babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,644
- 3,314
endelea kuhesabu viewers na wanaochangiaviews 70 replies 1 mie wapili!! watu hawataki kuchangia thread yko
endelea kuhesabu viewers na wanaochangiaviews 70 replies 1 mie wapili!! watu hawataki kuchangia thread yko
unaelewa lakini anachokifanya jj mwaka kwa sasa???tega muda wako channel tena tangazo lake kwa siku linarushwa zaidi hata ya mara 20,,,,,ubaya sio tangazo angalia maudhui ya tangazo lake ni dhahiri anapingana na mamlaka zilizo muadhibu....nionavyo ni kwamba JJ Mwaka kagusa maslahi yenu maana mnamtafuta kutoka angles zote
Dr.ni KiingerezaKwanini kwenye Heading umeandika DR Mwaka..
Huyo ni tabibu Mwaka...Hana hadhi ya kuitwa Dr...
UMEKARIRI!!!Tabibu ni mwenye diploma au adv diploma na Dokta ni mwenye Shahada uko hapo?
Baada ya kufungiwa amekaidi agizo hilo na anaendelea na utabibu kama kawaida,na hata leo alikuwa na kipindi kilichorushwa na channel 10.
Je, mtu huyu yupo juu ya sheria? Yale maagizo hayamuhusu?
Mwenye ufahamu anifahamishe maana nimeshangazwa na hili tukio.
Kweli mkuu nahisi kuna mtu nyuma yake, haiwezekani kujitapa kiasi kile.Mi Nadhani sio dr. Mwaka aliyekaidi, ni baadhi ya watendaji wa magufuli ndo wamezingua....hapa kuna harufu ya urushwa.
Walimfuata kwa sababu alijinadi anaweza kutatua tatizo, mwisho tatizo linamshinda, mtu anatoa zaidi ya million 1 kugharamia matibabu. Aponi sasa si utapeli nini?Kwani hao mnaosema wametapeliwa kwani aliwalazimisha kwenda au walimfuata wenyewe?
Muongo bhana,umepata wapi hii...!!??Tabibu ni mwenye diploma au adv diploma na Dokta ni mwenye Shahada uko hapo?