Tabora iliyodidimia inahitaji kuinuliwa...

Hello wana jf! Katika hali isiyokuwa ya kawaida kwa ugumu wa maisha na upotevu wa rasilimali tunazozipoteza kizembe sisi kama taifa na kupelekea maisha magumu kwa kila mtanzania kutokana na utawala wa mgamba(ccm) usiokuwa hata na huruma kwa watu wake'

" Nachuakua fursa hii kulaumu kwa vikali mji wangu kipenzi Tabora kutokana na kuendelea kuwa mtaji wa CCM, jamani wanatabora wenzangu kwanini tuendelee kutumika na CCM na huku ndo tukiwa nyuma kimaendeleo hapa nchini?

Plz hebu tubadilike jamani kwani sisi sio wajing wakurubuniwa na mtu kama Rage msomari, tuige mfano kutoka Arusha, mbeya nk.
 
Nyie watu wa Tabora hamjasoma wala hamna uchungu na maisha,mmekalia kuomba omba tu,na kwenda Dar ndiyo ujanja,hamuwezi kuongozwa na watu wezi kama kina Munde Mbunge wa viti maalum CCM ambaye aliiba fedha nyingi manispaa na mkurungenzi za ujenzi wa wa stendi ya mkoa.

Hamuwezi kuongozwa na msomali Rage ambaye naye ni mwizi na mnywa kahawa na mcheza bao wa Bachu,hamuwezi kuwa na Meya ambaye ni bwana Ghuramu mwarabu ambaye alilawitiwa na Supersonic kwa kitendo cha kutembea na mke wake.

Huyo Meya wenu aliharibika sana sehemu za nyuma hadi akapelekwa Nairobi kwa matibabu eti leo hi Meya wa mji wakati kaishia darasa la saba! Nyie watu wa Tabora mnajua mapenzi tu ya uchawi.
 
Kwetu sisi Dodoma huyo Msomali Rage Japokuwa alitumia Ticket ya SISIAM ambayo ni kichaka cha walanguzi na mafisadi wote, hata kama sisiemu wangemfanyia kampeni kwa ****** tusingemchagua, kwa hili narudia tena nyie wanyamwezi vichwani mwenu mmebeba mbweha siyp akili, kwa wenye akili timamu huyo RAGE hachaguliki kutokana na record zake zilivyokuwa mbovu kwa kila mahali alipoenda.

Sasa ushauri wa bure ninawapeni ifikapo mda wakuchangia maoni kuhusu katiba mpya changieni kiwepo kifungu ili kama Mbunge hana tija basi atolewe siyo lazima amalize mda wa miaka mitano ili hilo Somali mulitoe ni aibu linafaa kuwa bunge la Mogadishu na siyo Tabora yenye wanawake wa kinyamwezi ambao ni wazuri kama malaika.

Ivi Silaju Kaboyonga ambae ni mzawa mlimwacha wa nini mkachagua somali? Ili mjikomboe na magamba msikubali tena kuletewa majitu ya kuja kama hayo uliyoyataja ili kusudi kama mtakuwa mmechagua wazawa na hawakidhi malengo yenu ni rahisi kwenda milangoni kwao kuwatukana au hata kuwambia kupitia ndugu zao kama mke au watoto ambao lazima watakuwepo, sasa Li Rage kwanza nasikia mke wake yuko Mogadishu na lenyewe linakaa DSM, mtaliona wapi?

Sasa Tabora inadidinia badala ya Rage kuisemea Tabora ambayo ina wanawake wazuri wanaofaa hata kugombania u-miss world lenyewe linaisemea Simba tu, Tabora itasemewa na wanaTabora wenyewe, itanga`rishwa na wana Tabora wenyeweeeee, Mbwa nyie.
 
Mikoa inayoongoza kwa umaskini ndo mtaji wa CCM hasa kipindi cha kampeni na baada ya kampeni wanawatelekeza hasa TABORA, DODOMA, LINDI, MTWARA NA SINGIDA ambao kidogo wameonesha mabadili kwa kumchagua jembe la CHADEMA, Kamanda Tundu Lissu!
 
