Tabora wampokea kwa shangwe Dr. Slaa

Endeleeni kuedit picha na baada ya zoezi kukamilika tupie jamvini, Babu Slaa ameshapitwa na wakati kwa sasa; Vp kwa wana Tabora watarajie ruksa ya Kilimo cha Bangi ili Tumbaku ikose soko kabisa kama bia zitakavyo kosa soko baada ya Gongo ruksa!!!!!!!!

Kifo chenu kibaya mkuu,mnarusha rusha miguu ndiyo roho inaacha mwili. Na ninyi mjadilini mwenyekiti wenu CCM Jakaya maana ana kibarua kigumu juu ya mawaziri 7 akiwemo na yeye mwenyewe maana na yeye ni mzigo kwa taifa la Tanzania na raia wake
 
chanzo ni wewe mwenyewe sio makene bana, slaa mtampaisha ila hana singo mpya , mmeishaharibupigeni mahesabu ya majimbo matatu tu baada ya uchaguzi mkuumwangalieni kinana ana vyoua kimya kimya, wewe njoo na nginjera hizi ili upate mshahara wako.........

Kinana anaua tembo wetu kimya kimya......... well copied!
 
Unapokuwa unaandika kumbuka ulipo! Mimi nipo Tabora na kilichosemwa na mtoa mada ni 100%. Je wewe upo wapi? Pole wana Lumumba team.

we acha ubwege Tabora is my home town naijua zaid unavyoijua wewe kwanza Tabora hakuna chadema hata chembe sasa we unaongea nini acha ushamba bwana mtu mzima unatia aibu.
 
walisema bungeni kuwa Rage alikula hela za mradi wa zahanati ml 140 na HK akala za madarasa ml kadhaa
 
we acha ubwege Tabora is my home town naijua zaid unavyoijua wewe kwanza Tabora hakuna chadema hata chembe sasa we unaongea nini acha ushamba bwana mtu mzima unatia aibu.

hata mwanza na ukerewe chadema haikuwepo ililetwa na tukaikubali na inaendelea kuenea Tanzania nzima ikiwemo Tabora
 
we acha ubwege Tabora is my home town naijua zaid unavyoijua wewe kwanza Tabora hakuna chadema hata chembe sasa we unaongea nini acha ushamba bwana mtu mzima unatia aibu.

Wewe unaifahamu Tabora au unaishi Tabora au upo Tabora muda huu? Au upo Tabora kupitia mtandao?
 
Back
Top Bottom