A
Anonymous
Guest
Manispaa ya Mkoa wa Tabora(sijui mikoa mingine), imeanzisha ushuru wa mabango ya biashara ambayo yapo kwenye fremu ya mfanya biashara. Yaani mmiliki wa duka la kuuza unafikia kubandika bango kwenye fremu yako kuelezea biashara unayouza, manispaa wanadai ushuru.
Hii ni tofauti na utaratibu uliokuwepo mwanzo ambao ulitoza ushuru kwa mabango, vibao vilivyopo kwenye eneo la Serikali kama vile reserve ya barabara.
Hii ni tofauti na utaratibu uliokuwepo mwanzo ambao ulitoza ushuru kwa mabango, vibao vilivyopo kwenye eneo la Serikali kama vile reserve ya barabara.