Dawa sio kuwa na kikomo bali kuwepo na sheria inayowapa wananchi nguvu ya kumuondoa mbunge madarakani pale wanapoona hafai. Mtu akae bungeni hata miaka 120 sawa tu lakini akae kwa ridhaa ya wananchi. Kama hafanyi kazi wananchi wawe na haki/mamlaka ya kumfukuza hata kama amekaa madarakani siku 10.
 
Hello wana jf! Katika hali isiyokuwa ya kawaida kwa ugumu wa maisha na upotevu wa rasilimali tunazozipoteza kizembe sisi kama taifa na kupelekea maisha magumu kwa kila mtanzania kutokana na utawala wa mgamba(ccm) usiokuwa hata na huruma kwa watu wake'

" Nachuakua fursa hii kulaumu kwa vikali mji wangu kipenzi Tabora kutokana na kuendelea kuwa mtaji wa CCM, jamani wanatabora wenzangu kwanini tuendelee kutumika na CCM na huku ndo tukiwa nyuma kimaendeleo hapa nchini?

Plz hebu tubadilike jamani kwani sisi sio wajing wakurubuniwa na mtu kama Rage msomari, tuige mfano kutoka Arusha, mbeya nk.

It may be hard for an egg to turn into a bird, It would be a jolly sight harder for it to learn to fly while remaining an egg!

We must be hatched or go bad.
WE MUST HAVE TO CHANGE TO RESCUE OUR REGION - TABORA.
 
Tatizo ni elimu tu. Na hayo ndo matunda ya nyerere nunayokula mpaka leo hii na kesho.
 
Kwetu sisi Dodoma huyo Msomali Rage Japokuwa alitumia Ticket ya SISIAM ambayo ni kichaka cha walanguzi na mafisadi wote, hata kama sisiemu wangemfanyia kampeni kwa ****** tusingemchagua, kwa hili narudia tena nyie wanyamwezi vichwani mwenu mmebeba mbweha siyp akili, kwa wenye akili timamu huyo RAGE hachaguliki kutokana na record zake zilivyokuwa mbovu kwa kila mahali alipoenda.

Sasa ushauri wa bure ninawapeni ifikapo mda wakuchangia maoni kuhusu katiba mpya changieni kiwepo kifungu ili kama Mbunge hana tija basi atolewe siyo lazima amalize mda wa miaka mitano ili hilo Somali mulitoe ni aibu linafaa kuwa bunge la Mogadishu na siyo Tabora yenye wanawake wa kinyamwezi ambao ni wazuri kama malaika.

Ivi Silaju Kaboyonga ambae ni mzawa mlimwacha wa nini mkachagua somali? Ili mjikomboe na magamba msikubali tena kuletewa majitu ya kuja kama hayo uliyoyataja ili kusudi kama mtakuwa mmechagua wazawa na hawakidhi malengo yenu ni rahisi kwenda milangoni kwao kuwatukana au hata kuwambia kupitia ndugu zao kama mke au watoto ambao lazima watakuwepo, sasa Li Rage kwanza nasikia mke wake yuko Mogadishu na lenyewe linakaa DSM, mtaliona wapi?

Sasa Tabora inadidinia badala ya Rage kuisemea Tabora ambayo ina wanawake wazuri wanaofaa hata kugombania u-miss world lenyewe linaisemea Simba tu, Tabora itasemewa na wanaTabora wenyewe, itanga`rishwa na wana Tabora wenyeweeeee, Mbwa nyie.

Taratibu mkuu, punguza gadhabu!
 
Tatizo la watu wa Tabora ni udini na elimu duni.:A S embarassed:
 
Hello wana jf! Katika hali isiyokuwa ya kawaida kwa ugumu wa maisha na upotevu wa rasilimali tunazozipoteza kizembe sisi kama taifa na kupelekea maisha magumu kwa kila mtanzania kutokana na utawala wa mgamba(ccm) usiokuwa hata na huruma kwa watu wake'

" Nachuakua fursa hii kulaumu kwa vikali mji wangu kipenzi Tabora kutokana na kuendelea kuwa mtaji wa CCM, jamani wanatabora wenzangu kwanini tuendelee kutumika na CCM na huku ndo tukiwa nyuma kimaendeleo hapa nchini?

