Tabora wampokea kwa shangwe Dr. Slaa

Tabora wampokea kwa shangwe Dr. Slaa

Huko nako ametangaza sera yake mpya ya kuboresha biashara ya gongo nchini?

Wananchi wa Tabora wameiokeaje sera yake hiyo?
 
Magamba matumbo yameanza kuwauma ghafla!Mtaharisha sana na bado sana!
 
Majimbo yote ambayo chadema iliazimwa na ccm 2010 yatarudi 2015 kwa kishindo. Wauwaji hawatakiwi tena tz

we kaa kwenye keyboard na hizo b7 zinakudanganya sisi tunafanya mambo
 
Mimi Tabora naijua yote pale mjini, Kanyenye. Bachu, Ngambo, Uwaziri, pale sokoni Meya Hotel nikifika Tabora huwa nakula hapo.

Bado Sikonge, Ulambo, Nzega,
Igunga, kote huko nimefika.

Acha Magumashi! Hata mimi naweza kukutajia maeneo na hotel za Kampala-Uganda, Nairobi-Kenya na kwingineko lakini ukweli unabaki kuwa je nipo huko kwa wakati huu?
 
Majimbo yote ambayo chadema iliazimwa na ccm 2010 yatarudi 2015 kwa kishindo. Wauwaji hawatakiwi tena tz

we kaa kwenye keyboard na hizo b7 zinakudanganya sisi tunafanya mambo
nina kadi ya kupigia kura toka tarehe 31/01/2005 haijawahi kupigia kura ccm na nimeitunza kwa ajili ya 2015 hata msipoboresha daftari lazima mgoke!!
 
we acha ubwege Tabora is my home town naijua zaid unavyoijua wewe kwanza Tabora hakuna chadema hata chembe sasa we unaongea nini acha ushamba bwana mtu mzima unatia aibu.
mmeshasahau matokeo ya Igunga,isikuwa kuchakachua mambo yangekuwa mengine.
 
Poa kamanda mi ndo nasogea Malimbe SAUT kuwaletea updates.
 
Hii kweli nayo ni breaking news!
Ndio Ritza, hii ni breaknews kwetu sisi wananchi wa kawaida, wenye kuipenda nchi hii na kujitoa kwa hali na mali ili sote tufaidike na kula matunda ya mama Tanganyika.
 
Watu wa Mungu wanalilia ukombozi ,shwetan michozi ya mamba kuwaangamiza.
 
Wananchi wa Tabora tupo imara huyo Dr. Wa kuiba wake za watu na kuishi na vimada kamanda wa kuuza gongo tunamngoja Kwa hamu
 
Hii kweli nayo ni breaking news!

HII NI BREAK NEWs UNAONEKANA HUNA LA KUCHANGIA NA HUJALAZIMISHA KUCHANGIA, KWANI HII KWAKO C HABARI NJEMA,

HONGERA BABA YETU DR SLAA, WEWE NDO TEGEMEO PIA KIMBILIO PEKEE LILILOBAKI KWA WANYONGE, ENDELEA KUIKIMBIZA HII SERIKALI IOJAA MAWAZIRI PIA RAISI MZIGO
 
we kaa kwenye keyboard na hizo b7 zinakudanganya sisi tunafanya mambo
nina kadi ya kupigia kura toka tarehe 31/01/2005 haijawahi kupigia kura ccm na nimeitunza kwa ajili ya 2015 hata msipoboresha daftari lazima mgoke!!

ah ah, mpashe uyo binti infweero yuko bizeg anamtafuta wa kumgegeda mda mrefu
 
Mimi Tabora naijua yote pale mjini, Kanyenye. Bachu, Ngambo, Uwaziri, pale sokoni Meya Hotel nikifika Tabora huwa nakula hapo.

Bado Sikonge, Ulambo, Nzega,
Igunga, kote huko nimefika.

uwaziri au uhazili kaka!
 
Tayari tumekwisha mpokea na sasa ni mapumziko ya muda kabla ya kuanza safari ya kwenda kwenye eneo la mkutano wa kwanza katika kata ya Ishimulwa wilaya ya Uyui.

Nipo Tabora mjini namsubiri kwa hamu,Uyui c mbali na hapa mjini.Atakapofika hapa mjini updates za kutosha nitawapatia.
 
Back
Top Bottom