Tabora iliyodidimia inahitaji kuinuliwa...

Mkuu umenena vema. Vijana wa tbr tuamke tuukomboe mkoa wetu. Tabora ilikuwa city center ya kanda ya magharibu lakin sasa imekwisha KIGOMA na SHY zinazidi kung'ara dawa ni kuweka ccm kando kama kigoma basi. Sasa na mimi natangaza nia SIKONGE. Nkumba jiandae kuachia jimbo.It is time 4change 2tabora peoples.

Historia yaweza kujirudia; Ukiwa fit enough kushawishi watu wa Sikonge basi its possible ukavuta kama mill 100 toka kwa Said Nkumba kama akiona upepo umebadirika. Ikiwa utaamua vinginevyo, its well and good kutumikia wana Sikonge.
 
Mombasa iko juu kwa sababu mombasa ni mji wa bandari yaani tuseme kama vile Dar imeendelea kila mtu anawekeza hapa (pamoja na kujaa waswahili), hata kama mji mkuu na mkubwa kuliko yote ungekua ni Dodoma, bado dar ingekua kwa kiasi fulani kwa sababu ya bandari kuu na hiyo inavutia mitaji na watu toka sehemu mbali mbali za nchi na nje ya nchi..vile vile Tanga, Mtwara, Ujiji serikali ingewekeza katika kupanua na kuongeza bandari zile pale, maendeleo yangekuja kwa sababu sisi wengine tusiokua waswahili tungewekeza huko au kuhamia kufanya kazi na biashara, ila waswahili kama kawaida yao wangeuza viwanja na kuhamia pembezoni mwa mji.

naona unajichanganya sana.

Kumbuka pia hata Tanga na Mtwara ni kama Ilivyo Dar na Mombasa yote ni miji yenye bandari tena sehemu kama Tanga na Mtwara kuna bandari mzuri zaidi kwa kina kirefu kuliko Dar ambayo ni ya kutengeneza.

Nakupa changamoto tafuta Uchumi wa mji wowote ule hapa duniani wenye bandari uone ukoje?
tanzama Dar, Mombasa, au tembelea hata Baira na darban uone maendeleo ya sehemu hizo na mchango wake kwa pato la nchi zao.

wachumi tunasema bandari ni lango kuu la kukuza uchumi wa nchi yoyote. Sasa jiulize kwanini Mtwara na Tanga zinadidimia wakti zina bandari?
 
Kaka kwa heshima zote, ukisoma reply yangu kwenye main topic nilitaja haya mambo uliyaoyasema kuwa ni moja wapo ya mambo yaliyochangia kudumaa kwa maendeleo ya Tabora haswa pale mjini. Haya ya miundo mbinu. niliwahi kufanya utafiti kule wa kilimo cha tumbaku..watu wanafanya sana kazi wale, sema mvua zinawaangusha muda mwingine, na kibaya zaidi ni sera za serikali za kilimo kuwa wauzaji wako wengi na hawana haki na kile wanachokizalisha, wanatakiwa wauze kwa watu fulani fulani tu waliohalalishwa na serikali, kama vile karafuu kule znz mnunuzi ni mmoja..sasa hapo unawanyima hawa haki yao ya kutafuta mununuzi kwa bei nzuri ya muda huo ya soko...changamoto ni nyingi, ila waswahili wanachangia kutudai maendeleo yao kwa sababu wao kila kitu kimepangwa na mola.

Angalia Tanga barabara kuu imepita pale kuelekea Kaskazini na Kenya, ile barabara ingepita Ruvuma ungeona Ruvuma iko wapi muda
huu,

Nafikiri haya ni matatizo ya waTz kuacha kusoma somo la uchumi kuanzia skuli za msingi. Ukiwa Uganda somo la uchumi unaanza kufundishwa toka ukiwa chumba cha pili na utaendelea nalo mpaka umalize undergraduate. Poleni wa Tz.

