ipo siku utakuja kupiga teke fuko la hela, shauri yako!bora hata hao wenye kujibu k, mi meseji ndefu sana sijibu labda iwe ya muhimu lakini km ndo zile za kudownload hata mwisho wa msg sifiki nadelete
i wish ningeona before hujaedit
Hivi january hii kuna weekend
Mkono mkavu haulambwi.....tuma kwanza japo vocha ya elfu tano alafu uone kama sms zako hazitachangamkiwa na kupewa uzito wa hali ya juu.....penye uzia penyeza rupia.......
Unajua maana ya SMS? Kama Haujui means Short Message Service(Huduma ya ujumbe mfupi),sasa kama wewe unataka akujibu kwa ujumbe mrefu you better email her.
Tatizo huna hela mkuu
Wewe mtoto wa kiume acha ubahili. ukiwa bahili tegemea haya:
hahaaaha! ni hivo Bullgod unatakiwa ujitutumue ili kumiliki kipenda roho.
- kubaki kutuita shemeji
- ukibahatika kupata ujue utamegewa sanaaaaaaaaa!
Single mothers wanaongezeka kwa kasi kwa sababu ya nguvu ya pochi.Pochi inazalisha tu.
sasa hapo mkuu chelewa wewe kujibu uone vinavyovimba.Habari wanajamvi, hii tabia iko hasa kwa wanawake naamini kuwa every one is different ila kuna vitu vingine huwa vinaboa
1)Unakuta mtu unamuandikia mwanamke text ndefu ya maana (sio love text) umejielezea vizuri na text inahitaji long explanation lakini mtu ana kujibu "k"
2)Au unakuta kwenye makundi ya whatsapp demu akichangia anaandika maneno mawili tu hadi watu wanashindwa kuelewa kuwa kuwa huyu mtu anamaanisha nini.
3)Au unamtext demu leo na unamuona yuko online lakini anakuja kukujibu massege yako baada ya 9hrs au anajibu kesho yake.Na sio kwamba yuko busy sana au massege yako haina maana, yani ni basi tuu
Sasa sijui wengi wao wanafanya hivyo ili waonekane expensive sana au?
Tatizo NYOTAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA