Tabia za kujibu text wanawake walizonazo zinazokera

Tabia za kujibu text wanawake walizonazo zinazokera

Habari wanajamvi, hii tabia iko hasa kwa wanawake naamini kuwa every one is different ila kuna vitu vingine huwa vinaboa

1)Unakuta mtu unamuandikia mwanamke text ndefu ya maana (sio love text) umejielezea vizuri na text inahitaji long explanation lakini mtu ana kujibu "k"

2)Au unakuta kwenye makundi ya whatsapp demu akichangia anaandika maneno mawili tu hadi watu wanashindwa kuelewa kuwa kuwa huyu mtu anamaanisha nini.

3)Au unamtext demu leo na unamuona yuko online lakini anakuja kukujibu massege yako baada ya 9hrs au anajibu kesho yake.Na sio kwamba yuko busy sana au massege yako haina maana, yani ni basi tuu

Sasa sijui wengi wao wanafanya hivyo ili waonekane expensive sana au?

Ndo ilivyo iyo midemu, mm uwa nafuta no nakausha marefuu
 
kwa jinsi unavyo weweseka lazima utakuwa form3 umekuja na kifurushi alichokunulia shemeji yako(mme wa dada yako)
naomba pita mbali na mimi kabisa.

Unawajua fom3 ww au kwasababu akuna garama ya kuandika uo upuuzi wako.

Ata ivo hauna garama iyo kama unavojishaua mtu mstaarabu na mzuri hanaga kauli uchuro kama zako.
 
bora hata hao wenye kujibu k, mi meseji ndefu sana sijibu labda iwe ya muhimu lakini km ndo zile za kudownload hata mwisho wa msg sifiki nadelete
 
Mi kuna mwingine nilimsendia text ya maana tu, akareply 'k'.
Nikamjibu mwenyewe, kilichofuata siri yangu.
 
Unajua maana ya SMS? Kama Haujui means Short Message Service(Huduma ya ujumbe mfupi),sasa kama wewe unataka akujibu kwa ujumbe mrefu you better email her.
 
Haina haja hata ya kum call, ukiona hivyo ujue hataki kuwasiliana na ww, aidha hakutaki au kakuchoka au anakukataa, Kwa mfano Mi kuna watu walikuwa ni watu wangu wa karibu sana ilikuwa haipiti nusu saa bila kunitafuta kwa kunipigia au kuni sms, kati yao mmoja ni alikuwa mwanamke wangu ambaye tulishare kila kitu lakini baada ya mambo fulani kubadilika hali hiyo imejitokeza una mtumia msg inafikana anaisoma lakini hakujibu na unamuona anajib comments za fb, yupo online wasap, kwa iyo unajua tu mambo yamebadilika unashika mambo mengine
 
jaman kuna rafiki yangu nwa jinsia moja tu na si kwamba tunaongea sana au kuchat sana au ni marafiki sna kihivyohapana ila unaweza kumtumia labda taarifa fulan au kitu fulan jibu lake ni k jaman sipend na nshamwambia naona ni mazoea tu wengine wapo hivyo
 
Back
Top Bottom