Ni kweli kabisa,abiria wanywa mataputapu ndio huwa wanasunbua sana wanaongea mwanzo wa safari hadi mwisho wa safari halafu nauli hawatoi.I wish angetokea konda hapa naye akaeleza kero zake kuhusu abiria. Kuna abiria wanakera jamani mweh!
Ukimwambie asiongeze abiria wengine ndani kuna joto "anakwambia ungepanda friji"
Anakudnganya kuna siti ukipanda unakuta hamna ukimuuliza anakujibu "ungekuja na stuli toka nyumbani"
SINA IMANI NA UKAWA
vp ...kuhusu kuwapapasa wa mama/dada?1. Unalipa nauli lets say unatoa elfu moja, na nauli ni mia nne, konda anakuuliza wangapi? Kama ninao watu/ mtu wa kumlipia si ningesema mweneyewe!
2. Unatoa shilingi elfu kumi, konda anaanza kulalamika oo unatoa hela kubwa mara kimepanda kimeshuka na maneno machafu kibao. Mimi akiniuliza huna hela ndogo hapo mpaka utoe hii, namwambia ninayo nachukua elfu kumi yangu nampa mia, maana ndio hela ndogo niliyonayo, konda anaona anadharauliwa. Unanipangiaje pesa ya kutumia? Kama huna chenchi mimi inanihusu nini?
3. Unatoa nauli mathalani elfu 2, 5 au 10, konda hakupi chenchi anasubiria sijui usahau ili a-make super profit! Huwezi fanikiwa kwa kuiba vi elfu mbili mbili vya abiria.
Ongezea na wewe kero zako.
Ukimwambie asiongeze abiria wengine ndani kuna joto "anakwambia ungepanda friji"
Anakudnganya kuna siti ukipanda unakuta hamna ukimuuliza anakujibu "ungekuja na stuli toka nyumbani"
SINA IMANI NA UKAWA
I wish angetokea konda hapa naye akaeleza kero zake kuhusu abiria. Kuna abiria wanakera jamani mweh!
Abiria anayekela ni huyu...Asubuhi saa 12 ndio unaanza kazi abiria anatoa sh 10000 na yuko peke yake.
Kama hana chenchi si dhambi akikuambia usubiri almradi akupatie au kama unayo mia mmpe ili akupatie mia mbili.
Unataka muda wote tujadili siasa kama vile hatuna maisha mengine nje ya siasaMada za pwagu na pwaguzi hizi