Tabora: Mwanamke afikishwa Mahakamani kwa kuwaingiza vidole sehemu za siri watoto wa majirani zake

Wazazi wetu na jamii inayotuzunguka kutulea na kutulinda dhidi ya uovu km huo hadi kufikia hatua hii tuliyo nayo ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu.
 
Mkuu hizo ndio sura za madem Tabora. Yani huyo hata u miss anagombea. Kwanza Ni mweupe kwa std za Tabora. Usiombe ukutane na jike dume la huko.
yaan hii comment nimecheka had mbavu zinauma uwiiiiiih
 
Sehemu yenyewe kanyenye kumbe ndiyo maana kwasababu pashageuka kama uwanja wa fisi. Aisee
 
Uyo Irene ilibidi akabidhiwe kwa mwamba mmoja hapo jela ili nae apigwe vidole vyakutosha
 
majirani mmeshindwa kukubaliana mumpe hata sumu kimya kimya pimbi huyo ???

mimi mahakamani sipapendi maana huyo anaweza akachiwa huru k'zeeeeembe na muda mumepoteza wa kutosha...
 
Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Irene James mwenye miaka 36 amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu mkazi Tabora kwa tuhuma za kuwafanyia unyanyasaji wa kingono watoto saba (7) wa kike wenye umri kati ya miaka Minne (4) hadi Saba (7) ambao ni watoto wa majirani zake.

Akisoma maelezo ya awali ya makosa yanayomkabili mshtakiwa huyo, Wakili upande wa Jamhuri, Gladness Senya ameieleza mahakama kwamba mtuhumiwa anadaiwa kutenda makosa saba ya uzalilishaji wa kingono wa hali ya juu kwa kuwaingiza vidole watoto hao sehemu zao nyeti, kinyume cha Kifungu cha 138 C (1) (a) na Kifungu kidogo cha 2(b) cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu Sura ya 16 kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2019.

Majina ya watoto hao saba yamehifadhiwa.

Mbele ya Hakimu mkazi Mkoa wa Tabora, John Mdoe, Wakili huyo wa Jamhuri alidai kuwa mtuhumiwa aliwatendea makosa hayo watoto hao saba wa majirani zake kwa nyakati tofauti hususan nyakati za mchana tarehe zisizojulikana kati ya mwezi Januari hadi Julai mwaka huu huko katika Kata ya Kanyenye, Manispaa ya Tabora.

Mara baada ya kusikiliza maelezo hayo, Mahakama hiyo ya Hakimu mkazi Mkoa wa Tabora imemnyima dhamana mshtakiwa kwa madai ya usalama wake na kwamba amepelekwa mahabusu mpaka pale kesi hiyo itakapotajwa tena Agosti 13.

AZAM TV
Ye anapata raha gani sasa hapo, lkn sura km ya kiume au homon zake za kiume.
 
Jamani mbona mna mhukumu?
Huenda alikuwa anawatolea mdudu
Watoto wa kiswahili wengi hawavai pichu.

Kweli Tenda Wema..

Shukrani ya Punda....
 
Back
Top Bottom