Tabora iliyodidimia inahitaji kuinuliwa...

Tabora iliyodidimia inahitaji kuinuliwa...

Habari, nimefatilia hii kitu kwa karibu saana na sasa something constructive just pop in.
Tupo pamoja, naomba tufahamishane ili tupate njia bora ya kuuletea maendeleo mkoa wetu.
Sikonge,fighter,barubaru,kaunga na wengine mnao utakia mema mkoa wetu wa Tabora mbarikiwe saana.

Tunaweza aisee!! nilijichimbia mahali amback!! Mami, Sikonge, Kaunga na wengine aisee aiwezekani! tujaribu
 
Hivi, wakereketwa wa Tabora Fighter, @ELNINO, KIKUNGU Sikonge; hatuwezi kukutana na kupanga mpango mkakati wa kuanzisha kitu ambacho chaweza inua mkoa pamoja na kuongeza ajira kwa vijana wa Tabora?

Najua kuna ambao wako nje ya nchi, lkn baada ya kupitia tena huu Uzi naona we have something in common, nacho ni uchungu wa mkoa wetu! We can do something l believe!

Kweli sis, hata tupo au atupo still we can do something! nitakua Dar kuanzia 1st may jamani tukutune tu!
 
Tunaweza, ni uthubutu tu. Can you lead this?

Yes why not sis! kama tuko serious hakuna matata! vizuri tuarrange kukutuna hata kama online comference, tuongee jamani it pain!
 
Kweli sis, hata tupo au atupo still we can do something! nitakua Dar kuanzia 1st may jamani tukutune tu!

Fighter upo Dar mpaka lini? NiPM no yako; nikutafute, nami nitakuwepo Dar this weekend!
 
Last edited by a moderator:
Huu ni mji wa Historia, ukibadilika vielelezo vya ukumbusho vitatoweka. Kosa tunalolifanya ni KUNG'ANG'ANIA HISTORIA katika Ulimwengu tulionao wa sayansi na Teknolijia.
 
jamani sijui wenzangu kama mmepata kung'amua kitu hiki mkoa wa Tabora ni kama vile umekufa kwa jinsi nionavyo mimi licha ya wakazi wake kuwa na chakula pengine cha kutosha lakini miaka nenda rudi nikipita hapo sioni mabadiliko utafikiri vile hakuna wazawa waliokwenda shule mpaka leo mbavu za mbwa ziko katika mji tatizo liko wapi?
-kwa wazawa wenyewe?
-serikali?
kwa kuwa kama ni viongozi waliosoma na kuwepo katika sytem hii ya serikali wapo tangu kitambo mbona kunadorola yaani huwa napata maswali mengi kichwani?
hebu nisaidiane hasa ninyi wazawa wa tabora na wenye kuufahamu vizuri unastahili kuwa kama ilivyo? ukizingatia kuwa ni mkoa wa kihistoria katika harakati za uhuru wa nchi hii.

Wanatabora wanasoma thread hizi, jamani tabora tubadilike, sisi ndio inakuwa kama kansa ya nchi hii
 
Fighter upo Dar mpaka lini? NiPM no yako; nikutafute, nami nitakuwepo Dar this weekend!

WaTZ changamkieni fursa hiyo hususan wale wajasiriamali wa kati na chini katika kujiinua.

Tanzania Investment Centre is pleased to inform you that the UAE Trade Mission that was scheduled to take place on the 8th May 2012 has now been re-scheduled to 16th May 2012 at Serena Hotel.
Please contact Ms. latifah Kigodah on latykigoda@tic.co.tz and Brendan Maro on breymaro@tic.co.tz

Wakuu,

Pamoja na hatua iliyofikiwa pale Igunga wakati wa uchaguzi mdogo wa mbunge ambao tumeshuhudia mgombea wa ccm Dr. Kafumu akiangushwa mahakamani, bado wapinzani hawajaweza kupenya kisawasawa ngome ya magamba na kushusha bendera yao katika majimbo ya Mkoa wa Tabora. Hii ni tofauti na mikoa mingine ambayo imepokea kwa kishindo wimbi la mabadiliko.

Je, kuna sababu yoyote inayoweza kuhusishwa na hali hii? Kwa nini upinzani umechelewa (siyo umeshindwa) kupenya na kuingia Tabora wakati ndiyo Mkoa unaozalisha wanasiasa maarufu hapa nchini? Au tuseme Tabora ndiyo ilikuwa ngome imara pekee ya magamaba kwa nchi nzima!
 
Tabora mwamuko wa kisiasa ni mdogo hususan chama cha chadema, uklnganisha na cha CUF ambacho mwanzo klkuwa na wanachama weng.
 
Hivi kaka yenu Mpita Njia ameuona huu mjadala?
 
Sitakikusikia tabora kabisa kwani panaboa. Kama si mushilikina na mzinzi si pahala pa kukaa. Kama unabisha nenda kakae halafu usishiriki kwa hayo yote pia uwe na maendeleo kidogo. Utapigwa juju la kutoka sikonge hutakaa usahau.
 
Natofautiana na wewe kwa kusema wenyeji hawajali elimu - HAWANA UWEZO wa kusomesha. Kwa suala la wageni kujenga hilo si la Tabora peke yake (wazaramo wangapi wenye nyumba DSM, au Waluguru wangapi Morogoro mjini n.k n.k n.k??)

Jamaa wa Kigoma hushangaa wakifika Tabora mjini, - what does this say on Kigoma??

CCM imelemaza watu kifikra, tukiwatoa mabadiliko yakuja.

Bro nimesoma Tabora Boys pale 2005/07 at the Heart of Tabora, ukiangalia waliokua wanakuja kama intake ya either form one au Five 98.5% ni wageni hasa toka Kanda ya ziwa na huku dsm, moro, kusini na kaskazini. Wazawa shule zao ni zile za kawaida za day pale mjini na wengi utawakuta wakisaka CREDIT kwa kureseat ili wapate japo nafasi za uaskari.

Kikubwa mwamko wa elimu alipokaa mwarabu hua mdogo sana. Kwanza ukipata div2 unajulikana pale town pote na mara nyingi tulikua tunaheshmika sana wanafunzi wa Tabora boys kwa kua walikua wakituona kama malaika wa mji ule. Kuna zaidi ya elimu kuwapatia wananchi wa Tabora coz resources walizonazo ni zaidi ya wanavyodhaniz.
 
Kumbuka kuwa bottom line ya kusoma kwako ni pesa. Je unajuwa uchumi mkubwa sio tu wa tabora bali hata Tanganyika nzima umeshikwa na watu gani?

tatizo la tabora ni wenyeji kujitenga na maendeleo kuwaachia wageni. Utaona ukiondoa matajiri waarabu wengine labda wenye vijisenti ni wachaga akina WADADU na mwenyeji ni Contructor Mabula.

Kumbuka kila ngoma ina wenyewe, Je tabora wenyewe wapo wapi?

Back
Top Bottom