Tabia za Makondakta zinazonikera

Tabia za Makondakta zinazonikera

Kumbe wengi tu wapanda dala dala.
Wale watu wana matusi mi huwa nawaogopa, nikopanda nimeshika nauli kabisa, kama nashuka nawahi mbele kabla sijasikia maneno machafu
 
ukichungulia gari ukute limejaa halafu usipande...yale maneno atakayoyatoa hapooo.....ndio yanayokeraga
 
Kumbe wengi tu wapanda dala dala.
Wale watu wana matusi mi huwa nawaogopa, nikopanda nimeshika nauli kabisa, kama nashuka nawahi mbele kabla sijasikia maneno machafu
Ha ha ha ha mkuu unachukua tahadhari mapema,ukipanda gari unalazimishwa kurudi nyuna halafu kwenye kushuka wanakutaka uwahi,sasa na msongamano ule mpaka uje ushuke umeshatwishwa maneno machafu kibao.
 
Kutokana na pilika pilika za maisha nikajiukuta nimeangukia katika kazi ya ukondakta...........daladala yetu ilikuwa inapiga ruti za TEMEKE na MUHIMBILI........Nilichojifunza katika kazi ya ukonda ni kwamba abiria kwa kiasi kikubwa ndio wanaofanya makonda kuwa na lugha chafu kutokana na kukutana na watu mbali mbali na wenye hulka mbali mbali........kuna siku siku wakati naokoteza nauli zangu ,nikafika kwa jamaa Fulani wawili walokuwa wakipiga story....mmoja wapo alitoa akatoa noti ya shilingi elfu tano...nikamuuliza kistaarabu kuwa bosi wangu tukate ngapi...yule jamaa hata bila aibu akanijibu...unauliza ukate ngapi kwani uliniona nimepanda na mama yako...sikumkawiza nikamrukia kichwa cha mkizi kilichoacha meno yake mawili yakimwagika kama karanga...na huo ndio ukawa mwisho wa safari na tuakishia polisi...Abiria mwingine tena mwanamke, nakumbuka alipandia maeneo ya VETA kufika kituo cha Darajani namdai nauli anasema alishatoa elfu kumi na anadai chenji yake wakati mimi ndio kwanza naanza kukusanya njuruku.......yule dada kila nikijaribu kumuelekeza kuwa hebu jiangalie vizuri labda kuna sehemu uliiweka alafu umejisahau....yule dada akaanza kupayuka kwa sauti kubwa mpaka abiria wengine wakaanza kuniwakia kuwa sisi makonda ndio tabia zetu.....Gari Zima ikawa zogo mtindo mmoja.....Ili kuepusha zogo ikabidi dereva wangu atoe hela yake mfukoni na kumpa yule dada kama chenji huku akinilaumu kwa kutokuwa makini.....tulipofika maeneo ya fire sasa wakati anatoka nyuma kuelekea mlangoni ili ashuke ndipo ile elfu kumi ikaanguka chini pwah.....Watu wote wakahamaki na baadhi yao wakaanza kuniomba msamaha akiwemo na yule dada...aliniomba msamaha mpaka akaanza kulia maana hajanibakisha kwa mitusi mizito mzito ya nguoni......Namimi nikapata power sasa na nikaanza kuwashambulia abiria kuwa msiwe mnaingilia mambo yasiyowahusu.........Yaani abiria toka nyumbani anaamua kabisa kuwa ngoja nikamalizie hasira zangu kwa konda, majitu unayauliza mara kumi kumi kuwa kituo Fulani hakuna anayeshuka yote yanakutolea macho kama vile wewe sanamu....alafu ukimpitisha anaanza kukutukana na hapo ndipo ugomvi wa kukata na shoka unapoanzia..........Abiria wengine nao wanaleta ubishi uisio na kichwa wala miguu.....jitu unaliambia kuwa usishuke hapo gari inatembea lenyewe linajifanya kujua linakuvizia mlango upo wazi linaruka........likivunjika mguu linasema kuwa konda kanisukuma...........Yaani kazi ya ukonda lazima uonekane kama mwendawazimu japo una akili timamu kwa kero za abiria...njia ambayo niliinjoi kidogo ni ya mwenge ingawa nayo sijakaa sana....abiria wa njia ile bwana kama konda unionekana mchafu mchafu hawapandi gari yako......ni wa elewa kweli....hata kama mkipishana kauli mnaelewesha kwa upole.......DAH MAISHA YA UKONDA NI RAHA SANA........
 
