Tabibu Mwaka akaidi amri ya serikali

Tabibu Mwaka akaidi amri ya serikali

Walimfuata kwa sababu alijinadi anaweza kutatua tatizo, mwisho tatizo linamshinda, mtu anatoa zaidi ya million 1 kugharamia matibabu. Aponi sasa si utapeli nini?
Acha ushamba dada yao,hata huko hospitals za kizungu si kwamba matatizo yote yanatibika pamoja na gharama kubwa unazolipia.
Lakini pia ukumbuke kuna individual variations in response to therapy based on one's genome, kwa ufupi mambo ni mengi kuliko mnavyorahisisha.
 
Acha ushamba dada yao,hata huko hospitals za kizungu si kwamba matatizo yote yanatibika pamoja na gharama kubwa unazolipia.
Lakini pia ukumbuke kuna individual variations in response to therapy based on one's genome, kwa ufupi mambo ni mengi kuliko mnavyorahisisha.
Vipi kwani kakutuma umtetee huyu tapeli humu, anajisifia kama Mungu mtu. Au ndio wewe mwenyewe
 
Jamani sio wivu au unafiki , ukweli inaboa sana kumwona Dr Mwaka sasa hivi channel ten. Kwa maneno yake yamenichefua sana.
Anasema" nimeokoa ndoa za watu weng, mama akiniona analia anasema bila wewe Dr Mwaka nisingepata huyu mtoto, nilikuwa natibu mpaka kutoka duniani kote."

Kaniuzi sana kwa kauli inamaana huyu Mwaka ni nani? Mwenye uwezo zaidi ya Mungu? Nimebadilisha Chanel anaboa sana, mm mwenyew nilitumia kiasi kikubwa cha pesa lkn sikupona. Huyu tapeli mkubwa.
Acha roho mbaya na nyeusi kama mkaa au kaniki,
Sasa kwa nini hukwenda shitaki kwa kutapeliwa zaidi ya kuleta umbea na unafiki hapa jf.
Watu weusi bhana ,kila umuonaye Ana uchawi hata kama hapai na ungo.
Ndio maana hatuendelei.
 
Haya ndiyo matokeo ya mamlaka zetu zinapokuwa hazifuati taratibu za kisheria. Baraza la tiba asilia lilipaswa kumfungia likiwa na askari polisi ambao wakati huo huo wanamu arrest, wanamweka lock up na kumfungulia mashitaka ya jinai ya kufanya utapeli na roho za watanzania. Kesho yake polisi wangemfikisha mahakamani, dhamana anapewa kama anastahili na kesi ingeendelea baada ya upelelezi kukamilika na DPP kuafiki. Baraza la tiba asili ni mmojawapo tu wa mashaidi kwa upande wa mashitaka. DPP kwa niaba ya serikali ndiye mshitaki. Mwamuzi ni mahakama ndiye anayeweza kumfungia huyo Dr Mwaka na kumpa adhabu nyingine yo yote kutegemea na makosa atakayopatikana nayo ikiwamo kunyongwa hadi kufa kama itathibitika alipoteza roho za watanzania.

Sasa baraza la tiba asili au waziri wake Mh. Kigwangala hawana madaraka haya ya kuamuru tu eti wamemfungia. Ndiyo maana ataendelea kuwachezea. Wanasita nini kumchukulia hatua za kisheria? Jamii itawaelewaje, wanavuta mkwanja? This man was supposed to be behind bars if they are serious with the allegations they have charged him.
Kwani kafanya utapeli gani hasa...!!?? hebu tuanzie hapo,
Unaongelea watu tiba asilia pale muhimbili na ukiritimba wao,mm naona huyo mwaka anafanya kazi nzuri kuliko hao wa muhimbili .
 
Vipi kwani kakutuma umtetee huyu tapeli humu, anajisifia kama Mungu mtu. Au ndio wewe mwenyewe
Hebu jitazame kwenye kioo kwanza,halafu ujitathimini upya kwa kile ulichokiandika,halafu uamue kama una hadhi ya kuendelea kujibizana nami.
 
