wa Diploma ndo maana inaonesha hvo...capacity ya BscCEIT udsm ni watu 60 but wameandika 10 ktk jedwali la huyo jamaa so usiogope hzo ni za watu waliosoma Dip...kwa ww form six worry out
 
Alafu tuzingatie kuwa kwa tcu wote tutakuwa sawa. Wale wa brn na wale wa zamani.
 
Attachments

  • 1409296280570.jpg
    1409296280570.jpg
    80.1 KB · Views: 306
Na hii ndo system itakayotumika ku convert
 
Attachments

  • 1409296340566.jpg
    1409296340566.jpg
    49.9 KB · Views: 327
Wadogo zangu, msiyumbishwe na maneno ya vitisho na yenye kukatisha tamaa. Keep strong on your faith, done keep your chin up, time will reveal everything.

Mi nakumbuka wakati nafanya application. Petroleum chemistry UDSM ilikua inahitaji w/funzi 20 tu. Tuliapply wanafunzi 800, out of that scale 660 tulikua eligible na 540 tulijaza as 1st option. Nilivunjika moyo, niliwaza sana its fate nk... nilikata shauri ya kuedit app profile, nibadilishe 1st option yangu, lkn moyo ukasita. Nikaamua nisikilizie ivo ivo, liwalo na liwe.

Mwishoe selection za ud zilivyotoka, nikajikuta nimo kati ya hao few-chosen.

Msiogope madogo.

Kuna statement hapa inasema "where as 1 are eligible and 0 who are eligible for this program have selected it as a first choice", inamaanisha nini? Msaada wako please.
 
Wanaosema kuwa mnakatisha watu tamaa mi naona ni wazembe wa kufiikiri. Kuna watu wengi tunahitaji taarifa kama hizi ili kama kuna uwezekano tufanye marekebisho. Sasa mtu anakuja na kelele zake eti mnakatisha tamaa kwan umelazimishwa kusoma uzi huu? Mtoa mada endelea kutoa taarifa za namna hii bhana. Tatizo la wengi ni kuwa na self fullfiling bias alafu anataka mwishoni utokee muujiza wa mungu. Hahahaha aiseee mungu na mbio bhana. mambo mengine ni kufuata principle na system sio kusubiri muujiza.

miruzi mingi humpoteza mbwa kaka.kuwa na msimamo wakati unajaza haya yote si uliyafahamu
 
kazi ipo...

Kuingia chuo, presha!

kupata mkopo, presha!

Soko la ajira, presha!

Tanzania yetu hii ni zaidi ya hizi herufi 8.
 
Back
Top Bottom