peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 17,514
- 29,897
UDOM wameanza kuuza PhD kwa wanasisasa.Ndugu zangu Niko Dodoma,ninayoyaskia ni aibu namwomba niliyemtaja atuwekee andiko lake hapa mpaka anapewa udakitari.
UDOM wameanza kuuza PhD kwa wanasisasa.Ndugu zangu Niko Dodoma,ninayoyaskia ni aibu namwomba niliyemtaja atuwekee andiko lake hapa mpaka anapewa udakitari.
[emoji23][emoji23]na anajiamini kweli kweliDr. Musukuma ni Genius
hii ilikua awamu iliyipitaTena pia uwe Msukuma
Shukrani kwa ufafanuzi mkuu!!M.Sc au M.S kwa Marekani hizo ni academic degrees. Hizo degree za M.Sc. by coursework hazipo (labda zimebaki katika vyo vichache sana), ni kwamba either utapata M.Sc in GIS (lazima uwe na publication) au una Master 's in Geographic Information Science (huhitaji publication)
UDOM wameanza kuuza PhD kwa wanasisasa.
Yani Hadi msukuma ni Dr eti, [emoji23][emoji23]nchi yangu bwana
Ndugu zangu Niko Dodoma,ninayoyaskia ni aibu namwomba niliyemtaja atuwekee andiko lake hapa mpaka anapewa udakitari.
You are misinformed cacophonousThamani ya PhD inaonekana kwenye ubora wa kazi katika utendaji wa watu hao na sio kwenye makaratasi
Na hapa ndio pale mtu unaweza kuwa na karatasi yako ya PhD lakini babu/bibi yako kule kijijini akawa bora kuliko wewe
Ndugu zangu Niko Dodoma,ninayoyaskia ni aibu namwomba niliyemtaja atuwekee andiko lake hapa mpaka anapewa udakitari.
Niliona hii title imekosewa kabisa na inafosiwa haileti maana kamili na hapo mwisho wame Force hyo qns mark. Hyo title warekebishe imekosewa hata PhD nzima ina walakini
Jiwe alihojiwa hii kitu akaagiza Ben Saanane auaweNdugu zangu Niko Dodoma,ninayoyaskia ni aibu namwomba niliyemtaja atuwekee andiko lake hapa mpaka anapewa udakitari.
Hakuna PhD hapo.Niliona hii title imekosewa kabisa na inafosiwa haileti maana kamili na hapo mwisho wame Force hyo qns mark. Hyo title warekebishe imekosewa hata PhD nzima ina walakini
Dah hii title hata kwa master's level hawezi andika hivi, Yani hapo Kuna title mbili na hazijawekwa vizuri, kuanzia hyo small and medium enterprises, then wakarukia Kwa ma managers, aisee UDom ni chuo Cha kata no wonder wanasiasa wanakimbilia huko
UDOM imejishusha sana kwa kugeuka kuwa degree mill inayomilikiwa na Serikali. Mtu amejiunga part-time mwaka 2018, leo baada ya miaka minne (ambyo ni equivalent ya miaka miwili au chini yake kwa full time) tayari Ph.D inatunukiwa. Huwa wana publish wapi hizo Ph.D zao? Ninawanafunzi wawili wa masters ambao wamechelewa kupata degree kwa vile journal publications zao zimechelewa kwenye review process ingawa wana peer reviewed conference papers bado inatakiwa journal publication; mtu hapati degree bila kuwa na journal publication. Naona kwa UDOM Ph.D. zinagawiwa kama free sample tu. Ni afadhali wangekuwa wanatoa subject degrees kama Doctor of Political Science (D.Phil-Politcs), Doctor of Education (D.Ed), Doctor of Public Administration (D.P.A) au Doctor of Business Administration (D.B.A) kuliko kutoa Ph.D.; ni kama hawajui tofauti kati ya Ph.D na doctorate degrees nyingine.
Waziri wao wa Elimu mwenyewe ni shida... UDOM ni zaidi ya takataka.
Mzee katikisa kibuyu chenye majiniProf Mwandosya twitter yakeView attachment 2047963
Hii title hata wa master's udsm hawezi andika hivi, chakushangaza imekuwa kabisa published kwenye hiyo journal, walikosa editor kabisa?