I wish angetokea konda hapa naye akaeleza kero zake kuhusu abiria. Kuna abiria wanakera jamani mweh!

abiria anapigiwa simu akiwa ktk daladala na anaongea kwa sauti ya juu hadi abiria wa daladala za mbele na za nyuma wanamsikia na mara nyingine hadi matrafiki wanamsikia.
 
SINA IMANI NA UKAWA[/SIZE][/QUOTE]
huyu konda au dereva, sasa hoja ya ukawa inaingiaje hapa. Kwani mfuko unaoendesha daladala Ni wa wapinzani wa ccm. Unaharibu mjadala huu wa kero za makondakta.
 
Kuna abiria hasa wanawake na wale vijana wanajiita masharobaro (koko) gari inataka kuondoka anaita nisubir dreva anasimamisha akishafika pale anachungulia na kugoma kupanda.
 
Kutokana na pilika pilika za maisha nikajiukuta nimeangukia katika kazi ya ukondakta...........daladala yetu ilikuwa inapiga ruti za TEMEKE na MUHIMBILI........Nilichojifunza katika kazi ya ukonda ni kwamba abiria kwa kiasi kikubwa ndio wanaofanya makonda kuwa na lugha chafu kutokana na kukutana na watu mbali mbali na wenye hulka mbali mbali........kuna siku siku wakati naokoteza nauli zangu ,nikafika kwa jamaa Fulani wawili walokuwa wakipiga story....mmoja wapo alitoa akatoa noti ya shilingi elfu tano...nikamuuliza kistaarabu kuwa bosi wangu tukate ngapi...yule jamaa hata bila aibu akanijibu...unauliza ukate ngapi kwani uliniona nimepanda na mama yako...sikumkawiza nikamrukia kichwa cha mkizi kilichoacha meno yake mawili yakimwagika kama karanga...na huo ndio ukawa mwisho wa safari na tuakishia polisi...Abiria mwingine tena mwanamke, nakumbuka alipandia maeneo ya VETA kufika kituo cha Darajani namdai nauli anasema alishatoa elfu kumi na anadai chenji yake wakati mimi ndio kwanza naanza kukusanya njuruku.......yule dada kila nikijaribu kumuelekeza kuwa hebu jiangalie vizuri labda kuna sehemu uliiweka alafu umejisahau....yule dada akaanza kupayuka kwa sauti kubwa mpaka abiria wengine wakaanza kuniwakia kuwa sisi makonda ndio tabia zetu.....Gari Zima ikawa zogo mtindo mmoja.....Ili kuepusha zogo ikabidi dereva wangu atoe hela yake mfukoni na kumpa yule dada kama chenji huku akinilaumu kwa kutokuwa makini.....tulipofika maeneo ya fire sasa wakati anatoka nyuma kuelekea mlangoni ili ashuke ndipo ile elfu kumi ikaanguka chini pwah.....Watu wote wakahamaki na baadhi yao wakaanza kuniomba msamaha akiwemo na yule dada...aliniomba msamaha mpaka akaanza kulia maana hajanibakisha kwa mitusi mizito mzito ya nguoni......Namimi nikapata power sasa na nikaanza kuwashambulia abiria kuwa msiwe mnaingilia mambo yasiyowahusu.........Yaani abiria toka nyumbani anaamua kabisa kuwa ngoja nikamalizie hasira zangu kwa konda, majitu unayauliza mara kumi kumi kuwa kituo Fulani hakuna anayeshuka yote yanakutolea macho kama vile wewe sanamu....alafu ukimpitisha anaanza kukutukana na hapo ndipo ugomvi wa kukata na shoka unapoanzia..........Abiria wengine nao wanaleta ubishi uisio na kichwa wala miguu.....jitu unaliambia kuwa usishuke hapo gari inatembea lenyewe linajifanya kujua linakuvizia mlango upo wazi linaruka........likivunjika mguu linasema kuwa konda kanisukuma...........Yaani kazi ya ukonda lazima uonekane kama mwendawazimu japo una akili timamu kwa kero za abiria...njia ambayo niliinjoi kidogo ni ya mwenge ingawa nayo sijakaa sana....abiria wa njia ile bwana kama konda unionekana mchafu mchafu hawapandi gari yako......ni wa elewa kweli....hata kama mkipishana kauli mnaelewesha kwa upole.......DAH MAISHA YA UKONDA NI RAHA SANA........[/QoUOTE]woòoooow kweli wanaonekana kama wehu
 
