miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
Acha uchoyo mwambie hayafai kabisa kwa wote kikwetu ni haram kabisa miss chagga
kiingiacho si haramu bali kitokacho ni haramu
Acha uchoyo mwambie hayafai kabisa kwa wote kikwetu ni haram kabisa miss chagga
Wewe mtoto wa kiume acha ubahili. ukiwa bahili tegemea haya:
hahaaaha! ni hivo Bullgod unatakiwa ujitutumue ili kumiliki kipenda roho.
- kubaki kutuita shemeji
- ukibahatika kupata ujue utamegewa sanaaaaaaaaa!
kiingiacho si haramu bali kitokacho ni haramu
Kuna mtu kasema hapojuu na nukuu binfi sijawa tumia hela kupata dem wewe unmchukuliaje?
Ha ha ha ha duh nimecheka sanaa umenifundisha
NAMCHUKULIA KAMA YEYE fullstop
nimekufundisha tabia gani??
Ya kuslimia na kupita
ha ha ha ha a hhah a
ha ha ha okey ukifanya sana huu mchezo nakuchapa kalio
Nimemkera bila kusudi huyo dada ila nimeomba msamaha sijui hajauona
ajataka kusamehe we pita zako
Nimemkera bila kusudi huyo dada ila nimeomba msamaha sijui hajauona
jamani si yameisha, mim hata usiponiomba msamaha nasamehe, nina amin katika msamaha my kaka. so kuwa na amani kabisa
Ndo nshapita ivoo huoni sijamuuliza yeye?