Pambana na maisha yako kijana, acha kufuatilia maisha ya watu maana hufaidiki na chochote.
wewe pia lazima ni tapeli..ndio lugha zenu hizo. awamu hii hakuna nafasi mtapigwa vita hadi muangamie. mtu anacheza ulaghai kwenye afya na uhai wa wenzake eti aachiwe ni riziki yake.
 
Baada ya kufungiwa amekaidi agizo hilo na anaendelea na utabibu kama kawaida,na hata leo alikuwa na kipindi kilichorushwa na channel 10.

Je, mtu huyu yupo juu ya sheria? Yale maagizo hayamuhusu?

Mwenye ufahamu anifahamishe maana nimeshangazwa na hili tukio.
Bado matangazo yake yanaendelea hivyo wizara ya afya ichukue hatua za kisheria ikiwa ni pamoja na kufuta hilo jina la kampuni kwani anahatarisha maisha ya wananchi .Au yupo kigogo yupo nyuma yake ndio maana anadharau?
 
w

wewe pia lazima ni tapeli..ndio lugha zenu hizo. awamu hii hakuna nafasi mtapigwa vita hadi muangamie. mtu anacheza ulaghai kwenye afya na uhai wa wenzake eti aachiwe ni riziki yake.
We kenge nimekutapeli nini.....
 
Hebu jitazame kwenye kioo kwanza,halafu ujitathimini upya kwa kile ulichokiandika,halafu uamue kama una hadhi ya kuendelea kujibizana nami.
We pumbavu nini, una hadhi gani uliyonayo humu. Mbona yote unayoandika ni pumba tupu na povu jingi, kwani huyu Mwaka kakulipa nin uje umtetee humu? Nyie ndio matapeli humu mjini mbinu zenu zikifichuliwa mnakuwa wakali. Nenda kaolewe na Mhanga wa kienyeji huyo anayejiita Dr wakati mganga.
 
Acha roho mbaya na nyeusi kama mkaa au kaniki,
Sasa kwa nini hukwenda shitaki kwa kutapeliwa zaidi ya kuleta umbea na unafiki hapa jf.
Watu weusi bhana ,kila umuonaye Ana uchawi hata kama hapai na ungo.
Ndio maana hatuendelei.
Acha unafiki na upuuzi, wew una rangi gani? Midude mingine humu kama mishoga. Sasa povu jingi la nini, matapeli nyie. Mlizoe vya kunyonga vya kuchinja hamviwezi. Kwa awamu hii hakuna Mganga tapeli atakayekubalika.
 
Tena nilimkuta saba saba maoenyesho yani anavopiga promo hizo Dawa daaah
214198a340031da16e27e73a390b4618.jpg
Woootee weziii, wap weng sana kijiwe chao magomeni ndo wamejazana kaa nn. Serikali inakosea sana kuruhu huu uoleka kwenye afya za watu, hapo ndo utaona tofauti ya waafrika na wazungu coz wao mtu akisema amepata dawa kabla ya kitangaza inafsnyiwa tafiti kwa kipindi kirefu, lakn hapa ni tofaut kabisaaa....... yaaan kaaa kufa tushakufa aseee bora wapigwe marufuku wote. Baraza la tiba asili nalo zero halijuhi kazi yake, Kwan yupo mwaka peke ake??? Au kaanza kutoa hizo huduma leo au jana????. Uzembe wa taasisi zetu zilizo pewa dhamana ndo una tuua, wifa wilola.
 
anaweza kuwa ni tapeli au sitapeli sababu sina ushahidi. ila naona comments nyingi zimejaa wivu na chuki... adui wa tajiri ni masikini, tufanye yetu
 
We kenge nimekutapeli nini.....
vyeti feki wajinga watupu watu kama wewe. kama hujatumwa mtu kufanya kazi ya udaktari hata cheti hajasomea kwako sawa tu...mpeleke basi mama yako akatibiwe na the so called 'dr' mwaka...pambaafu.
 
Hongera kigwangalla kwa kumsimamia kooni huyu msanii
 
Back
Top Bottom