Lakin cha kukusaidia hapa unatakiwa ujue geografia ya sehemu za pwani ikiwemo pamoja na kujua shughuli za watu hao.
Kama ungekuwa na hata chembe ya elimu ya uchumi ungakubaliana kabisa na mimi kuwa kama bandari ya Tanga au Mtwara kama zingetumiwa vizuri basi uchumi wenu ungekuwa umepaa sana. Kumbuka kuuwa Bandari ni kuuwa uchumi wa nchi na wananchi wa sehemu ile inayozunguka bandari ile.

Jiulize je Mombasa wanalima zao gani? Mbona wameendelea na mji wa kwanza kwa kenya katika kuchangia katika pato la nchi yao. Why not mtwara na Lindi?
 
barubaru nafikiri unakosa point yangu ya uswahili na maendeleo..hivi jiulize KEnya kungekua na idadi kubwa ya waswahili kama iliyopo tanzania<kenya ingekua pale ilipo? waswahili hata uwape barabara, bandari, na mikopo kadha wa kadha rudi uwaache hapo rudi miaka 10 baadae utakuta hamna kitu..bandari bila ya tamaduni za ufanyaji kazi za watu wasiokua waswahili ni hamna kitu ndugu yangu, hapo naomba nieleweke, mimi siyo mwanasiasa, wala mchumi, ila nimesoma Develpment studies, kuna kitu kinaitwa culture of poverty, na hii wanasiasa na wachumi bado wanajibishana kama ni kweli au la, ila ipo.
 
Hahahaaa, Nenda wakakuroge.... Nafikiri hii ilikuwepo zamani kidogo ila kwa sasa hivi hali imebadilika sana.

Nikianzia kijijini anapotokea Baba na Mama yangu, sasa hivi walima tumbaku wana magari, wanaTV sets na Videos/DVD na huku wengine wakiweka hadi makarai ya Satellite.
Sikonge kuna jamaa wanaweka maghorofa yao sasa na hakuna anayewaloga. Nafikiri vile vizee vichawi vimeisha na watu sasa wanashinda kuweka maendeleo yao.

Zamani ilikuwa ni Mtu mweupe tu anaruhusiwa kuwa na maendeleo ila Mnyamwezi mwenzao na hasa kama wanakufahamu tangu ukiwa mdogo ulikuwa masikini kama wao na leo umekuwa Mtu na hela zako, basi watakuloga tu.
Kwa sasa kama unataka kujikita kwenye kuwekeza nyumbani basi wala usisite wewe nenda tu na hakuna atakayekuloga.

Barubaru una point nzuri sana. Kama kweli Uswahili ilikuwa tatizo, kwa nini Tabora ilikuwa juu miaka ya nyuma? Nafikiri Serikali kwa njia moja au nyingine imechangia hiyo hali. Kama Serikali ingelitaka kweli Tabira iwe juu, walikuwa na uwezo kabisa wa kufanya hivyo. Kumbukeni kuwa hata Ruvuma walikuwa wanapewa chakula na walikuwa njaa tu kama Tabora ila alivyopelekwa Gama huko kama Mkuu wa Mkoa (Morogoro nafikiri na wao walikuwa hivyo) Mikoa hiyo ghafla ikawa ndiyo inalisha Tanzania kwa chakula.

Elnino anasema miembe ya miaka 5 tunaweza kuilima sana. Soko kubwa sana lipo China na ingelitosha tu Wabunge wetu na Waziri wa kilimo, biashara, mambo ya nje, viwanda nk wakakaa na kuangalia mpango mzima wa kuyanunua na kuyapeleka China kama siyo kuwasaidia jinsi ya kufanya hivyo. Ila kwa Serikali yenyewe iliyokuwa ikijadiliwa juzi hadi kupelekea Mawaziri kama Nane kwa mpigo wajiuzuru, kwa kweli unaona nchi imeoza.