Plz hebu tubadilike jamani kwani sisi sio wajing wakurubuniwa na mtu kama Rage msomari, tuige mfano kutoka Arusha, mbeya nk.

kwani maendeleo yaliyopo Arusha na mbeya yameletwa na chama gani?,hicho chama chako lini kimeshinda hapo na kuleta maendeleo?,tumbaneni tuche umwinyi tutalalamika mpaka lini?huko pemba kuna CUF tangu 1995,wanatuzidi? hata aje obama hamna kitu kama tutaendekeza unyamwezi
 
Rage Hoyeee! Jembe la Bachu Tabora hiloo...limetuletea Radio na Daladala, na sasa Lami kutoka wilaya zote za Tabora kuja mjini
 
Wee kimtu unapakatwa wewe....

Mie kila siku nipo hapa Online na ninaishi poa tu na U-Tabora wangu. Nipo Sikonge na maisha yanakwenda bila shida kabisa.

Lini nimekuja kwako kuomba? Ukiniona mie utajua tu si sura ya kuomba hii. Acha kujumlisha watu wote wa Tabora kwenye kapu moja. Eti hatujasoma, ebo. Ngoja niseme Kiswidi: Inga pengar, ingen hjarna, savoy huvud. Msula eve.

Kama unajiona upo juu sana, njoo Sikonge tulinganishe hela zako na zangu na mwisho tulinganishe kusoma kwako na kwangu, Bumbo Klaat at the best.

Nyie watu wa Tabora hamjasoma wala hamna uchungu na maisha,mmekalia kuomba omba tu,na kwenda Dar ndiyo ujanja,hamuwezi kuongozwa na watu wezi kama kina Munde Mbunge wa viti maalum CCM ambaye aliiba fedha nyingi manispaa na mkurungenzi za ujenzi wa wa stendi ya mkoa.

Hamuwezi kuongozwa na msomali Rage ambaye naye ni mwizi na mnywa kahawa na mcheza bao wa Bachu,hamuwezi kuwa na Meya ambaye ni bwana Ghuramu mwarabu ambaye alilawitiwa na Supersonic kwa kitendo cha kutembea na mke wake.

Huyo Meya wenu aliharibika sana sehemu za nyuma hadi akapelekwa Nairobi kwa matibabu eti leo hi Meya wa mji wakati kaishia darasa la saba! Nyie watu wa Tabora mnajua mapenzi tu ya uchawi.
 
Mgogo, naona umevimbiwa tena ugali wa Pumba......

Chikulya chi? Kigogo kinajibu ".......Wa mhumba."

Babu yako huyu hapa Matonya, teteteee hadi kuomba imekuwa ni KU-MATONYA.

"Nsaidie baba........"

matonya_ombaomba_.jpg

Pichani ni GYPSY maarufu wa Tanzania, Mzee Matonya.

Kwetu sisi Dodoma huyo Msomali Rage Japokuwa alitumia Ticket ya SISIAM ambayo ni kichaka cha walanguzi na mafisadi wote, hata kama sisiemu wangemfanyia kampeni kwa ****** tusingemchagua, kwa hili narudia tena nyie wanyamwezi vichwani mwenu mmebeba mbweha siyp akili, kwa wenye akili timamu huyo RAGE hachaguliki kutokana na record zake zilivyokuwa mbovu kwa kila mahali alipoenda.

Sasa ushauri wa bure ninawapeni ifikapo mda wakuchangia maoni kuhusu katiba mpya changieni kiwepo kifungu ili kama Mbunge hana tija basi atolewe siyo lazima amalize mda wa miaka mitano ili hilo Somali mulitoe ni aibu linafaa kuwa bunge la Mogadishu na siyo Tabora yenye wanawake wa kinyamwezi ambao ni wazuri kama malaika.

Ivi Silaju Kaboyonga ambae ni mzawa mlimwacha wa nini mkachagua somali? Ili mjikomboe na magamba msikubali tena kuletewa majitu ya kuja kama hayo uliyoyataja ili kusudi kama mtakuwa mmechagua wazawa na hawakidhi malengo yenu ni rahisi kwenda milangoni kwao kuwatukana au hata kuwambia kupitia ndugu zao kama mke au watoto ambao lazima watakuwepo, sasa Li Rage kwanza nasikia mke wake yuko Mogadishu na lenyewe linakaa DSM, mtaliona wapi?

