Unatoa hukumu kwa ushahidi gani?"Ni sawa na kumuhukumu kifo mtu alietaka kujiua ikashindikana". YOUNG KILLA
Sent using Jamii Forums mobile app
Swala siyo kumshtaki bali ni namna ya kumbaini mtu mwenye kusudio la kujiua na kumdhibiti maana kama yeye anataka kujiua atashindwaje kujiua wewe unayetaka kumpokonya kamba yake
Ushahidi utalenga mambo gani? Hapa ndugu Mshana Jr changamkia fursa unaweza kuwa wakili upande wa Jamhuri ama kusimama kama mpelelezi kabisa wa kutafuta viashiria kwa kutumia elimu yetu ileeee ya kusoma nyota! Asante!
Nasubiri mkuu wa polisi wa ule mkoa ambao mapenzi ndipo yalipozaliwa naye kesho aandae press conference atangaze kuwatia ndani watu wote wenye jinsia ya kiume ambao hawajaoa!

...Serious? 'Msako Wa WANAOTAKA kujinyonga? Eh?Kamanda wa Polisi mkoani humo, Barnabas Mwakalukwa amesema kufuatia kupokea taarifa ya watu wawili kujinyonga, mwaka huu wataanza msako kuwabaini wanaotaka kujinyonga
Amewakanya wanaotegemea kujinyonga kuwa tabia hizo zikome kwani wao wataanza kufanya doria na kuwakamata kabla hawajajinyonga na kisha kuwapeleka Mahakamani
Ameongeza, “Tunaomba viongozi wa Taasisi za Kiroho wafanye doria za Kiroho za kuzima matukio ya namna hiyo kwa kutoa nasaha, elimu na Wataalamu wa Afya waende kwe wagonjwa wenye matatizo ya akili ili wawape faraja kuwa bado wana nafasi ya kuwa na maisha bora.”
Amesema wakati mwingine tunapoteza Wataalamu ambao wangesaidia nchi yetu. Amesema “Tumepoteza Mwalimu, Mjasiriamali labda hawa baada ya miaka miwili wangekuwa Maprofesa au matajiri wa Afrika.”
View attachment 1310964
Huyo rpc akili zake kama za jiwe yani kilazaKamanda wa Polisi mkoani humo, Barnabas Mwakalukwa amesema kufuatia kupokea taarifa ya watu wawili kujinyonga, mwaka huu wataanza msako kuwabaini wanaotaka kujinyonga