KikulachoChako umenikumbusha enzi hizo, nilikuwa konda wa ruti ya Kimara Posta, siku ya siku mama mmoja akapandia Akiba, nauli ilikuwa 200 tu kufika posta (route yote ilikuwa sh 300).

Wakati wa kushuka mi namdai nauli yeye ananidai chenji eti anadai kanipa sh 5,000/-, mi nikamwambia sijapokea chochote kutoka kwako, abiria wengine wakaanza kunishambulia eti sisi makonda ndo tabia zetu, sasa yule mama nikamuuliza ilikuwaje kwanza utoe hela kubwa vile kwa sh 200 tu, akasema hana hela nyingine yoyote na kwa hasira akataka kuvua nguo eti nimsachi.

Baada ya abiria kupiga sana yowe nikamwambia suka peleka gari central police, tulivyofika tukatoa maelezo ya kina, kuja kumsachi yule mama alikuwa ana sh 500 kama ishirini hivi kazichimbia kwenye mfuko wa nguo ya ndani. Tulimwacha police na sijui nini kiliendelea.
 
Last edited by a moderator:
Kinachonikera sana pale daladala linakuja kituoni mida ya saa moja usiku watu kibao wanangombania alafu kondakita anafunga mrango na kusema gari haliendi huko anakaa kituoni hapo alafu baadae kidogo anapandisha watu anaotaka yeye,unakuta umekimbiza gari tokea kwa bakhare kariakoo alafu anasema haendi ili akukomoe tu abiria inaboha sana iyo
 
  1. Abiria anapanda huku anajua ana hela pungufu, baadae ukianza kudai nauli yako anakupa hela pungufu, ukimmaind abiria wanaanza ooh hiyo mia tu si uachane naye, ukiwaambia wamlipie wanakaa kimya.
  2. Abiria unamwomba nauli anakwambia ntakupa nimekaa vibaya, umekaa vibaya kivipi? Leta nauli niende kudai wengine, ukijifanya kumsahau unamwona anataka kuondoka bila kulipa.
  3. Tabia ya abiria kuwapa makonda noti mbovu, ukiikataa anakwambia eti sina nyingine, na hapo mmeshafika mbali, jamani noti mbovu pelekeni benki
  4. Tabia ya mtu kupandia Kimara anakwambia eti nashukia Manzese ambapo nauli ni 400 (hapo kama route ya Posta ni sh 500), mkifika Manzese hashuki, ukianza kumdai nauli mpya anajifanya ooh sina, au nimebadili maamuzi nashukia Posta, sasa mbona hukunijulisha mpaka nimekukumbuka mimi?
  5. Tatizo la abiria kuingia kwenye gari ukimwambia sogea nyuma wenzio wapande anamaind, kama vipi tafuteni usafiri wenu.
  6. Harafu kuna hawa jamaa ambao wengi watakuwa ni member wa JF, kila akiingia kwenye gari anajifanya kupiga simu eti anaongea na fundi wake kuhusu gari lake lililoko garage ili aonekane matawi kwenye dala dala.
  7. Abiria analala gari inampitisha kituo, anaanza kulalamika eti konda hakuita vituo, ni jukumu lako kujua unashukia wapi, kama ni mgeni niambie mapema kwamba wewe ni mgeni.
 