Rais badala awaondoe, yeye anacheka tu na kusafiri wakati ni watu aliowaweka mwenyewe. Tatizo ni kubwa sana kwa nchi nzima na sasa hali inavyokwenda, ni mikoa yote itaanza kurudi nyuma.
Yaga vakakuloge! Ila ni wazo zuri.
 
elim,,uharibifu wa vyanzo vya maji,,,,mabadiliko ya tabia nchi,,,,,miundombinu mibovu,,,,,,,hayo yanachangia kusivutie kuwekeza,,,,,,,pia jamii husika siya kubadilika kwa haraka,,,bado ni hadhina ya tamaduni kale,,,,,,,,vikosi vya majeshi vilivyoko tabora ingekuwa chachu ya mabadiliko,,,,,,kitabia na kiuchumi,,,,,cumpus za st aug,,,,,nawashauri wanatabola,,,,,,waache umwinyi;;;umanyema,,,,,wawekeze kwenye elimu kwa nguvu kama operation,,,,,ondoa uduwanzi tabola,,,,,out,,,,na waache siasa za majina kale,,,,urage soka,,,,,upuuzi mtupu,,,,,waruhusu siasa za majembeshoka,,,,watu wa kazi,,,hata wakiiba wanaleta nyumbani,,,,,sio dasalome,,,,sorry,,,dsm,,,eg,,,,kilimankiaro,,
 
mjenga nchi ni mwananchi,,,,,,nabii si lazima awe mzee,,,,by mkizungo,call me,,,me,
 
Kwani Darban na beira kuna waswahili?

Kwa mujibu wa tafsiri yako kuhusu uswahili hapo juu. Je unajua hao ndio wanaomiliki uchumi wa nchi yenu. Je unakubali uchumi wa nchi yenu unamilikiwa na waswahili kuanzia mafuta, viwanda na hata nyanda nyingine za maendeleo.

Hahahaaa, Nenda wakakuroge.... Nafikiri hii ilikuwepo zamani kidogo ila kwa sasa hivi hali imebadilika sana.

Nikianzia kijijini anapotokea Baba na Mama yangu, sasa hivi walima tumbaku wana magari, wanaTV sets na Videos/DVD na huku wengine wakiweka hadi makarai ya Satellite.
Sikonge kuna jamaa wanaweka maghorofa yao sasa na hakuna anayewaloga. Nafikiri vile vizee vichawi vimeisha na watu sasa wanashinda kuweka maendeleo yao.

Zamani ilikuwa ni Mtu mweupe tu anaruhusiwa kuwa na maendeleo ila Mnyamwezi mwenzao na hasa kama wanakufahamu tangu ukiwa mdogo ulikuwa masikini kama wao na leo umekuwa Mtu na hela zako, basi watakuloga tu.
Kwa sasa kama unataka kujikita kwenye kuwekeza nyumbani basi wala usisite wewe nenda tu na hakuna atakayekuloga.

Barubaru una point nzuri sana. Kama kweli Uswahili ilikuwa tatizo, kwa nini Tabora ilikuwa juu miaka ya nyuma? Nafikiri Serikali kwa njia moja au nyingine imechangia hiyo hali. Kama Serikali ingelitaka kweli Tabira iwe juu, walikuwa na uwezo kabisa wa kufanya hivyo. Kumbukeni kuwa hata Ruvuma walikuwa wanapewa chakula na walikuwa njaa tu kama Tabora ila alivyopelekwa Gama huko kama Mkuu wa Mkoa (Morogoro nafikiri na wao walikuwa hivyo) Mikoa hiyo ghafla ikawa ndiyo inalisha Tanzania kwa chakula.