Sasa Tabora inadidinia badala ya Rage kuisemea Tabora ambayo ina wanawake wazuri wanaofaa hata kugombania u-miss world lenyewe linaisemea Simba tu, Tabora itasemewa na wanaTabora wenyewe, itanga`rishwa na wana Tabora wenyeweeeee, Mbwa nyie.
 
Mgogo, naona umevimbiwa tena ugali wa Pumba......

Chikulya chi? Kigogo kinajibu ".......Wa mhumba."

Babu yako huyu hapa Matonya, teteteee hadi kuomba imekuwa ni KU-MATONYA.

"Nsaidie baba........"

huyo wa Mpwapwa hastahili kuchangia kitu hapa, hilo jimbo halikuwahi kusimamisha mgombea wa upinzani tangu mfumo wa vyama vingi uanze, kila chaguzi tangu 1995-2010 mgombea wa ccm huwa anapita bila kupingwa
 
Nyie watu wa Tabora hamjasoma wala hamna uchungu na maisha,mmekalia kuomba omba tu,na kwenda Dar ndiyo ujanja,hamuwezi kuongozwa na watu wezi kama kina Munde Mbunge wa viti maalum CCM ambaye aliiba fedha nyingi manispaa na mkurungenzi za ujenzi wa wa stendi ya mkoa. Hamuwezi kuongozwa na msomali Rage ambaye naye ni mwizi na mnywa kahawa na mcheza bao wa Bachu,hamuwezi kuwa na Meya ambaye ni bwana Ghuramu mwarabu ambaye alilawitiwa na Supersonic kwa kitendo cha kutembea na mke wake. Huyo Meya wenu aliharibika sana sehemu za nyuma hadi akapelekwa Nairobi kwa matibabu eti leo hi Meya wa mji wakati kaishia darasa la saba! Nyie watu wa Tabora mnajua mapenzi tu ya uchawi.
Maafii msura eve!! Unachangia kwa kutumia masaburi nini? we unajiita umesoma pu..m..bafu
 
Tabora yangu umekosa nini kusalitiwa na watu wako?
Tabora wangu wewe u tajiri wa asali, maziwa, tumbaku, mbao za mininga, misitu ya madawa, maji baridi.
Tabora wangu umekosa nini hadi kuwa mkoa wa tatu kwa umaskini Tanzania?
Tabora wangu mbona una vivutio vingi vya utalii kama jiwe la kuulia wachawi Itetemia lililo na mbonyeo wa ****** ya machifu wa kale na ngoma juu ya jiwe? Mbona Tabora una vipande vya nywele za Dr Livingstone je havifai kukutangaza kimataifa?
Tabora wangu una St Mary's mbili na special schoola mbilu zilizopitisha viongozi wengi Tanzania sasa mbona unafanana na shule ya msingi Mwitongo iliyoachwa solemba baada ya Nyerere kufa?
Tabora wangu mbona una wazee wengi wanywa gahawa na waliobobea kwenye majungu kutwa kucha na uchawi hivi hawa wameshindikana kuokolewa!?
Tabora wangu mbona una madini mengi mengi hivi ni kwa nini wewe tu ndio huunganishwi kwa lami na mkoa wowote, umekosa nini?
Nakuja Tabora wangu, nitafunga ndoa na wewe, ndoa ya mke mmoja wa maisha, sintakuacha kamwe, nitakuhudumia na kukutoa shombo la ujinga na umaskini uwe mkoa wa mfano. Mwambie Rage siku zake zinahesabika.

Pangu Pakavu.
 
Nenda mkuu kila la heri, ukombozi wa kweli hauji bila watu wengine kujitoa mhanga
 
Huyu Rage msomali ali shabab ni lazima tumchomoe, jama wana kiloleni, ng'ambo, isevya, mwinyi, ipuli, mihogoni, cheo, itaga, tumbi, milambo nk plz tuamkeni jamni toka usingizni ili 2015 tufanye kweli kwa kuileta CDM hapo.
 
Back
Top Bottom