Kilasi Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 2,325
- 724
Hata sisi tuna matatizo kama aliyopata yeye kwa hili liccm maana linaonea kwamfano huohuo kama wamakaburuGWIJI hajui kuwa leo tunaomboleza?
Hata sisi tuna matatizo kama aliyopata yeye kwa hili liccm maana linaonea kwamfano huohuo kama wamakaburuGWIJI hajui kuwa leo tunaomboleza?
Tunashukuru Tumaini tusaidie picha kidogoWakati Mwanza wakijiandaa na mkutano mkubwa wa hadhara wa Mkiti wa Taifa, Freeman Mbowe leo, hapa Tabora kuna mapokezi makubwa sana msafara wa Gwiji wa Siasa Tanzania na Katibu Mkuu CHADEMA Dkt. Wilbroad Slaa unapita Tabora mjini kwenda Jimbo la Tabora Kaskazini.
Wananchi wa Tabora mjini wamejitokeza kwa wingi sana kumpokea Katibu Mkuu wa CHADEMA. Ni msururu wa Pikipiki na Magari ambayo idadi yake kwa harakaharaka ni vigumu kutoa hesabu yake.
Watu wamejipanga barabara zote huku wakimshangilia Dr Slaa kwa mfano ambao ni historia.
Source: Afisa Habari Mkuu CHADEMA Tumaini Makene
Tunashukuru Tumaini tusaidie picha kidogoWakati Mwanza wakijiandaa na mkutano mkubwa wa hadhara wa Mkiti wa Taifa, Freeman Mbowe leo, hapa Tabora kuna mapokezi makubwa sana msafara wa Gwiji wa Siasa Tanzania na Katibu Mkuu CHADEMA Dkt. Wilbroad Slaa unapita Tabora mjini kwenda Jimbo la Tabora Kaskazini. Wananchi wa Tabora mjini wamejitokeza kwa wingi sana kumpokea Katibu Mkuu wa CHADEMA. Ni msururu wa Pikipiki na Magari ambayo idadi yake kwa harakaharaka ni vigumu kutoa hesabu yake. Watu wamejipanga barabara zote huku wakimshangilia Dr Slaa kwa mfano ambao ni historia. Source: Afisa Habari Mkuu CHADEMA Tumaini Makene
Tunashukuru Tumaini tusaidie picha kidogo
Mtu wa watu Dr. Slaa
we acha ubwege Tabora is my home town naijua zaid unavyoijua wewe kwanza Tabora hakuna chadema hata chembe sasa we unaongea nini acha ushamba bwana mtu mzima unatia aibu.
huyu mzee ni mlevi wa gongo
nawasilisha.
Mimi Tabora naijua yote pale mjini, Kanyenye. Bachu, Ngambo, Uwaziri, pale sokoni Meya Hotel nikifika Tabora huwa nakula hapo.
Bado Sikonge, Ulambo, Nzega,
Igunga, kote huko nimefika.
Ila kuna wabakaji akina Kapuya?Tuacheni mbwebwe Tabora hakuna Chadema bana.
Hii kweli nayo ni breaking news!