Elnino anasema miembe ya miaka 5 tunaweza kuilima sana. Soko kubwa sana lipo China na ingelitosha tu Wabunge wetu na Waziri wa kilimo, biashara, mambo ya nje, viwanda nk wakakaa na kuangalia mpango mzima wa kuyanunua na kuyapeleka China kama siyo kuwasaidia jinsi ya kufanya hivyo. Ila kwa Serikali yenyewe iliyokuwa ikijadiliwa juzi hadi kupelekea Mawaziri kama Nane kwa mpigo wajiuzuru, kwa kweli unaona nchi imeoza.

Rais badala awaondoe, yeye anacheka tu na kusafiri wakati ni watu aliowaweka mwenyewe. Tatizo ni kubwa sana kwa nchi nzima na sasa hali inavyokwenda, ni mikoa yote itaanza kurudi nyuma.

Unajua siku zote waTz mnaangushana wenyewe kwa wenyewe. Hile mentality ya kusema dini fulani imesoma sana kuliko nyingine ni suala lililopitwa na wakti kama lile la kusema siwezi kujenga nyumba ya tofali na kupiga bati kwa kuogopa kurogwa.
nafikiri wakti umefika sasa kuona wote mpo sawa na mnastahili kupata kilicho sawa.

nakuunga mkono sana Sikonge

Mombasa iko juu kwa sababu mombasa ni mji wa bandari yaani tuseme kama vile Dar imeendelea kila mtu anawekeza hapa (pamoja na kujaa waswahili), hata kama mji mkuu na mkubwa kuliko yote ungekua ni Dodoma, bado dar ingekua kwa kiasi fulani kwa sababu ya bandari kuu na hiyo inavutia mitaji na watu toka sehemu mbali mbali za nchi na nje ya nchi..vile vile Tanga, Mtwara, Ujiji serikali ingewekeza katika kupanua na kuongeza bandari zile pale, maendeleo yangekuja kwa sababu sisi wengine tusiokua waswahili tungewekeza huko au kuhamia kufanya kazi na biashara, ila waswahili kama kawaida yao wangeuza viwanja na kuhamia pembezoni mwa mji.

Mimi ninavyojua wawekezaji wakubwa sana katika Tabora ni waswahili (kutokana na tafsiri yako) naomba iulichunguze hili kuanzia Igunga, Ziba, Nzega, tabora town, Sikonge mpaka kule kwetu Usoke.

Waswahili wamewekeza sana katika sekta za mafuta, viwanda vidogo vidigo, Majumba na hata mawasiliano ukilinganisha na hao unaowaita wewe sio waswahili.
Je na hili unabisha?
 
Sikonge said:
Barubaru una point nzuri sana. Kama kweli Uswahili ilikuwa tatizo, kwa nini Tabora ilikuwa juu miaka ya nyuma? Nafikiri Serikali kwa njia moja au nyingine imechangia hiyo hali. Kama Serikali ingelitaka kweli Tabira iwe juu, walikuwa na uwezo kabisa wa kufanya hivyo. Kumbukeni kuwa hata Ruvuma walikuwa wanapewa chakula na walikuwa njaa tu kama Tabora ila alivyopelekwa Gama huko kama Mkuu wa Mkoa (Morogoro nafikiri na wao walikuwa hivyo) Mikoa hiyo ghafla ikawa ndiyo inalisha Tanzania kwa chakul

Sikonge,

..Lawrence Gama alishapata kuwa mkuu wa mkoa wa Tabora. sasa ni kitu gani kilimfanya afanikiwe Ruvuma na siyo Tabora??

..mimi nadhani kinachoiangusha Tabora ni kukusekana kwa miundo mbinu ya uhakika haswa barabara na reli. najua reli ipo lakini huduma zake ni mbovu na haiko accessible na watu wengi wa Tabora.

..kitu kingine ni kutokuwepo kwa mfumo mzuri wa manunuzi wa mazao yanayozalishwa Tabora. kunatakiwa kuwepo na mfumo ambao ni efficient na unawahamasisha wananchi kuzalisha zaidi na zaidi.

