Tafakuri ya FaizaFoxy 2: Korosho

Wacha porojo. Weka hizo "taratibu za ki uongozi" tuzione.

Umekurupuka usingizini ukiwa na hangover ya mbege?
 
Kwa nini wawakopeshe bila riba wakati wakianzisha ivyo viwanda watatengeneza faida na kuendelea kujilimbikizia utajiri. Ilo wazo lako ni madudu sana na halina faida wala tija kwa wakulima wa korosho. Ukitaka kuwa tajiri lazima uwe mzulumaji wakulima watazulumika sana.
 
Udini haachagi huyo,ukisoma kiutulivu utagundua udini uliomo kwenye uzi wake huu..msome vizuri
Enzi za alhaj kikwete alikuwa hatoi ushauri,sasa hivi ushauri mwingi implying that things ain't going well wakati jakaya ndo katufikisha hapa
Alhaj ni muumin aliyefika makha kwa lengo la kuhij ili kutekeleza nguzo mojawapo katika nguzo tano ndani ya uislam.
 
Wacha porojo. Weka hizo "taratibu za ki uongozi" tuzione.

Umekurupuka usingizini ukiwa na hangover ya mbege?
Na nakuhakikishia kwa madudu ambayo Magufuli amefanya kwenye zao la korosho "Ama mna muda mrefu ili msimame tena au ndiyo mwanzo wa mkono wa kwaheri kwenye hilo zao" Mtu ni mgeni kwenye mambo mengi ila anajifanya mjuaji hadi anakera. Nyie chezeni naye halafu msimu unaokuja tutakuja kuelezana hapa.

Tararibu za kiuongozi huzijui? Umeona wapi serikali inatumia mali ya umma kijinga vile? Magari ya jeshi, fedha za walipa kodi na muda halafu unaleta hasara mara dufu. Hilo ni sawa?
 
Nahisi nimekuelewa sana....
 

Kwanza nakushauri rekebisha makosa hayo. Kiswahili ni lugha yetu ya taifa, kitendee haki.

Una mawazo mema lakini punguza ghadhab, tulizana kaa uandike vizuri. Au unakimbizwa?

Maendeleo hayana chama.
 
Bana Gas waliandamana nahili kimya ina maana hainahaja kwenda kwa bibi ova
 
Juzi Mheshimiwa Rais amesema wanaoona hali ngumu ni wale waliozowea pesa zisizo halali.
Kauli ya rais si 'msahafu', hapo aliongea kwa kudhania tu labda kama angetuwekea na solid proofs za kusimamia kauli yake.
Mfano je hawa wakulima wa korosho walioumizwa na huu utaratibu uliotumia mpaka TPDF katika kuzikusanya korosho zao pia walizoea pesa zisizo halali ndiyo maana wakakutana kadhia hii inayoendelea kuwatia uchungu mpaka sasa?
 
Umelala, kuna njia ya muda mfupi njema zaidi ya kuwapa kilo shillingi 3,400 wakati wanunuzi wa nje walitaka kuwapa shillingi 1,700?

Hivi upo dunia hii kweli? Wewe kweli msukule. Maana umepita kiwango cha kusomea ujinga.
Sasa kama mliuza kilo Tshs 3400 mbona mnalia hadi kujibaraghaza chini? Si muendelee na utaratibu huo?
Hizi siasa za kijinga mnazofanya mnawaumiza hao mnaowaita wanyonge ambao mnasema mpo kwa ajili yao.
 
Mali ya umma hutumiwa kusaidia umma.

Ulitaka serikali ikae tu inaona wakulima wanadhulumiwa?

Uamuzi wa haraka aliouchukuwa na Rais ni mwema sana kwa mwenye uelewa, kilichobakia sasa ni kutafuta long term solution. Na uzi huu umelenga hilo la long term solution.

Nafahamu wengi mliotumbuliwa kwa vyeti feki na wizi serikalini saa hizi mnahaha.
 
Sasa kama mliuza kilo Tshs 3400 mbona mnalia hadi kujibaraghaza chini? Si muendelee na utaratibu huo?
Hizi siasa za kijinga mnazofanya mnawaumiza hao mnaowaita wanyonge ambao mnasema mpo kwa ajili yao.
Naona hata mada hujaielewa. Tatizo ni lako siyo letu.
 
Wewe utakuwa hujaenda kusini. Upo hapo Ilala umebaki kupiga porojo. Lipi ambalo Magufuli alifanya limewasaidia wadau wa korosho zaidi ya kuzidisha kero na gharama tupu? Halafu wala wewe huhitaji kunifundisha kitu maana nina akili mbele yako zaidi ya maili milioni tano! Wewe kwangu kiakili ni mchanga sana bibi. Yani naweza kuiweka hii nchi mkononi mwangu ikaenea na nikawa naiperuzi kama simu. Nina uelewa mpana.

Halafu Magufuli mwenyewe unayeniambia ninaweza kukupa list ya mambo aliyofeli ambayo ni mara dufu ya aliyofaulu. Kiufupi wewe wakati umelala mimi nilishamu-assess Magufuli hivyo namuelewa sana na akifanya jambo naelewa litaisha vipi. Kwa hayo naomba niheshimu. Huyo wala hataweza eti kunitumbua kwa vyeti feki! Kanizidi tu kwa cheo cha nchi!
 
Naona hata mada hujaielewa. Tatizo ni lako siyo letu.
Hiyo long term solution uliyotoa ni ya kijinga! Kama mliuza kwa faida hivyo si mnaweza kujiendeleza? Sasa mbona unataka tena huruma? Ukishakuwa tatizo huwezi kuelewa lilipo tatizo!
 
Pita pita zangu humu nimekutana na huu uzi na nimesoma mchango wako kuhusu zao la korosho ushahuri wako ni wa ujenzi.

Mimi napita naenda kunywa kahawa na kashata za karanga.


Ahsanta...
Mheshimiwa umepotea sana. Msalimie sana the big boss, sijui kama alisalimika na korosho

Ahsanta
 
Hiyo long term solution uliyotoa ni ya kijinga! Kama mliuza kwa faida hivyo si mnaweza kujiendeleza? Sasa mbona unataka tena huruma? Ukishakuwa tatizo huwezi kuelewa lilipo tatizo!
Tatizo lako kubwa ni muono duni na kukosa ubunifu. Utajiendeleza kwa kuendelea kuuza korosho ghafi?

Kujiendekeza ndiyo huko. Soma post namba moja ikuingie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…