Hafu kila abiria anayeingia kwenye gari anatuona makonda kama vile hatujasoma, tumeishia la tatu c, acheni dharau bana.
 
Kutokana na pilika pilika za maisha nikajiukuta nimeangukia katika kazi ya ukondakta...........daladala yetu ilikuwa inapiga ruti za TEMEKE na MUHIMBILI........Nilichojifunza katika kazi ya ukonda ni kwamba abiria kwa kiasi kikubwa ndio wanaofanya makonda kuwa na lugha chafu kutokana na kukutana na watu mbali mbali na wenye hulka mbali mbali........kuna siku siku wakati naokoteza nauli zangu ,nikafika kwa jamaa Fulani wawili walokuwa wakipiga story....mmoja wapo alitoa akatoa noti ya shilingi elfu tano...nikamuuliza kistaarabu kuwa bosi wangu tukate ngapi...yule jamaa hata bila aibu akanijibu...unauliza ukate ngapi kwani uliniona nimepanda na mama yako...sikumkawiza nikamrukia kichwa cha mkizi kilichoacha meno yake mawili yakimwagika kama karanga...na huo ndio ukawa mwisho wa safari na tuakishia polisi...Abiria mwingine tena mwanamke, nakumbuka alipandia maeneo ya VETA kufika kituo cha Darajani namdai nauli anasema alishatoa elfu kumi na anadai chenji yake wakati mimi ndio kwanza naanza kukusanya njuruku.......yule dada kila nikijaribu kumuelekeza kuwa hebu jiangalie vizuri labda kuna sehemu uliiweka alafu umejisahau....yule dada akaanza kupayuka kwa sauti kubwa mpaka abiria wengine wakaanza kuniwakia kuwa sisi makonda ndio tabia zetu.....Gari Zima ikawa zogo mtindo mmoja.....Ili kuepusha zogo ikabidi dereva wangu atoe hela yake mfukoni na kumpa yule dada kama chenji huku akinilaumu kwa kutokuwa makini.....tulipofika maeneo ya fire sasa wakati anatoka nyuma kuelekea mlangoni ili ashuke ndipo ile elfu kumi ikaanguka chini pwah.....Watu wote wakahamaki na baadhi yao wakaanza kuniomba msamaha akiwemo na yule dada...aliniomba msamaha mpaka akaanza kulia maana hajanibakisha kwa mitusi mizito mzito ya nguoni......Namimi nikapata power sasa na nikaanza kuwashambulia abiria kuwa msiwe mnaingilia mambo yasiyowahusu.........Yaani abiria toka nyumbani anaamua kabisa kuwa ngoja nikamalizie hasira zangu kwa konda, majitu unayauliza mara kumi kumi kuwa kituo Fulani hakuna anayeshuka yote yanakutolea macho kama vile wewe sanamu....alafu ukimpitisha anaanza kukutukana na hapo ndipo ugomvi wa kukata na shoka unapoanzia..........Abiria wengine nao wanaleta ubishi uisio na kichwa wala miguu.....jitu unaliambia kuwa usishuke hapo gari inatembea lenyewe linajifanya kujua linakuvizia mlango upo wazi linaruka........likivunjika mguu linasema kuwa konda kanisukuma...........Yaani kazi ya ukonda lazima uonekane kama mwendawazimu japo una akili timamu kwa kero za abiria...njia ambayo niliinjoi kidogo ni ya mwenge ingawa nayo sijakaa sana....abiria wa njia ile bwana kama konda unionekana mchafu mchafu hawapandi gari yako......ni wa elewa kweli....hata kama mkipishana kauli mnaelewesha kwa upole.......DAH MAISHA YA UKONDA NI RAHA SANA........