..Kuna msemo kwamba "mzigo mzito mpe mnyamwezi". sasa haiyumkini jamii yenye watu wanaoheshimika kwa kuchapa kazi, tena zile za shuluba, wazingirwe na umasikini uliokithiri.

NB:

..mikoa ya kusini nayo imekithiri kwa umasikini baada ya kuharibika kwa miundo mbinu, na kuvurugwa kwa mfumo mzima wa kilimo cha Korosho.
 
It is very sad indeed seeing Tabora in that state despite having produced good politiacal leaders such as Dr Slaa, Pro. Ibrahim Lepumba to mention few.
 
Jokakuu,

Nafikiri hapo tunazungumzia kitu kilekile. Uchapa kazi wa Gama wengi tunaufahamu. Gama alivyokuja Tabora kwa kweli nilifurahi sana sana. Ila kumbuka kuwa Gama alikaa Tabora muda mfupi na sikumbuki alipohamishwa alienda wapi.

Kuwepo kwa Gama pale Tabora, kulipelekea kujengwa kiwanja cha mpira na timu ya Mirambo kama sikosei (mie sitoki Tabora mjini na wala si mwenyeji) ikaanza kucheza ligi kuu. Mji wa Tabora ulianza kuchamka sana sana. Mambo mengi yalianza kuonekana kipindi kile. Ila bahati mbaya sana Gama aliondoka hata uwanja haujaisha na watu wakala hela zote. Kibaya zaidi zile pesa ni Wananchi wote TULICHANGIA na leo unaitwa eti Uwanja wa CCM.

Kipindi Gama amekuja, kilikuwa ni kipindi anatawala Mwinyi (Mzee Ruksa) na hapo nchi ikaanza kushuka kwa speed kubwa sana kuelekea mwaka 1995 wakati Mwinyi anaondoka, Tabora ikawa hoi. Gama angelikuja kipindi cha miaka ya 80 mwanzoni, ninaamini mambo mengi yangelibadilika.

Usafiri wa kuingia na kutoka Tabora na wilaya zake, ni audui mkubwa sana wa Tabora. Kumbuka hadi sasa, hakuna barabara yoyote ya LAMI inayoingia Tabora mjini. Nzega na Igunga ni sehemu za kupita na uongo mbaya, zina tofauti sana na wilaya kama za Sikonge na Urambo.

Kifo cha reli ya kati imekuwa ndiyo JENEZA kwa mkoa wa Tabora. Tumbaku wananchi wanaibiwa sana ingawa kusema ukweli wanaosema Wanyamwezi wavivu, basi waje walime tumbaku mwaka mmoja tu tuwaone wachapa kazi ni nani.
Pamoja na mapungufu ya Wanyamwezi kama ka ushamba, kupenda wake wengi, kutamba nina hela na matumizi mengine mabaya ya hela bila kujua kuzitunza hela zetu, bado nina imani tukiwezeshwa tutaweza.

Sikonge,

..Lawrence Gama alishapata kuwa mkuu wa mkoa wa Tabora. sasa ni kitu gani kilimfanya afanikiwe Ruvuma na siyo Tabora??

..mimi nadhani kinachoiangusha Tabora ni kukusekana kwa miundo mbinu ya uhakika haswa barabara na reli. najua reli ipo lakini huduma zake ni mbovu na haiko accessible na watu wengi wa Tabora.

..kitu kingine ni kutokuwepo kwa mfumo mzuri wa manunuzi wa mazao yanayozalishwa Tabora. kunatakiwa kuwepo na mfumo ambao ni efficient na unawahamasisha wananchi kuzalisha zaidi na zaidi.

..Kuna msemo kwamba "mzigo mzito mpe mnyamwezi". sasa haiyumkini jamii yenye watu wanaoheshimika kwa kuchapa kazi, tena zile za shuluba, wazingirwe na umasikini uliokithiri.

