Tabia za wanawake kuchukiana bila sababu.

Tabia za wanawake kuchukiana bila sababu.

Yaani tuna shida mingi sana, ishi nao kwa tahadhari huchelewi kuharibiwa kibarua

Mie nshajifunza siku hizi kwenye vikao vyetu ikiletwa mada ya kumteta boss sichangii kamwe,manake tuliwahi mteta siku moja kila mtu akawa anatoa maoni,weeh kesho yake mkuu ananiita ananiuliza nilikuwa namujadil nini sehemu flan,nilichoka.Since then sichangii ama wakianzisha naondoka kimyakimya.
 
Mie nshajifunza sikuhiz kwenye vikao vyetu ikiletwa mada ya kumteta boss sichangii kamwe,manake tuliwahi mteta siku moja kila mtu akawa anatoa maoni,weeh kesho yake mkuu ananiita ananiuliza nilikuwa namujadil nini sehemu flan,nilichoka.Since then sichangii ama wakianzisha naondoka kimyakimya.
Hivyo ndo inavyotakiwa, sema nao machache wasikilize sana na usiyape uzito maneno yao,, wapuuze utaishi nao fresh tu
 
Sasa usiombe uwe na mume/bwana mwenye wadhifa, uwe mrembo kuwazidi, na mtu wako awe anakujali ile full malavidavi,,,, adui wa mwanamke ni mwanamke
Hivyo eeh?
Yule dada kiukwel amejaliwa anajizaliaga vidume tu halafu vihandsome hataree,mumewe ni advocate mjini na wanavyoonekana wanapendana sana,so nahisi ni chanzo cha wivu pia.
 
kama wewe ni mpenzi wa stand up comedy cheki stand up comedy ya Chris rock inaitwa "TAMBORINE"...inaelezea tabia za watu kwenye jamii na siasa pia. inafundisha sanaa
 
Back
Top Bottom