Mkuu kuna haja gani ya kuuliza ukate wangape pindi unapopewa hela kubwa? Ni lazima kumlipia mtu?

Ni kweli kuna baadhi ya abiria ambao huwa wanawakera makonda pamoja na abiria wenzao lakini kwa ujumla makondakta wamezidi kuwa kero.
 
Unakuta mmekaa wawili na mnapiga story kama mnafahamiana, isitoshe mmepandia kituo kimoja, nikiomba nauli akatoa mmoja huku yule mwingine akiwa hata hajisachi inabidi niombe uhakiki kama unamlipia jamaa.
 
Kinachonikera sana pale daladala linakuja kituoni mida ya saa moja usiku watu kibao wanangombania alafu kondakita anafunga mrango na kusema gari haliendi huko anakaa kituoni hapo alafu baadae kidogo anapandisha watu anaotaka yeye,unakuta umekimbiza gari tokea kwa bakhare kariakoo alafu anasema haendi ili akukomoe tu abiria inaboha sana iyo

Unakuta umetoka kazini umechoka,unafika kituoni kusubiri daladala unasimama masaa kibao,linakuja lidaladala konda anasema hapakii. Unaendelea kusota kituoni mpaka unajuta kuwa masikini. Linakuja daladala lingine unagombania kupanda unakosa kiti unasimama lets say kuanzia mbagala hadi g'mboto mnafinyana na kupumuliana kwenye makwapa. Mpaka unashuka unakuwa umelewa hewa nzito,ukifika nyumbani mama watoto anakuambia kila siku unachelewa utakuwa unatoka nyumba ndogo,unaomba chakula unaambiwa ulikotoka hujala!
 
Kinachonikera sana pale daladala linakuja kituoni mida ya saa moja usiku watu kibao wanangombania alafu kondakita anafunga mrango na kusema gari haliendi huko anakaa kituoni hapo alafu baadae kidogo anapandisha watu anaotaka yeye,unakuta umekimbiza gari tokea kwa bakhare kariakoo alafu anasema haendi ili akukomoe tu abiria inaboha sana iyo

Unakuta umetoka kazini umechoka,unafika kituoni kusubiri daladala unasimama masaa kibao,linakuja lidaladala konda anasema hapakii. Unaendelea kusota kituoni mpaka unajuta kuwa masikini. Linakuja daladala lingine unagombania kupanda unakosa kiti unasimama lets say kuanzia mbagala hadi g'mboto mnafinyana na kupumuliana kwenye makwapa. Mpaka unashuka unakuwa umelewa hewa nzito,ukifika nyumbani mama watoto anakuambia kila siku unachelewa utakuwa unatoka nyumba ndogo,unaomba chakula unaambiwa ulikotoka hujala! Mzee unakung'uta miguu unalala. Utaacha kuzeeka kabla ya wakati kweli?
 
Unakuta mmekaa wawili na mnapiga story kama mnafahamiana, isitoshe mmepandia kituo kimoja, nikiomba nauli akatoa mmoja huku yule mwingine akiwa hata hajisachi inabidi niombe uhakiki kama unamlipia jamaa.

Kama najua napaswa kuwalipia wangapi sina haja kukusubiri uniulize.
Nisipokuambia na wewe ukaona jamaa hajipapasi mdai ili ajipapase.
 
abiria anapigiwa simu akiwa ktk daladala na anaongea kwa sauti ya juu hadi abiria wa daladala za mbele na za nyuma wanamsikia na mara nyingine hadi matrafiki wanamsikia.
Duh! Kweli hii chibooooooko.
 
Hafu kila abiria anayeingia kwenye gari anatuona makonda kama vile hatujasoma, tumeishia la tatu c, acheni dharau bana.

hahaha siwapendi makonda mmetunyanyasa enzi tunasoma acheni tuwadharau ni haki yenu mpaka mnyoooke tu ina diamond'voice
 
Back
Top Bottom