Ukiwa haujapanda utaitwa majina mazuri kibaao mara anti,shangazi,mjomba,bosi,mkuu,tajiri,kaka,dada,dogo janja,bimkubwa,bamkwe,mamkwe,shemeji n.k. Ila ukipanda tu utasikia shika bomba,sogea upande wa pili,usisimame kama unataka kupiga picha yaani maneno ya karaha.Konda kuthamini abiria anaye panda kuliko anaye shuka.
Mkuu we acha tu ishanitokea enzi hizo sijanunua kagari kangu kwa mkopoMkuu kwenye red hapo nimecheka sana hadi nimetokwa na machozi daah. Eti ungepanda friji.
Ukiwa haujapanda utaitwa majina mazuri kibaao mara anti,shangazi,mjomba,bosi,mkuu,tajiri,kaka,dada,dogo janja,bimkubwa,bamkwe,mamkwe,shemeji n.k. Ila ukipanda tu utasikia shika bomba,sogea upande wa pili,usisimame kama unataka kupiga picha yaani maneno ya karaha.
Abiria ana heshima akiwa kituoni,ukipanda daladala tu ujue umeiacha heshima yako pale mpaka keshoooooooo!
ahaaaa...
kumbe makonda nao muda mwingine wanatumia
falsafa ya hali ya juu sana kujibu
baadhi ya maswali ya abiria.
Khaaaaa! Kwahiyo mtu ufanye kazi ya kuzunguka na konda?Sana yule konda alikua na majibu hatari halafu kama unashuka sayansi anasema hamna kituo anakushusha makumbusho yaani anaunganisha vituo bila wasiwasi,
Ukimuuliza anakwambia twende mpaka mwisho nauli ya kurudia ntakupa
Mmmmmmh!
Wanakera sana hawa jamaa,naona akina mama wameamua kuchangamkia fursa ya ukonda huenda kero zikapungua kama si kuisha kabisha endapo akina mama wengi watajitokeza kuwa-replace makonda wanaume.Chennji zinauzwa wanafanyaga tuuh makusudi yan