NB:

..mikoa ya kusini nayo imekithiri kwa umasikini baada ya kuharibika kwa miundo mbinu, na kuvurugwa kwa mfumo mzima wa kilimo cha Korosho.
 
Mimi ninavyojua wawekezaji wakubwa sana katika Tabora ni waswahili (kutokana na tafsiri yako) naomba iulichunguze hili kuanzia Igunga, Ziba, Nzega, tabora town, Sikonge mpaka kule kwetu Usoke.

Waswahili wamewekeza sana katika sekta za mafuta, viwanda vidogo vidigo, Majumba na hata mawasiliano ukilinganisha na hao unaowaita wewe sio waswahili.
Je na hili unabisha?

Barubaru,

..unaposema Waswahili wamewekeza una maanisha wale wenye nywele za singa?

..je, wenye nywele kipilipili wana kasoro gani wasiweze kuwekeza kwenye biashara ya mafuta, majumba, etc etc?

..katika kutembea kwangu nchi hii sijaona mswahili mwenye nywele za singa ameshika jembe analima.

..nadhani wanaozungumziwa hapa kwamba wana hali ngumu ni wana Tabora, Wanyamwezi kindakindaki.

..kuna MIFUMO imekuwepo TANGANYIKA tangu enzi za UKOLONI ambayo inazuia wenye nywele za kipilipili kumiliki BIASHARA KUBWA.
 
Mbona Darban na baira kuna waswahili.

Kwa mujibu wa tafsiri yako kuhusu uswahili hapo juu. Je unajua hao ndio wanaomiliki uchumi wa nchi yenu. Je unakubali uchumi wa nchi yenu unamilikiwa na waswahili kuanzia mafuta, viwanda na hata nyanda nyingine za maendeleo.

unataka kuwafanya wahindi na waarabu kua ni wakwere na wazalamo sasa? maana yake hao ndiyo wamiliki wakuu wa uchumi hapa tz na wenyewe siyo waswahili.waarabu mi nijuavyo wana lugha yao na wahindi wana lugha yao ambapo inawatoa kwenye kundi la waswahili. naomba urudi tu nyima kwenye maana yangu ya waswahili.
 
Magambo genago Mhanya!! leka tugeme!

Hivi, wakereketwa wa Tabora Fighter, elnino, KIKUNGU Sikonge; hatuwezi kukutana na kupanga mpango mkakati wa kuanzisha kitu ambacho chaweza inua mkoa pamoja na kuongeza ajira kwa vijana wa Tabora?

Najua kuna ambao wako nje ya nchi, lkn baada ya kupitia tena huu Uzi naona we have something in common, nacho ni uchungu wa mkoa wetu! We can do something l believe!
 
Last edited by a moderator:
Hivi, wakereketwa wa Tabora Fighter, @ELNINO, KIKUNGU Sikonge; hatuwezi kukutana na kupanga mpango mkakati wa kuanzisha kitu ambacho chaweza inua mkoa pamoja na kuongeza ajira kwa vijana wa Tabora?

Najua kuna ambao wako nje ya nchi, lkn baada ya kupitia tena huu Uzi naona we have something in common, nacho ni uchungu wa mkoa wetu! We can do something l believe!

Guys,Sikonge,Itegematwi,Kaunga,Mapambazuko,ELNINO,Fighter,Hossam etc lets be real,Tbr ni kwetu na hatuwezi tukazungumzia hizi challenges kijujuu tunatakiwa tuanzie somewhere na hapo somewhere ni sisi wenyewe kuanza kwa pamoja kuungana na ku-have consesus kwamba tufanyeje.Nitawa-PM kila mmoja tupeane contacts(if you don't mind) then we will take from there.Hii thread imeni-touch sana na mimi naweza kuwa mmoja wa kulaumiwa kama ulivyo wewe mwana TBR mwenzangu.

Mbarikiwe sana
 
Back
Top Bottom