Itakuwa wewe ndio mama Kija.Nimecheka hadi nimepaliwa
Hicho ndicho kilitokea jamaa alipompost yule dada mjamzito,yani miandiko ilikuwa inascream hate,mtu anaumia mwenzie kuwa mama kija,wakati hawashei mume wala hawana ushost wa karibu kihivooo.
Itakuwa wewe ndio mama Kija.Nimecheka hadi nimepaliwa
Hicho ndicho kilitokea jamaa alipompost yule dada mjamzito,yani miandiko ilikuwa inascream hate,mtu anaumia mwenzie kuwa mama kija,wakati hawashei mume wala hawana ushost wa karibu kihivooo.
Itakuwa wewe ndio mama Kija.
Roho za wivu na chuki,halafu unakuta hata hawamfahamu wala kuwa na ukaribu na huyo mtu.Wanawake bhana, hata barabarani akipita mwenzake kapendeza lazimA asonye na Amtizame kwA jicho bhAya
Hata wewe wanawake wenzio wanakuona hivyo hivyo wanajiweka mbali na wewe kwa ndipo haya mambo ya kutopendana yanapata nguvuNiwe mkweli sina chuki na wanawake wenzangu hata kidogo
Ila naprefer kudeal na wanaume zaidi manake najua wanawake wengi wapo kama ulivyoelezea hapo juu (unafiki)
Heri kubishana na mwanaume kuliko na mwanamke
Shkamoo dada!Hata wewe wanawake wenzio wanakuona hivyo hivyo wanajiweka mbali na wewe kwa ndipo haya mambo ya kutopendana yanapata nguvu
Hivi huku Jf unajuaje kuwa mtu kakununiaUshindani ni asili yetu wala usiumize kichwa, hata humu ukipewa like na quoting nyingi na ID za kiume jiandae kununiwa tu,,, ndo maana sinaga shosti
Marhaba mdogoake, uko mzima? Shemeji hajambo?Shkamoo dada!
Shemeji anaumwa dada!Marhaba mdogoake, uko mzima? Shemeji hajambo?
Jamani mpe poleShemeji anaumwa dada!
Unajua dada!Hivi huku Jf unajuaje kuwa mtu kakununia
Ataitika dadangu mzuri, vipi bwana mkubwa hajambo?!Jamani mpe pole
Aisee, basi mimi niko nyuma sanaUnajua dada!
Mfano nimezoea kukusalimia ila siku nakusalimia unajifanya hujaona! Mara ya kwanza, kweli naweza jua ni bahati mbaya, ya pili na ya tatu si najiongeza tuu dadake!
Hahaha hahaha hahahaAisee, basi mimi niko nyuma sana
Haha hebu fafanua unauelewajeHahaha hahaha hahaha
Huo mwandiko wako naulewa dada, uzuri JF unaijua kuliko mimi!
Yuko poaAtaitika dadangu mzuri, vipi bwana mkubwa hajambo?!
Sasa mfano mtu anaprefer kudeal na men mostly,akikutana na wanawake wenzie anatoa salamu , story mbili za juu juu na kuwa busy na maisha yake,lakin unakuta wanawake wenzie wanamchukia,kumsema vibaya,kumjadil kwenye magroup nk,swali amekosea wapi huyu mtu?kwani ukaribu unalazimishwa? mostly inatokea ukiweka personal life yako private unageuka adui,why??kwann wanawake tunataka wajua wanawake wenzetu hadi maisha yao binafc na ya ndani?ni kosa mtu kuwa private person?Hata wewe wanawake wenzio wanakuona hivyo hivyo wanajiweka mbali na wewe kwa ndipo haya mambo ya kutopendana yanapata nguvu
Sio kosa lakini kitendo cha kusema hutaki ukaribu na wanawake kwa sababu ni wanafiki ndio unapozaliwa msemo wa kwamba wanawake hatupendani. Hivi ni kweli kila mwanamke ni mnafiki?Sasa mfano mtu anaprefer kudeal na men mostly,akikutana na wanawake wenzie anatoa salamu , story mbili za juu juu na kuwa busy na maisha yake,lakin unakuta wanawake wenzie wanamchukia,kumsema vibaya,kumjadil kwenye magroup nk,swali amekosea wapi huyu mtu?kwani ukaribu unalazimishwa? mostly inatokea ukiweka personal life yako private unageuka adui,why??kwann wanawake tunataka wajua wanawake wenzetu hadi maisha yao binafc na ya ndani?ni kosa mtu kuwa private person?
Msalimie sana jamanii, mwambie nammissYuko poa