Tafadhali Rais Samia... Hakuna anayekuamini...

Conflict of interests... Huku ndani yumo katikati ya MIGOGORO... Ndani na nje ya ccm.
 
Nani kakuambia tunaongozwa ama kuamrishwa na Trump? Who Is Trump in Our County?
Kama huongozwi wala kuamrishwa na Trump, mwambie mama yako akome kupokea misaada kutoka kwa Trump tuone kama hujafa njaa huko Lumumba. Hujui sehemu kubwa ya posho unayolipwa huko Lumumba inatoka kwa wafadhili (akina Trump, et al)? Acha kujitoa ufahamu mkuu.
 
Duu... kweli Mwanakijiji karudi toka likizo...!!!!
Umesema kweli tupu, wauaji waliagizwa kufanya hivyo toka huko huko ngazi za Juu.
 
Yule shehe wa Kenya alitabiri kama ya Uchaguzi Mkuu kuwa Samia ataua tena kwa maelfu, halaf kutatokea tetemeko na mvua kubwa kunyesha na hapo ndiyo utakuwa mwisho wake; na ukiangalia ni sahihi, yupo kwenye posture ya kuua zaidi shenzy zake shetani huyu
 
Hiyo tume ya jinai aliounda inaenda kumchunguza nani ikiwa Mama mwenyewe anaipongeza jeshi la polisi kwa kazi waliofanya ya kuua raia
 


Anayemwamini ni huyo aliyemweka , Godfather Kikwete labda na wale waliokuwa wakipiga vigelegele na kukata viuno pale alipoteuliwa kugombea uraisi wa Tanganyika iliyopewa jina na Laanatulahi Nyerere kuwa Tanzania
 
Ukweli upi wa kuunda tume wakati majibu yote alishayatoa hadharani? Umakini gani unaozungumzia wakati malalamiko na vilio vya watanzania viko mitaani juu ya utekaji? Ukweli gani unautaka wakati vyombo vya usalama viliua watu hadharani kweupe? Kuna mambo hayahitaji kuwa mjinga wakati ukweli u peupe kabisa.

Rais ni mponyaji mkuu, wakati tume zake zinaendelea kula posho za vikao amechukua hatua gani za kuwafikia watu wa chini ambao ndugu, jamaa na marafiki wameuawa? Na wameuawa ili yeye aendelee kutawala, maana yake mtawala ni wa wananchi na sio kikundi, vilio vya wananchi ni kazi yake kuvisikiliza, amefanya nini mpaka sasa kuliponya taifa.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…