Kutibu binadamu sio sawa na kufungua genge la nyanya, hata kama anasaidia watu lazima afuate utaratibu na sheria za nchi.kama anasaidia watu waache kumuingilia. Kwa jicho la kawaida tu, nadhani kuna kutunishiana misuli na Dr.Kigwangala....
Inaonekana Dr.Kigwangala ameamua kutumia madaraka alokua nayo
Baada yakufungiwa amekaidi agizo hilo na anaendelea na utabibu km kawaida,na hata leo alikuwa na kipindi kilichorushwa na channel 10..je mtu huyu yupo juu ya sheria? Yale maagizo hayamuhusu?mwenye ufahamu anifahamishe maana nimeshangazwa na hili tukio.
Nilimsikia juzi na mimi kwa kiherehere changu nikakimbilia kuandika uzi ili niu-post! Baada ya kuwa nimeshamaliza kuandika tayari kwa kugonga kitufe cha SEND; nikajiuliza; hivi hii tabia ya ukiherehere nimeanza lini? Chambilecho nikagundua hakuna popote aliposema Dr. Mwaka, daktari bingwa wa magonjwa ya akina mama bali kajisemea yeye anaitwa Juma Mwaka ila watu wengine "kutokana na viherehere vyao" hupendelea kumuita Dr. Mwaka!!! Isitoshe nikaona kumbe wala hatangazi Foreplan Clinic na shughuli zake za kitabibu ambazo ndizo zimefungiwa bali anaitangaza Foreplan Company ambayo inafanya shughuli nyingi ikiwamo usambazaji wa vifaa vya tiba!!!!Amebadiri gea angani kutoka kwenye Foreplan Clinic kwenda Foreplan Company Limited! Hii haihusiani kabisa na kuwachungulia mama na dada zetu nyeti zao(ila nyuma ya pazia atafanya tu maana mgonjwa achagui dawa. KAmpuni yake ina Matawi Marekani, South Africa na Namibia(naomba kusahihishwa)
Kwanini wamsumbue lakini wakati makampuni mengi yanabadiri majina, unaikumbuka Sheraton hotel, Major Drill wa hapa Mwanza mbona wanaitwa Capital drill siku hizi tena ndani ya ofisi zilezile...
Amebadiri gea angani kutoka kwenye Foreplan Clinic kwenda Foreplan Company Limited! Hii haihusiani kabisa na kuwachungulia mama na dada zetu nyeti zao(ila nyuma ya pazia atafanya tu maana mgonjwa achagui dawa. KAmpuni yake ina Matawi Marekani, South Africa na Namibia(naomba kusahihishwa)
Kwanini wamsumbue lakini wakati makampuni mengi yanabadiri majina, unaikumbuka Sheraton hotel, Major Drill wa hapa Mwanza mbona wanaitwa Capital drill siku hizi tena ndani ya ofisi zilezile...
Wanapona vizuri kuliko wanaotibiwa MNHSwali la kujiuliza je hao wagonjwa wanaotibiwa huko Foreplan wanapona au hawaponi?
ata mie nimeacha kieleeleNilimsikia juzi na mimi kwa kiherehere changu nikakimbilia kuandika uzi ili niu-post! Baada ya kuwa nimeshamaliza kuandika tayari kwa kugonga kitufe cha SEND; nikajiuliza; hivi hii tabia ya ukiherehere nimeanza lini? Chambilecho nikagundua hakuna popote aliposema Dr. Mwaka, daktari bingwa wa magonjwa ya akina mama bali kajisemea yeye anaitwa Juma Mwaka ila watu wengine "kutokana na viherehere vyao" hupendelea kumuita Dr. Mwaka!!! Isitoshe nikaona kumbe wala hatangazi Foreplan Clinic na shughuli zake za kitabibu ambazo ndizo zimefungiwa bali anaitangaza Foreplan Company ambayo inafanya shughuli nyingi ikiwamo usambazaji wa vifaa vya tiba!!!!
Nikapenda tu pale alipoutendea haki msemo wa "Aliyelala usimwamshe....!" Mwishowe nika-conclude kuacha tabia ya kuwa kiherehere na hivyo thread yenyewe nikaifutilia mbali!
Si mpaka apate kibali, amefungiwa yeye hivyo Mwaka haruhusiwiw katika fani ??? hiyo!Nimeona tangazo la Dk. Mwaka jioni hii Channel Ten, amebadili usajili wa huduma zake kutoka FOREPLAN HERBALIST CLINIC na sasa ni Kampuni inayoenda kwa jina la FOREPLAN TANZANIA LTD
Tofauti ni ndogo tu, kwamba sahizi atahudumia kama "muuzaji wa Dawa" zake badala ya kutoa huduma kama "Tabibu" wa herbalist Clinic
Sijui hii imekaaje, je watamfungia na kwa mbinu hii mpya aliyokuja nayo au?
Binafsi napenda kutulia na kusubiri matokeo
Naomba nikiri kuwa tangu nimekufahamu jingalao kwa maandishi yako huku JF,leo ndio umeandika kitu cha maana.Serikali ipige marufuku matangazo yote yanayohusu tiba mbadala hadi hapo itakapotangazwa baadae.
Amebadiri gea angani kutoka kwenye Foreplan Clinic kwenda Foreplan Company Limited! Hii haihusiani kabisa na kuwachungulia mama na dada zetu nyeti zao(ila nyuma ya pazia atafanya tu maana mgonjwa achagui dawa. KAmpuni yake ina Matawi Marekani, South Africa na Namibia(naomba kusahihishwa)
Kwanini wamsumbue lakini wakati makampuni mengi yanabadiri majina, unaikumbuka Sheraton hotel, Major Drill wa hapa Mwanza mbona wanaitwa Capital drill siku hizi tena ndani ya ofisi zilezile...
TABIBU NA DOKTA HEBU WEKA UTOFAUTI KWA MAELEZO