Kumchinja Kobe kunahitaji timing nyie tulie tu mtamsikia, hakuna aliyewahi kushindana na serikali akashinda.Baada yakufungiwa amekaidi agizo hilo na anaendelea na utabibu km kawaida,na hata leo alikuwa na kipindi kilichorushwa na channel 10..je mtu huyu yupo juu ya sheria? Yale maagizo hayamuhusu?mwenye ufahamu anifahamishe maana nimeshangazwa na hili tukio.
Nasikia anawadanganya wagonjwa anatibu kansa hata kama huna kizazi anakupandikizia.Swali la kujiuliza je hao wagonjwa wanaotibiwa huko Foreplan wanapona au hawaponi?
Amebadiri gea angani kutoka kwenye Foreplan Clinic kwenda Foreplan Company Limited! Hii haihusiani kabisa na kuwachungulia mama na dada zetu nyeti zao(ila nyuma ya pazia atafanya tu maana mgonjwa achagui dawa. KAmpuni yake ina Matawi Marekani, South Africa na Namibia(naomba kusahihishwa)
Kwanini wamsumbue lakini wakati makampuni mengi yanabadiri majina, unaikumbuka Sheraton hotel, Major Drill wa hapa Mwanza mbona wanaitwa Capital drill siku hizi tena ndani ya ofisi zilezile...
Huyu jamaa namfananisha na wachawi wa usikuPambana na maisha yako kijana, acha kufuatilia maisha ya watu maana hufaidiki na chochote.
Kwa lifestyle yenu, vijana wengi ndo nguvu za kiume tatizo kubwa, fanya researchMwacheni azile hela za wajinga, wazee wa kutafuta nguvu za kiume huku wana miaka 65 na ushee imeandikwa "wajinga ndiyo waliwao" jamaa kacheza na fursa kwa muda muafaka.
TABIBU NA DOKTA HEBU WEKA UTOFAUTI KWA MAELEZOKwanini kwenye Heading umeandika DR Mwaka..
Huyo ni tabibu Mwaka...Hana hadhi ya kuitwa Dr...