Tabora wampokea kwa shangwe Dr. Slaa

Tabora wampokea kwa shangwe Dr. Slaa

Mbona unaongea ongea tu kama umejiunga kuongea mitandao yote?!!Kama wewe msafi na uwe wakwanza kupiga hao waliopo madarakani walioacha watoto lukuki dodoma hadi bungeni
Walaaniwe wazinifu wote
 
Tuacheni mbwebwe Tabora hakuna Chadema bana.

Kama Igunga mpaka mliuawakala wetundiyo mkapata kura nagalau za kuwawezesha kushinda itakuwa tabora mjini...Au Igunga siyo Tabora
 
Mkuu leo nakula nao sahani moja mpaka wakome kwani wamezoea kudanganya umma wa wanaJF.

Yaani mimi nilienda viwanja vya center (kigoma) ili kupima ukweli wa buku7 wanavyoripoti humu jamvini, yaani ni tofauti kabisa na hali halisi; ripoti za makamanda ni over 90% true
 
acha kamba hakuna alie simama brbrn msafara ulikuwa na pkpk 9 tu kama ulikuwa haujavaa miwani
 
Maccm akili yao ilisha hamia matakoni ndio maaaaaana kila jambo yanafikili aliwezekani........... sasa yatakiona 2015
 
chanzo ni wewe mwenyewe sio makene bana, slaa mtampaisha ila hana singo mpya , mmeishaharibupigeni mahesabu ya majimbo matatu tu baada ya uchaguzi mkuumwangalieni kinana ana vyoua kimya kimya, wewe njoo na nginjera hizi ili upate mshahara wako.........

Hvi Kapuya mbakaji yupo mjini?
 
Unavyopamba maneno utadhan ni kweli Tabora hawana muda mchafu wa kupoteza kufanya huo ujinga.
Na hisi wanapenda ujinga wa Kinana na Kapuya ambao ni wana ccm mafuska wazoefu na tena ni wafanyabiashara wapembe zandovu wa siku nyingi
 
Back
Top Bottom