Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,665
ChademaDaima
Uongo ni dhambiKama kigoma walimpiga mawe kwanini sio tabora?
Endeleeni kuedit picha na baada ya zoezi kukamilika tupie jamvini, Babu Slaa ameshapitwa na wakati kwa sasa; Vp kwa wana Tabora watarajie ruksa ya Kilimo cha Bangi ili Tumbaku ikose soko kabisa kama bia zitakavyo kosa soko baada ya Gongo ruksa!!!!!!!!
Mulipo kosa 2010 basi,ktk viti zaidi 200 mulipata viti 23,sasa udhaifu wenu watu wamewastukia,yan hamna wenye akili zaidi ya watu wa KILIMANJARO,ARUSHA na MANYARA,na kwa akili za ki chademachadema yan muchukuwe DOLA kwa kutegemea kanda yenu tu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! akili mali,na kusoma kunaweza kukawa sio kuelimika!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mboka manyema ni kwangu kuna jamaa zangu wengi tu.Acha Magumashi! Hata mimi naweza kukutajia maeneo na hotel za Kampala-Uganda, Nairobi-Kenya na kwingineko lakini ukweli unabaki kuwa je nipo huko kwa wakati huu?
Tuacheni mbwebwe Tabora hakuna Chadema bana.
Nipo Tabora mjini namsubiri kwa hamu,Uyui c mbali na hapa mjini.Atakapofika hapa mjini updates za kutosha nitawapatia.
Tuacheni mbwebwe Tabora hakuna Chadema bana.
Mwanza tupo na kamanda MBOWE tunazidi kuyaunguza magamba! CHEZEA CDM WEYE!!!
mnaongea hamna hata uhakika nipo tabora pia na nipo kwenye mapokezi
mnaongea hamna hata uhakika nipo tabora pia na nipo kwenye mapokezi
Hii misukule ni janga la taifa
Unavyopamba maneno utadhan ni kweli Tabora hawana muda mchafu wa kupoteza kufanya huo ujinga.
Mboka manyema ni kwangu kuna jamaa zangu wengi tu.
Kwa hiyo hao jamaa zako ndio wanaokudanganya kuhusu hayo madanganyo?